|
|
|
|
|
|
|
Joachim Mabula
@JoachimMabula
|
|
|
| Kwa hizi mvua zinazoendelea, umepewa wazo la biashara la kuwekeza kwenye kilimo cha mpunga na hauna pesa ya kutosha kufanikisha, basi usikwame zaidi, wasiliana na @softfinancetz watakupa mkopo wa haraka na ushauri wa kuendeleza wazo lako kwa mafanikio. #MpangoPesa |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
MNYIKA John John liked |
|
|
|
|
|
|
|
CHADEMA Kanda Magharibi
@Chademawz
|
|
|
| Kikao cha Baraza la mashauriano mkoa wa Katavi leo Novemba 18, 2023. Kikiongozwa na mwenyekiti wa mkoa Rhoda Kunchela, kabla ya vikao vya uchaguzi kuanza Mpanda mjini. Amewashukuru viongozi wakiongozwa na Julius Mwita, Gaston Garubindi, Mzee Masanja Katambi na Kangeta Ismail. |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
MNYIKA John John liked |
|
|
|
|
|
|
|
Praygod Shoo
@ShooPraygod
|
|
|
Kwa kweli mimi sasaivi nitakuwa nawasemea tu watu wa mpigi magoe
Watu wanateseka sana asee magar yanaharibika barabara mbovu sana asee
Hatuna waandishi wa habar waje kureport huu uozo huku mpigi
Nauli kutoka mbezi ishafika buku mbili yan Safari ya dk 20inatukima masaa matat |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Liberatus Mwang'ombe
@Liberatus80
|
|
|
Tutakuwa na mikutano ya hadhara leo, Jumamosi, November 18, 2023. Tutakuwa na M’kti wa Kanda, Mh. Peter Msigwa.
Sehemu: Chalisuka, Madibira
Muda: Kuanzia Saa nane mchana
Asubuhi saa Tano tutafanya mkutano Mapogolo- Miyombweni.
Karibuni sana. |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
CHADEMA Tanzania
@ChademaTz
|
|
|
Kuna mambo mawili ambayo tunaweza kupitia tukatatua masuala ya kiuchaguzi kikatiba;
1. Kuharakisha mchakato wa #KatibaMpya. Hii pia tumechelewa kama Taifa, kama tunalenga uchaguzi wa 2024 na 2025. Ipelekwe bungeni kwenye Bunge linaloenda kuanza Januari 31, 2024 Mswada wa Sheria… |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
| Help | Privacy | Reset password | Download app |
|
| We sent this email to @zumbaclass2013. Unsubscribe |
|
|
|
|