Evans Ikua <
ikua....@gmail.com> writes:
Hujambo Evans,
Nimeona serikali ya ufaransa imesema wantaka watumia uendeshaji wa
kompyuta huru na wazi:
https://www.numerique.gouv.fr/sinformer/espace-presse/souverainete-numerique-reduction-dependances-extra-europeennes/
Wamesema ni muhimu kwa sababu wanataka kuwa na uhuru.
Swali niko nayo, kwa bei ya LPIC-1, mtu anaweza nunua kompyuta. Kuna
watu kama Godfrey Ogembo wanaweza fundisha watu kutumia linux:
https://events.canonical.com/event/147/contributions/914/
https://github.com/ZEZE1020/ubucon-workshop
Godfrey Ogemo amesema alianza na kompyuta mtu anaweza kununua kwa bei
ndogo kuliko bei ya LPIC-1. LPI wanafanya kazi nzuri, lakini masomo ya
kwanza ya kompyuta, nafikiri watu hapa pia wanaweza kuandika masomo na
mtihani.
Mnaweza andika mtalaa inaweza kutumikana hapa? Pia, inaonekana mtihani
serikali inaona ni muhimu ni ICDL:
https://icdl.org/country/kenya/#Map
Shida ya ICDL, GNU/Linux haiko. Mkiandika mtalaa, mnaweza ongea na NITA
(
https://nita.go.ke/) au KNEC (
https://www.knec.ac.ke/) kujua kama
wanaeza kutengeneza mtihani? Ningependa, kama mtu ameandikishwa kwa
serikali, ni lazima apitia hiyo mtihani. Pia, mkiongea na watu kutoka ODPC
(
https://www.odpc.go.ke/) wanaweza kupatia maoni ya vitu muhimu za
faragha ya data zikuwe ndani ya mtalaa.
Ndimi,
Benson
> Greetings colleagues,
> The National OSPO implementation team is looking for good certified Linux
> trainers with LPI certifications, from LPIC-1, LPIC-2 and LPIC-3. If you
> hold these certifications or know someone who does and is interested and
> has experience in delivering training, kindly reach out to me.
>
> --
>
> *Kind Regards,Evans Ikua,*
> Cell:
+254-722-955831
> *----------------------------------------------------*
>
>
> *Data Protection | Information Security | ISO Management Systems | Green
> Mobility | Clean Energy*
>
> --
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Nairobi GNU/Linux User Group" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
nairobi-gnu...@googlegroups.com.
> To view this discussion visit
https://groups.google.com/d/msgid/nairobi-gnu/CAJ5wL093PWOiwsXDWz02uCAy7F_ROUnCCZ0S0mt60Dy_2B%2B7bw%40mail.gmail.com.