msaada Kitabu cha January Makamba

47 views
Skip to first unread message

Jackson M.

unread,
Jul 6, 2010, 8:23:50 AM7/6/10
to SUA Family, Marafiki wa Vitabu
Wakuu wangu poleni na kazi,
Kijana January Makamba amejitokeza kutangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Bumbuli, pamoja na hayo pia amezindua kitabu chake cha Bumbuli, yesterday, today and Tomorrow. Katika kitabu hicho na speach yake wadau wengi wanasema January alibainisha sera zake kwa kutumia indicators amabazo ni measureble na pia kina vutia kukisoma. I wish I coulde get this book, Kuna mtu anaweza kunisaidia, kununua alafu tufanye utaratibu namna ya kunifikishia, I will refund.
Naamini nitasaidiwa.

 
2010 ni kazi kazi!

    Jackson Mbogela


Cell:      +316 16 50 33 49

Tz:        +255 787 410 315  

Sauti ya Nyika  PIUMA





Hotmail: Powerful Free email with security by Microsoft. Get it now.

bernard baha

unread,
Jul 6, 2010, 9:40:06 AM7/6/10
to marafiki...@googlegroups.com
Very interesting!a book on how to achieve development at Constituency level? Adam tell us what is the situation on the ground, is  Lushoto enthusiastic and Bumbuli in particular? Have been around the area in 2007 where I visited almost the whole of Lushoto, Bumbuli, Mlalo, Soni etc etc.the area has so many potentials development wise. a lot of attraction, investment in various sectors, forestry, tourism, agriculture jamaa wanalima Chai na Kahawa yakubaloi huko kwa akina She Mdoe Shemahona at al.


From: Jackson M. <mbo...@hotmail.com>
To: SUA Family <sua-f...@googlegroups.com>; Marafiki wa Vitabu <marafiki...@googlegroups.com>
Sent: Tue, July 6, 2010 3:23:50 PM
Subject: [Marafiki wa Vitabu] msaada Kitabu cha January Makamba
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Marafiki wa Vitabu - Friend's of Books" group.
To post to this group, send email to marafiki...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to marafikiwavita...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/marafikiwavitabu?hl=en.

Lingson Adam

unread,
Jul 7, 2010, 2:02:56 AM7/7/10
to marafiki...@googlegroups.com
Afu kimeandikwa kwa KIINGEREZA? Nadhani kitakuwa kitabu kizuri sana, nami nitapenda kukisoma, ajuaye kilipo plz shout out!
TUTASIKIA MBWEMBWE NYINGI MWAKA HUU.
Kaka Jackson, kweli 2010 kazi kazi!!

--- On Tue, 6/7/10, bernard baha <bahab...@yahoo.com> wrote:

joramm...@yahoo.com

unread,
Jul 7, 2010, 3:05:48 AM7/7/10
to marafiki...@googlegroups.com
Itakuwa vizuri kukipata. Siku hizi kuna MPESA na ZAP so kulipia haina shida. Nani anaweza kufacilitate? Jitokeze please utusaidie wahitaji...

J

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom


From: Lingson Adam <alin...@yahoo.com>
Date: Wed, 7 Jul 2010 06:02:56 +0000 (GMT)

bernard baha

unread,
Jul 7, 2010, 8:58:05 AM7/7/10
to marafiki...@googlegroups.com
Kwa mujibu wa gazeti la majira la leo hii, kitabu hicho kitapatikana on line yawezekana kiko tayari ngoja niki google nione kama kipo! so try to gogolize!


From: "joramm...@yahoo.com" <joramm...@yahoo.com>
To: marafiki...@googlegroups.com
Sent: Wed, July 7, 2010 10:05:48 AM

mohamed kambi

unread,
Jul 7, 2010, 11:00:05 AM7/7/10
to marafiki...@googlegroups.com
The book seem to be interesting, will find a copy of it. Otherwise,
its magnificent that it is online book, so if you have a digital
paperless e-reader, then its easy to go through Various books online!
Thanks,
KAMBI

>>   Jackson Mbogela
>>
>>
>>Cell:      +316 16 50 33 49
>>
>>


--
Kambi,Mohamed A
Program Manager,
Center for Women & Children Development-CWCD
Arusha, TANZANIA

Marafiki wa Vitabu

unread,
Jul 17, 2010, 5:15:46 AM7/17/10
to Marafiki wa Vitabu - Friend's of Books
Mohamed

Thanks for information,i tried to search it online but not available

On Jul 7, 6:00 pm, mohamed kambi <kambissontroglod...@gmail.com>
wrote:
> The book seem to be interesting, will find a copy of it. Otherwise,
> its magnificent that it is online book, so if you have a digital
> paperless e-reader, then its easy to go through Various books online!
> Thanks,
> KAMBI
>
> On 7/7/10, bernard baha <bahabp2...@yahoo.com> wrote:
>
>
>
> > Kwa mujibu wa gazeti la majira la leo hii, kitabu hicho kitapatikana on line
> > yawezekana kiko tayari ngoja niki google nione kama kipo! so try to
> > gogolize!
>
> > ________________________________
> > From: "jorammass...@yahoo.com" <jorammass...@yahoo.com>
> > To: marafiki...@googlegroups.com
> > Sent: Wed, July 7, 2010 10:05:48 AM
> > Subject: Re: [Marafiki wa Vitabu] msaada Kitabu cha January Makamba
>
> > Itakuwa vizuri kukipata. Siku hizi kuna MPESA na ZAP so kulipia haina shida.
> > Nani anaweza kufacilitate? Jitokeze please utusaidie wahitaji...
>
> > J
> > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
> > ________________________________
>
> > From: Lingson Adam <aling...@yahoo.com>
> > Sender: marafiki...@googlegroups.com
> > Date: Wed, 7 Jul 2010 06:02:56 +0000 (GMT)
> > To: <marafiki...@googlegroups.com>
> > ReplyTo: marafiki...@googlegroups.com
> > Subject: Re: [Marafiki wa Vitabu] msaada Kitabu cha January Makamba
>
> > Afu kimeandikwa kwa KIINGEREZA? Nadhani kitakuwa kitabu kizuri sana, nami
> > nitapenda kukisoma, ajuaye kilipo plz shout out!
> > TUTASIKIA MBWEMBWE NYINGI MWAKA HUU.
> > Kaka Jackson, kweli 2010 kazi kazi!!
>
> > --- On Tue, 6/7/10, bernard baha <bahabp2...@yahoo.com> wrote:
>
> >>From: bernard baha <bahabp2...@yahoo.com>
> >>Subject: Re: [Marafiki wa Vitabu] msaada Kitabu cha January Makamba
> >>To: marafiki...@googlegroups.com
> >>Date: Tuesday, 6 July, 2010, 13:40
>
> >>Very interesting!a book on how to achieve development at Constituency
> >> level?
> >>Adam tell us what is the situation on the ground, is  Lushoto enthusiastic
> >> and
> >>Bumbuli in particular? Have been around the area in 2007 where I visited
> >> almost
> >>the whole of Lushoto, Bumbuli, Mlalo, Soni etc etc.the area has so many
> >>potentials development wise. a lot of attraction, investment in various
> >> sectors,
> >>forestry, tourism, agriculture jamaa wanalima Chai na Kahawa yakubaloi huko
> >> kwa
> >>akina She Mdoe Shemahona at al.
>
> > ________________________________
> > From: Jackson M. <mbog...@hotmail.com>
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages