Group: http://groups.google.com/group/marafikiwavitabu/topics
- msaada Kitabu cha January Makamba [2 Updates]
Jackson M. <mbo...@hotmail.com> Jul 06 03:23PM +0300 ^
Wakuu wangu poleni na kazi,
Kijana January Makamba amejitokeza kutangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Bumbuli, pamoja na hayo pia amezindua kitabu chake cha Bumbuli, yesterday, today and Tomorrow. Katika kitabu hicho na speach yake wadau wengi wanasema January alibainisha sera zake kwa kutumia indicators amabazo ni measureble na pia kina vutia kukisoma. I wish I coulde get this book, Kuna mtu anaweza kunisaidia, kununua alafu tufanye utaratibu namna ya kunifikishia, I will refund.
Naamini nitasaidiwa.
2010 ni kazi kazi!
Jackson Mbogela
Cell: +316 16 50 33 49
Tz: +255 787 410 315
Sauti ya Nyika PIUMA
_________________________________________________________________
Hotmail: Powerful Free email with security by Microsoft.
https://signup.live.com/signup.aspx?id=60969
bernard baha <bahab...@yahoo.com> Jul 06 06:40AM -0700 ^
--
Very interesting!a book on how to achieve development at Constituency level? Adam tell us what is the situation on the ground, is Lushoto enthusiastic and Bumbuli in particular? Have been around the area in 2007 where I visited almost the whole of Lushoto, Bumbuli, Mlalo, Soni etc etc.the area has so many potentials development wise. a lot of attraction, investment in various sectors, forestry, tourism, agriculture jamaa wanalima Chai na Kahawa yakubaloi huko kwa akina She Mdoe Shemahona at al.
________________________________
From: Jackson M. <mbo...@hotmail.com>
To: SUA Family <sua-f...@googlegroups.com>; Marafiki wa Vitabu <marafiki...@googlegroups.com>
Sent: Tue, July 6, 2010 3:23:50 PM
Subject: [Marafiki wa Vitabu] msaada Kitabu cha January Makamba
Wakuu wangu poleni na kazi,
Kijana January Makamba amejitokeza kutangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Bumbuli, pamoja na hayo pia amezindua kitabu chake cha Bumbuli, yesterday, today and Tomorrow. Katika kitabu hicho na speach yake wadau wengi wanasema January alibainisha sera zake kwa kutumia indicators amabazo ni measureble na pia kina vutia kukisoma. I wish I coulde get this book, Kuna mtu anaweza kunisaidia, kununua alafu tufanye utaratibu namna ya kunifikishia, I will refund.
Naamini nitasaidiwa.
2010 ni kazi kazi!
Jackson Mbogela
Cell: +316 16 50 33 49
Tz: +255 787 410 315
Sauti ya Nyika PIUMA
________________________________
Hotmail: Powerful Free email with security by Microsoft. Get it now. --
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Marafiki wa Vitabu - Friend's of Books" group.
To post to this group, send email to marafiki...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to marafikiwavita...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/marafikiwavitabu?hl=en.

Asante Adam na wadau wengine mliorespond.
Kwa wale waliopendekeza kuwa inawezekana kikawa mtandaoni nimejaribu kusaka kwenye mitandao mbali mbali bila mafanikio, tunendelee kukisaka.
Hivi Hakuna andiko lolote la Zitto Kabwe mitaani???
Kuna vijana ambao nadhani walipaswa kuweka fikra zao kwenye maandishi, maana naamini Zitto amekuwa na mtazamo (ideology) ambayo watu wengine wameshindwa kukubalina nayo na kuna kundi kubwa la watu wanaompenda kwa hiyo itikadi yake na chama chake.Nadhani huu ni muda muafaka kwake kuandika chochote.
Nadhani ni wakati muafaka kwa vijana kama akina Zitto kupewa challenge waweke vitu kwenye makaratasi na kutufikishia watanzania tulio wengi ambao hobby zetu ni kusoma vitabu na hatuwezi kuwalewa kwa kungalia mchango wake kwenye TV kwa siku moja.
Kwa ujumla ningependa kuona mawazo ya vijana wafuatao kwenye mtindo wa vitabu.
1. Chambi Chachage
2. Zitto Kabwe
3. January Makamba
4. Mohammed Dewji
5. Eric Shigongo (ameeandika zaidi hadithi lakini nilikuwa nadhani aandike kitabu cha motivation on how to be successful for young people)
6. Huyu Jamaa anayejiita mwanakijiji, (nadhani akiandika kitu cha siasa na maendeleo ya Tanzania anaweza kutusaidia wengi kuilewa siasa ya nchi yetu)
7. Victor Mfinanga (huyu ni CEO wa Shambani Graduate alipomaliza chuo alianzisha biashara ya maziwa na sasa ni mfanyabiashara wa maziwa mkubwa nchini, ameshashinda award za ndani na nje nyingi)
Nadhani kusoma na kuandika vitabu ni fani inayopotea sana baada ya TV, Internet nk kuingilia mfumo wa maisha, lakini nadhani bado ni jambo linalofaa sana kuigwa na kendelezwa.
Nawatakiwa usomaji mwema wa Vitabu.
Jackson