Amen.Mungu awabariki daima
>>> *Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili zako
>>> mwenyewe.Katika njia zako zote mkiri yeye naye atayanyosha mapito
>>> yako.Mithali 3:5-6*
>>> **
>>> *Bwana Yesu apewe sifa.*
>>> **
>>> Nashukuru Mungu kwa rehema zake, nguvu na utajiri wake kwetu.Neno la
>>> Mungu katika mistari hapo juu linatusihi kumtumainia, kumtegemea na
>>> kumkiri
>>> yeye katika njia zetu zote.Mpendwa yawezekana umekuwa ukiishi kwa
>>> nguvu
>>> na akili zako katika kufanya mambo yako ya kila siku.
>>>
>>> Ninapenda ufahamu kuna baraka na mafanikio makubwa kwa mkristo anayeishi
>>> kwa *kumtumainia ,kumtegemea na kumkiri BWANA* katika kila jambo
>>> analolifanya.
>>> Kumtegemea BWANA nikujishusha chini, kujiona kuwa huwezi kufanya
>>> chochote bila nguvu na msaada wa Mungu.
>>>
>>> Mpendwa, unapoanza siku yako asubuhi anza kwa maombi kwa kumweleza
>>> BWANA yote unayotarajia kuyafanya kwa siku hiyo.Kwa mfano unapoenda
>>> sokoni
>>> mwambie *'BWANA wangu mimi ni mtoto wako Saimoni , nakiri ya kwamba
>>> nahitaji msaada wako leo; na sasa ninapoenda sokoni naomba unyoshe
>>> mapito
>>> yangu na uniwezeshe kununua kile ninachoenda kununua na ukitakase kwa
>>> damu
>>> ya Yesu Kristo ili niweze kukitumia kwa ajili ya utukufu wa jina
>>> lako'.*Mpendwa
>>> kwa kufanya hivyo Roho wa Mungu atakuwa pamoja nawe na atakuongoza kwa
>>> muuzaji anayeuza bidhaa zake bila kutumia dawa za kishirikina.
>>>
>>> Wapo watu waliofanikiwa katika maisha, uchumi, cheyo, siasa na mambo
>>> yote
>>> katika jamii na kujiona wao ni wenye akili zaidi ya wengine.Lakini
>>> nataka
>>> ufahamu kwamba mafanikio ya kutegemea akili za mtu mwenyewe huwa ni
>>> mafupi
>>> na mwisho wake huwa ni mchungu.
>>>
>>> Mpendwa katika Kristo; Mfanikio yetu katika mwili na roho yanategemea
>>> nguvu tunayoweka katika kila jambo kwa kumtumainia na kumkiri Mungu wetu
>>> * kwa moyo wote na akili zetu*.*Je ni mambo mangapi umekuwa ukiyafanya
>>> kwa mazoea ya asili na kwa akili zako bila kumshirikisha Mungu?*
>>> Mafanikio
>>> yako yanategemea nguvu ya mkono wa Mungu.Tunapaswa tumtegemee Mungu kila
>>> siku na kila dakika kwa mambo yote. Mpendwa, kama watoto wadogo
>>> wanavyowategemea wazazi wao kwa kila kitu yatupasa na sisi kuweka
>>> matumaini yetu na kumtegemea Mungu kwa kila jambo.
>>>
>>> *BWANA abariki neno lake na pia akubarike sasa na siku zote za maisha
>>> yako.*
>>> **
>>> **
>>> **
>>> **
>>> **
>>> **
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> --
>>> Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni
>>> chochote mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7
>>>
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "YourTrueVine" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to
yourtruevine...@googlegroups.com.
>>> For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>>
>>
>> --
>> *Thanks & Regards.*
>> *James BC*
>> *
+255 784 501 828*
>>
>> --
>> --
>> Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni
>> chochote
>> mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7
>>
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "YourTrueVine" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to
yourtruevine...@googlegroups.com.
>> For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> --
> Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote
> mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "YourTrueVine" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to
yourtruevine...@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
--
Hata niwapo taabuni napata kitulizo maana ahadi yako yanipa uhai.Zaburi119:50