Assalam AlaikumWadau ile Review class inata kuanza, lakini watu walokua wanaitaka wamekua kimya.Tunaomba majibuni yenu ianze au hadi May kwa exams za November?2015-01-26 11:51 GMT+03:00 Salim Rawahy <profc...@gmail.com>:Assalam Alaikum
Jamaa matangazo yashatoka ya kutosha ss tunakuja zama za utendaji.
Wale wote ambao wapo serious na confirmed kujiunga na hii review kutokana na taarifa zilokwisha tumwa tunaomba wapige sim namba 0772287558 kuaslisha jina na namba ya sim.
Mwenye namba ya hapo juu ndio cordinator wa hii programme.2015-01-14 9:33 GMT+03:00 Salim Rawahy <profc...@gmail.com>:Assalam Alaikum, kwa mujibu wa Mr Bakar kuh review class ya CPA ni kama ifuatavyo:-Quoted from MR. Bakar:-salaam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,Nilidhani nitapata muda wa kutosha ili niandae ratiba na taratibu za masomo yetu ya CPA ila sasa nagundua hilo litakuwa mtihani mpevu, maan akila siku majukumu yanaongezeka.Nadhani kwa kuanzia tutaanza na masomo matatu:Corporate and Business FinanceFinancial reporting (au vyovyote inavyoitwa)la tatu nafikiria kidogohayo mawili ya kwanza ni certainty kwa vile nitayafundisha mwenyewe. la tatu nitatfuta mtu na kama ikishindikana basi nalo pia nitalifundisha.siku za masomo ni Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 2 usiku (yaani masaa matatu). iwapo watu wataona kuna haja ya kubadilisha pia ni vyema. Nilitaka Jumamosi na Jumapili tupumzike lakini nasikiliza ushauriMasomo yote yatasomwa katika wiki. ratiba itakuwa siku moja somo moja ya pili lengine ya tatu lengine hivyo hivyo. Muda wa somo utategemea na coverage inayotakiwa katika somo hilo na contact hours za NBAA kwa somo.Fee itakuwa ni Tshs 500,000 kwa session ya miezi mitatu ya masomo matatu kwa mtu. Kwa kweli si rahisi kupunguza hii fee kwani nilikaa na fee ys tshs 300,000 kwa zaidi ya miaka mitano na ilileta shida ingawa lengo lilikuwa kuwasaidia watu. hivyo hapo tutasameheana. Ila utaratibu wa malipo utakuwa ni kama ifuatavyo ambapo kutakuwa na chaguo:Chaguo 1: Full amount of Tshs 500,000 on start day (presumably 1 February 2015)Chaguo 2:Instalment 1: Tshs 250,000 on start day (presumably 1 February 2015)Instalment 2: Tshs 250,000 on 31 march 2015Darasa litakuwa pale mtakapopata nafasi ingawa gharama nitazilipa mimi mwenyewe.Ili darasa lianze basi kwa uchache watu wawe 10 kwani kuna gharama za kulipa NBAA na mambo mengine.Vitabu:Kama mtu hana kitabu changu (INTERNATIONAL FINANCE - BY BAKAR R BAKAR) afanye utaratibu wa kukinunua mapema kwani topics nyingi za Corporate and business finance zipo mle. zilokuwa hazipo tutafahamishana.Pia mnunue kitabu cha bankruptcy pale NBAA. Topics nyengine za financial reporting zitapatikana thru notes na IFRSthanks. usisite kuniuliza kama kuna swali2014-12-10 15:53 GMT+03:00 Salim Rawahy <profc...@gmail.com>:Assalam Alaikum
Mr. Bakar R Bakar mtunzi wa kitabu cha ‘International Finance’ na pia ni mwalimu mkongwe wa IFM ambae kwa sasa ni Business and Risk Consultant/Analyst anawatangazia wale wote wenye nia ya kufanya CPA (T) anaanzisha review class ZANZIBAR atakayosomesha mwenyewe kuanzia January 2015 InshaAllah kwa ajili ya May 2015 Exams.
Wale wote wanaotaka kujiunga wawasilishe majina na namba zao za sim kwa Salum Nassor - 0772214421 au kupitia email hii iliyotumika kutoa tangazo.
Mwenye kutaka maelezo zaid anaweza kuwasiliana na Mr. Bakar (email copied) au sim namba 0777806060/0754674045
Thanks