Mbowe: Samia Haaminiki, Aweke wazi Mikataba Mipya ya DP World
- Nkasi wapiga kura kutaka mikataba iwekwe wazi.
SIKU moja baada ya Serikali kusaini mikataba mitatu ya kutekeleza uwekezaji wa bandari na kampuni ya DP World ya Dubai, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati wakielekea kwenye viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za miaka 59 ya Uhuru wa nchi hiyo tarehe 24 Oktoba, 2023.