Jaji ambaye alihusika KUTENGUA maamuzi mazuri ya mahakama Kuu ya KUZUIA Wakurugenzi (maDED) kutosimamia chaguzi nchini, AKARUHUSU, ndiye aliyehusika pia kumwachia SABAYA leo. Huyu Jaji ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa sasa. Aliteuliwa na rais SSH…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis wakati wakishuhudia utiaji saini wa Mikataba mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini 17 Nov 2023
Nimefika salama Lusaka Zambia tayari kwa sherehe maalumu za tuzo za @zikomoawards kesho. Safari ilikuwa nzuri chini ya @airtanzania_atcl ambapo tulipitia Harare Zimbabwe na kisha kufika Lusaka Zambia.
Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia chini ya Balozi Mhe. Lt Gen Mathew Edward…