|
|
|
|
|
|
|
Sauti Ya Watanzania
@SautiWatanzania
|
|
|
Huyu ndiye jaji Ntemi, ambaye anatoa maamuzi, anasimama wakili anayemtetea Mwabukusi kutoa taarifa ya kukata rufaa uamuzi huo, jaji anamfungia miezi 6 wakili huyo. Mwabukusi anasimama kutaka jaji ajitoe maana hatendi haki jaji anakataa. Vyeo ni suala la muda tu Ntemi, hatutasahau |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Joachim Mabula
@JoachimMabula
|
|
|
| Jueni hili, ndugu zangu wapendwa. Kila mtu lazima awe mwepesi kuhusu kusikia, si mwepesi wa kusema, si mwepesi wa ghadhabu, kwa maana ghadhabu ya mwanadamu haitokezi uadilifu wa Mungu. ~> Yakobo 1:19-20 |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
CHADEMA Kanda Magharibi
@Chademawz
|
|
|
| Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Magharibi Ndugu Kangeta Ismail, leo Novemba 20, 2023 akitoa ufafanuzi kwenye kikao cha Baraza la mashauriano mkoa wa Tabora kuhusu uchaguzi. Kikao hicho kitaambatana na uchaguzi wa ndani ya chama ngazi ya mkoa. |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Kumbusho Dawson Kagine
@KumbushoDawson
|
|
|
"CCM mkishindwa kusimamia mchakato huu wa kuandika Katiba Mpya kama mnavyo elekea kushindwa, Uhai wenu wa kubakia Madarakani ni MDOGO SANA "- @kitilam |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
| Help | Privacy | Reset password | Download app |
|
| We sent this email to @zumbaclass2013. Unsubscribe |
|
|
|
|