Ikiwa uko jukwaani na wasikilizaji wanakazia fikira zaidi jinsi unavyoonekana badala ya mambo unayosema, basi kuna tatizo katika njia ambayo umevalia na kujipamba.
Mapema leo Octobar 08, 2023. Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika akiendesha mafunzo ya uongozi kwa viongozi vijana kutoka kanda ya Unguja na Pemba kwa upande wa @CHADEMAZANZIBAR katika Hotel ya Ngalawa Mjini Unguja.
VIDEO | “This is a very important visit for Tanzania as it is the first ever visit by the President after the G20. The big announcement we expect is the elevation of the relationship between Tanzania and India into a strategic partnership,” says Tanzania’s Minister for Foreign…