Kilele cha #WikiYaTaifaYaVijana2023 ni kesho tarehe 14 Oktoba. Kilele hicho kugonganishwa na hitimisho la mbio za mwenge na maadhimisho ya #NyerereDay mara nyingi mahitaji na masuala ya vijana hayapewi uzito. Ni masuala gani vijana mnashauri Rais @SuluhuSamia ayape uzito kesho? twitter.com/jjmnyika/statu…