Vyakula tofauti hupunguza lehemu (choresterol) kwa njia mbalimbali hivyo kupunguza hatari ya kupooza na kupanda kwa shinikizo la damu (BP). Baadhi hutoa nyuzinyuzi zinazoyeyushika katika mfumo wa kumeng'enya chakula na kuzitoa mwilini kama taka mwili. health.harvard.edu/heart-health/1…
🇹🇿🇧🇪 Mkurugenzi wa Biashara za Kimataifa na Diplomasia ya Uchumi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi @JohnUlanga amekutana na kuzungumza na Balozi wa Ubelgiji hapa nchini Mhe. Peter Huyghebaert katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar…