|
|
|
|
|
|
|
Joachim Mabula
@JoachimMabula
|
|
|
| Wakati mwingine unapaswa kusahau kilichopita, kuthamini kilichobaki na kutazamia kwa hamu kinachokuja. |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
MNYIKA John John
@jjmnyika
|
|
|
| Kati ya mwaka 2010-2015 wakati nikiwa mbunge wa Ubungo kupitia mfuko wa Jimbo (CDCF) tulinunua makontena na kufanya ujenzi kama unavyoonekana kwenye video hapa chini. Lengo la wakati huo lilikuwa ni kujenga kituo kidogo cha polisi katika mtaa wa Sinza E jirani na uwanja wa Tip.… |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Joachim Mabula liked |
|
|
|
|
|
|
|
viola julius
@VwalaViola
|
|
|
| Nyieee mwisho wa mwaka una mambo mengi , Usikubali kuhairisha mambo yako . chukua mkopo toka @softfinancetz ili mambo yaende vizuri #MpangoPesa |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Joachim Mabula liked |
|
|
|
|
|
|
|
Holy
@yose_hoza
|
|
|
Mjasiriamali wa viatu vya wanawake kila mara fashion mpya zinatoka ▪︎ Una mtaji mdogo ▪︎ Una wateja wengi ▪︎ Mzunguko wa biashara mzuri
Usipate hofu karibu @softfinancetz ujipatie mkopo uchukue mzigo biashara yako ikomae vigezo ni rahisi sana 📞0679 000 900 #MpangoPesa |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
CHADEMA Tanzania
@ChademaTz
|
|
|
| Tamko la kulaani kusimamishwa kiholela kwa wakili Mpale Mpoki na tishio kwa mawakili wa kujitegemea nchini. |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Jambo TV
@Jambotv_
|
|
|
📍 VIDEO :
"Watanzania wamechoka, tunataka katiba mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki na hiyo ndio njia ya kuiondoa CCM madarakani" Hashim Rungwe. |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
| Help | Privacy | Reset password | Download app |
|
| We sent this email to @zumbaclass2013. Unsubscribe |
|
|
|
|