SHIKA KANUNI ZA SABATO

388 views
Skip to first unread message

Bahati Mashimba

unread,
Nov 14, 2012, 4:51:16 AM11/14/12
to yourtr...@googlegroups.com, Mgedzi Deborah
Mtafanya kazi siku sita lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu, msifanye kazi ya namna yoyote; ni Sabato kwa BWANA katika makao yenu yote. Lawi 23:3.
Wapendwa katika Kristo Bwana Yesu apewe  sifa.

Mungu analipenda kanisa lake na anapenda kuona kanisa likitembea katika njia ya kushika neno lake.Mimi na wewe tu kanisa la Mungu na tumepewa siku moja katika juma ya kumpuzika na kumtukuza Mungu. Wakristo wengi wamekosa muda wa kumpuzika siku ya Sabato kwa sababu ya kazi zao, biashara zao, shughuli zao au uvivu na kutokujua umuhimu wa siku ya Sabato. Wapo watu wanaotumia siku ya Sabato kufanya starehe za kimwili kama vile ulevi wa pombe, uasherati, kuangalia filamu za kidunia, kujirusha kwenye starehe, kufanya dili kwa kujipatia mali kwa njia haramu na mambo mengine machafu ambayo Mungu anayachukia.

 Mungu ametuonyesha kanuni nzuri ya kupumzisha miili yetu na akili zetu kwa kutupa siku moja katika juma ili tuweze kuitumia katika makao yetu hapa duniani ili tuishi na kujiandaa vizuri na safari ya kuingia katika ufalme wa Mungu. Je unaitunzaje siku ya Sabato ambayo Mungu aliitakasa na kuwa siku ya kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu kwa ajili ya kumwabudu yeye?

Mpendwa ili tuweze kuona Baraka za Mungu katika maisha yetu na ya vizazi vyetu  ya tupasa kufuata kanuni za Mungu.Katika neno la leo tunapata kanuni nne ambazo zinaweza kutusaidia kuifanya Sabato iwe siku takatifu:

Kununi ya kwanza ya kuifanya Sabato iwe siku takatifu inatuambia tustarehe kabisa. Siku hiyo, tusifanye kazi yoyote ile ya kutumia nguvu au akili itakayosabisha kupata malipo kwa shughuli yoyote ile.
Kanuni ya pili inatuambia yatupasa tupumzike.Kanuni hii wengi wanaitafasiri vibaya kwa kushinda nyumbani wamekaa au kulala au kuangalia filamu za kidunia au kujirusha kwenye kumbi za starehe. Kupumzika maana yake ni kupumzisha mwili na akili katika kuwaza shughuli zote ulizokuwa ukifanya katika siku sita na badala yake muda huo uwaze  ukuu wa Mungu na neno lake lichukue nafasi katika moyoni mwako huku ukimtukuza Bwana kwa  yale yote aliyokuwezesha kuyatimiza ndani ya siku sita za kazi.
Kanuni ya tatu inatuambia yatupasa kufanya kusanyiko takatifu. Siku ya Sabato ni ya kukusanyika na wengine kwa ajili ya kuabudu Mungu.Kukusanyika na kuabudu Mungu ni njia mojawapo ya kuonyesha kuwa sisi tu wakristo na tunamtegemea Mungu. Huwezi kuwa mkristo wa kweli kama haushiriki ibada siku za Sabato.Siku muhimu ambayo mkristo anaweza kulishwa chakula cha kiroho na kushusha mzigo alionao katika maisha yake ni  siku za makusanyiko ya watoto wa Mungu.
Kanuni ya nne yatupasa kumkaribia Mungu katika makao yetu, Siku ya Sabato ni siku muhimu kwa familia za kikristo  kufanya ushirika wa pamoja.Tunapokutana wakristo pamoja tunapata nguvu mpya katika imani zetu na hasa  tunapoimba  nyimbo za sifa na kuabudu, tunapojadili pamoja neno la Mungu, tunapotoa ushuhuda kwa yale Mungu ametutendea katika muda wa siku sita na tunapata muda wakusaidiana katika majaribu ya shetani ( Waebrania 10:25- Tusiache ile desturi ya kukutana pamoja, kama vile wengine wanavyofanya.Bali tunapaswa kusaidiana kwani, kama mwonanvyo, siku ile ya Bwana imekaribia ).
Mpendwa kama unataka kuona baraka za Mungu katika maisha yako ya  kila siku, acha kuishi kwa njia zako mwenyewe bali ishi kwa kushika kanuni za Mungu na tunza siku ya Sabato.
 BWANA atubariki  na Neema iwe pamoja nasi sote

Raphael Iddphonce

unread,
Nov 17, 2012, 2:22:51 PM11/17/12
to yourtr...@googlegroups.com
Bahati are you an Adventist now days? if so be blessed and tell others
this forgotten truth.

Kind regards

Raphael, I

On 11/14/12, Bahati Mashimba <bahat...@yahoo.com> wrote:
> Mtafanya kazi siku sita lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa,
> kusanyiko takatifu, msifanye kazi ya namna yoyote; ni Sabato kwa BWANA
> katika makao yenu yote.Lawi 23:3.
> Wapendwa katika Kristo Bwana Yesu apewe  sifa.
> Mungu analipenda kanisa lake na anapenda kuona kanisa likitembea katika njia
> ya kushika neno lake.Mimi na wewe tu kanisa la Mungu na tumepewa siku moja
> katika juma ya kumpuzika na kumtukuza Mungu. Wakristo wengi wamekosa muda wa
> kumpuzika siku ya Sabato kwa sababu ya kazi zao, biashara zao, shughuli zao
> au uvivu na kutokujua umuhimu wa siku ya Sabato. Wapo watu wanaotumia siku
> ya Sabato kufanya starehe za kimwili kama vile ulevi wa pombe, uasherati,
> kuangalia filamu za kidunia, kujirusha kwenye starehe, kufanya dili kwa
> kujipatia mali kwa njia haramu na mambo mengine machafu ambayo Mungu
> anayachukia.
>  Mungu ametuonyesha kanuni nzuri ya kupumzisha miili yetu na akili zetu kwa
> kutupa siku moja katika juma ili tuweze kuitumia katika makao yetu hapa
> duniani ili tuishi na kujiandaa vizuri na safari ya kuingia katika ufalme wa
> Mungu.Je unaitunzaje siku ya Sabato ambayo Mungu aliitakasa na kuwa siku ya
> kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu kwa ajili ya kumwabudu yeye?
> Mpendwa ili tuweze kuona Baraka za Mungu katika maisha yetu na ya vizazi
> vyetu  ya tupasa kufuata kanuni za Mungu.Katika neno la leo tunapata kanuni
> nne ambazo zinaweza kutusaidia kuifanya Sabato iwe siku takatifu:
> Kununi ya kwanza ya kuifanya Sabato iwe siku takatifu inatuambiatustarehe
> kabisa. Siku hiyo, tusifanye kazi yoyote ile ya kutumia nguvu au akili
> itakayosabisha kupata malipo kwa shughuli yoyote ile.
> Kanuni ya pili inatuambia yatupasa tupumzike.Kanuni hii wengi wanaitafasiri
> vibaya kwa kushinda nyumbani wamekaa au kulala au kuangalia filamu za
> kidunia au kujirusha kwenye kumbi za starehe. Kupumzika maana yake ni
> kupumzisha mwili na akili katika kuwaza shughuli zote ulizokuwa ukifanya
> katika siku sita na badala yake muda huo uwaze  ukuu wa Mungu na neno lake
> lichukue nafasi katika moyoni mwako huku ukimtukuza Bwana kwa  yale yote
> aliyokuwezesha kuyatimiza ndani ya siku sita za kazi.
> Kanuni ya tatu inatuambia yatupasa kufanya kusanyiko takatifu. Siku ya
> Sabato ni ya kukusanyika na wengine kwa ajili ya kuabudu Mungu.Kukusanyika
> na kuabudu Mungu ni njia mojawapo ya kuonyesha kuwa sisi tu wakristo na
> tunamtegemea Mungu. Huwezi kuwa mkristo wa kweli kama haushiriki ibada siku
> za Sabato.Siku muhimu ambayo mkristo anaweza kulishwa chakula cha kiroho na
> kushusha mzigo alionao katika maisha yake ni  siku za makusanyiko ya watoto
> wa Mungu.
> Kanuni ya nne yatupasakumkaribia Mungu katika makao yetu, Siku ya Sabato ni
> siku muhimu kwa familia za kikristo  kufanya ushirika wa pamoja.Tunapokutana
> wakristo pamoja tunapata nguvu mpya katika imani zetu na hasa  tunapoimba
>  nyimbo za sifa na kuabudu, tunapojadili pamoja neno la Mungu, tunapotoa
> ushuhuda kwa yale Mungu ametutendea katika muda wa siku sita na tunapata
> muda wakusaidiana katika majaribu ya shetani ( Waebrania 10:25- Tusiache ile
> desturi ya kukutana pamoja, kama vile wengine wanavyofanya.Bali tunapaswa
> kusaidiana kwani, kama mwonanvyo, siku ile ya Bwana imekaribia).
> Mpendwa kama unataka kuona baraka za Mungu katika maisha yako ya  kila siku,
> acha kuishi kwa njia zako mwenyewe bali ishi kwa kushika kanuni za Mungu na
> tunza siku ya Sabato.
>  BWANA atubariki  na Neema iwe pamoja nasi sote
>
> --
> --
> Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote
> mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7
>
>
>
>

Warema S.Senzia

unread,
Nov 19, 2012, 7:42:14 AM11/19/12
to yourtr...@googlegroups.com
Bahati asante kwa somo zuri la Sabato.
Kwa bahati mbaya Wakristo wengi sana wamekuwa wakifundisha Biblia bila kufundisha somo la Sabato. Binafsi nilijiuliza kwa nini Wakristo wengi hawatunzi Sabato ili hali imeandikwa katika Biblia? nikajifunza sababu ya kuwa na siku tofauti na Sabato, katika kujifunza nikasoma vitabu vya historia vikionesha kama Mfalm ( Emperor) Constantine Mkuu ndio alibadili agizo hilo kutoka Sabato kwenda jumapili na huo ulikuwa wakati kanisa likiwa dogo linakuwa sasa kanisa likakuwa likiwa na mafundisho ya kibinadamu kama siku tofauti na Sabato na ubatizo wa maji machache n.k. na kwa kua Constantine akiwa Mfalme wa Rumi na Rumi ilitawala seheu kubwa ya Dunia basi watu wengi wakajikuta wakifuata Ukristo usio kamili. Kanisa la wakati huo lilizuia wakristo kusoma Biblia na hivyo kuwafanya wengi kutojua mafundisho sahihi ya Biblia.
Zama za kuzuiwa kusoma Biblia zikapita, lakini watu wengi wakawa tena hawataki kubadili mazoea yao hata kama wakiona ni tofauti za mafundisho ya Biblia.
 
Katika kujifunza siku sabato nilikutana na video kadhaa, ninaweza kuweka kama kuna watu wanahitaji kujifunza nami pia. Nyingi zipo kwa kiingereza.
 
Asante na sote tubarikiwe tukijifunza kuhusu Sabato takatifu ya MUNGU. 
"...Surely goodness and love will follow me
all the days of my life, and I'll dwell in the house of the LORD forever"

heri ndokoye

unread,
Nov 22, 2012, 4:29:03 AM11/22/12
to yourtr...@googlegroups.com
Thanks.
 
It touches our daily life. God bless you.
 
Amen.

Heri E. NdokoyeLab Supervisor

P.O. Box 476
Postal Code 321, Sohar
Sultanate of
Oman


M: +968-96318467
E: heri@mawaridmining.com
W: www.mawaridmining.com




--- On Sat, 17/11/12, Raphael Iddphonce <2009...@gmail.com> wrote:

From: Raphael Iddphonce <2009...@gmail.com>
Subject: Re: SHIKA KANUNI ZA SABATO

manyama karogoli

unread,
Nov 22, 2012, 6:57:55 AM11/22/12
to yourtr...@googlegroups.com, ndoko...@yahoo.co.uk
thanks indeed Heri.
 
Salama lakini? Mkeo hajambo?
 
ukifika Dar, tuwasiliane.
 
kazi njema.

From: heri ndokoye <ndoko...@yahoo.co.uk>
To: yourtr...@googlegroups.com
Sent: Thursday, November 22, 2012 12:29 PM
Subject: Re: SHIKA KANUNI ZA SABATO
Thanks.
 
It touches our daily life. God bless you.
 
Amen.
Heri E. NdokoyeLab Supervisor

P.O. Box 476
Postal Code 321, Sohar
Sultanate of
Oman



--- On Sat, 17/11/12, Raphael Iddphonce <2009...@gmail.com> wrote:

From: Raphael Iddphonce <2009...@gmail.com>
Subject: Re: SHIKA KANUNI ZA SABATO
To: yourtr...@googlegroups.com
Date: Saturday, 17 November, 2012, 19:22

Bahati are you an Adventist now days? if so be blessed and tell othersthis forgotten truth.Kind regardsRaphael, IOn 11/14/12, Bahati Mashimba <http://uk.mc1324.mail.yahoo.com/mc/compose?to=bahat...@yahoo.com> wrote:> Mtafanya kazi siku sita lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa,> kusanyiko takatifu, msifanye kazi ya namna yoyote; ni Sabato kwa BWANA> katika makao yenu yote.Lawi 23:3.> Wapendwa katika Kristo Bwana Yesu apewe  sifa.> Mungu analipenda kanisa lake na anapenda kuona kanisa likitembea katika njia> ya kushika neno lake.Mimi na wewe tu kanisa la Mungu na tumepewa siku moja> katika juma ya kumpuzika na kumtukuza Mungu. Wakristo wengi wamekosa muda wa> kumpuzika siku ya Sabato kwa sababu ya kazi zao, biashara zao, shughuli zao> au uvivu na kutokujua umuhimu wa siku ya Sabato. Wapo watu wanaotumia siku> ya Sabato kufanya starehe za kimwili kama vile ulevi wa pombe, uasherati,> kuangalia filamu za kidunia, kujirusha kwenye starehe, kufanya dili kwa> kujipatia mali kwa njia haramu na mambo mengine machafu ambayo Mungu> anayachukia.>  Mungu ametuonyesha kanuni nzuri ya kupumzisha miili yetu na akili zetu kwa> kutupa siku moja katika juma ili tuweze kuitumia katika makao yetu hapa> duniani ili tuishi na kujiandaa vizuri na safari ya kuingia katika ufalme wa> Mungu.Je unaitunzaje siku ya Sabato ambayo Mungu aliitakasa na kuwa siku ya> kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu kwa ajili ya kumwabudu yeye?> Mpendwa ili tuweze kuona Baraka za Mungu katika maisha yetu na ya vizazi> vyetu  ya tupasa kufuata kanuni za Mungu.Katika neno la leo tunapata kanuni> nne ambazo zinaweza kutusaidia kuifanya Sabato iwe siku takatifu:> Kununi ya kwanza ya kuifanya Sabato iwe siku takatifu inatuambiatustarehe> kabisa. Siku hiyo, tusifanye kazi yoyote ile ya kutumia nguvu au akili> itakayosabisha kupata malipo kwa shughuli yoyote ile.> Kanuni ya pili inatuambia yatupasa tupumzike.Kanuni hii wengi wanaitafasiri> vibaya kwa kushinda nyumbani wamekaa au kulala au kuangalia filamu za> kidunia au kujirusha kwenye kumbi za starehe. Kupumzika maana yake ni> kupumzisha mwili na akili katika kuwaza shughuli zote ulizokuwa ukifanya> katika siku sita na badala yake muda huo uwaze  ukuu wa Mungu na neno lake> lichukue nafasi katika moyoni mwako huku ukimtukuza Bwana kwa  yale yote> aliyokuwezesha kuyatimiza ndani ya siku sita za kazi.> Kanuni ya tatu inatuambia yatupasa kufanya kusanyiko takatifu. Siku ya> Sabato ni ya kukusanyika na wengine kwa ajili ya kuabudu Mungu.Kukusanyika> na kuabudu Mungu ni njia mojawapo ya kuonyesha kuwa sisi tu wakristo na> tunamtegemea Mungu. Huwezi kuwa mkristo wa kweli kama haushiriki ibada siku> za Sabato.Siku muhimu ambayo mkristo anaweza kulishwa chakula cha kiroho na> kushusha mzigo alionao katika maisha yake ni  siku za makusanyiko ya watoto> wa Mungu.> Kanuni ya nne yatupasakumkaribia Mungu katika makao yetu, Siku ya Sabato ni> siku muhimu kwa familia za kikristo  kufanya ushirika wa pamoja.Tunapokutana> wakristo pamoja tunapata nguvu mpya katika imani zetu na hasa  tunapoimba>  nyimbo za sifa na kuabudu, tunapojadili pamoja neno la Mungu, tunapotoa> ushuhuda kwa yale Mungu ametutendea katika muda wa siku sita na tunapata> muda wakusaidiana katika majaribu ya shetani ( Waebrania 10:25- Tusiache ile> desturi ya kukutana pamoja, kama vile wengine wanavyofanya.Bali tunapaswa> kusaidiana kwani, kama mwonanvyo, siku ile ya Bwana imekaribia).> Mpendwa kama unataka kuona baraka za Mungu katika maisha yako ya  kila siku,> acha kuishi kwa njia zako mwenyewe bali ishi kwa kushika kanuni za Mungu na> tunza siku ya Sabato.>  BWANA atubariki  na Neema iwe pamoja nasi sote>> --> --> Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote> mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7>>>>-- -- Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7

enock mwambeleko

unread,
Nov 22, 2012, 7:31:08 AM11/22/12
to yourtr...@googlegroups.com
wewe kaka wewe uko dar? any way kuna kaka anatafuta sana kazi ya lab supervisor yuko SGS expert kachoka tusaidie kama mnanafasi ya lab supervisor au supt yeye ni lab manager for more than 5 years
 
MWAMBELEKO ENOCK
(P. Eng in Mining)
P.O.Box 71949
DAR ES SALAAM
Tanzania
Skype chat; enock.mwambeleko 
STICK TO Y OUR OWN PRINCIPLES, HOW EVER DO NOT NEGLECT ADVICE

From: manyama karogoli <karo...@yahoo.com>
To: "yourtr...@googlegroups.com" <yourtr...@googlegroups.com>
Cc: "ndoko...@yahoo.co.uk" <ndoko...@yahoo.co.uk>
Sent: Thursday, 22 November 2012, 13:57
Subject: Re: SHIKA KANUNI ZA SABATO
thanks indeed Heri.
 
Salama lakini? Mkeo hajambo?
 
ukifika Dar, tuwasiliane.
 
kazi njema.

From: heri ndokoye <ndoko...@yahoo.co.uk>
To: yourtr...@googlegroups.com
Sent: Thursday, November 22, 2012 12:29 PM
Subject: Re: SHIKA KANUNI ZA SABATO
Thanks.
 
It touches our daily life. God bless you.
 
Amen.
Heri E. NdokoyeLab Supervisor

P.O. Box 476Postal Code 321, Sohar
Sultanate of
Oman


--- On Sat, 17/11/12, Raphael Iddphonce <2009...@gmail.com> wrote:

From: Raphael Iddphonce <2009...@gmail.com>
Subject: Re: SHIKA KANUNI ZA SABATO
To: yourtr...@googlegroups.com
Date: Saturday, 17 November, 2012, 19:22

Bahati are you an Adventist now days? if so be blessed and tell others this forgotten truth. Kind regards Raphael, I On 11/14/12, Bahati Mashimba <http://uk.mc1324.mail.yahoo.com/mc/compose?to=bahat...@yahoo.com> wrote: > Mtafanya kazi siku sita lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, > kusanyiko takatifu, msifanye kazi ya namna yoyote; ni Sabato kwa BWANA > katika makao yenu yote.Lawi 23:3. > Wapendwa katika Kristo Bwana Yesu apewe  sifa. > Mungu analipenda kanisa lake na anapenda kuona kanisa likitembea katika njia > ya kushika neno lake.Mimi na wewe tu kanisa la Mungu na tumepewa siku moja > katika juma ya kumpuzika na kumtukuza Mungu. Wakristo wengi wamekosa muda wa > kumpuzika siku ya Sabato kwa sababu ya kazi zao, biashara zao, shughuli zao > au uvivu na kutokujua umuhimu wa siku ya Sabato. Wapo watu wanaotumia siku > ya Sabato kufanya starehe za kimwili kama vile ulevi wa pombe, uasherati, > kuangalia filamu za kidunia, kujirusha kwenye starehe, kufanya dili kwa > kujipatia mali kwa njia haramu na mambo mengine machafu ambayo Mungu > anayachukia. >  Mungu ametuonyesha kanuni nzuri ya kupumzisha miili yetu na akili zetu kwa > kutupa siku moja katika juma ili tuweze kuitumia katika makao yetu hapa > duniani ili tuishi na kujiandaa vizuri na safari ya kuingia katika ufalme wa > Mungu.Je unaitunzaje siku ya Sabato ambayo Mungu aliitakasa na kuwa siku ya > kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu kwa ajili ya kumwabudu yeye? > Mpendwa ili tuweze kuona Baraka za Mungu katika maisha yetu na ya vizazi > vyetu  ya tupasa kufuata kanuni za Mungu.Katika neno la leo tunapata kanuni > nne ambazo zinaweza kutusaidia kuifanya Sabato iwe siku takatifu: > Kununi ya kwanza ya kuifanya Sabato iwe siku takatifu inatuambiatustarehe > kabisa. Siku hiyo, tusifanye kazi yoyote ile ya kutumia nguvu au akili > itakayosabisha kupata malipo kwa shughuli yoyote ile. > Kanuni ya pili inatuambia yatupasa tupumzike.Kanuni hii wengi wanaitafasiri > vibaya kwa kushinda nyumbani wamekaa au kulala au kuangalia filamu za > kidunia au kujirusha kwenye kumbi za starehe. Kupumzika maana yake ni > kupumzisha mwili na akili katika kuwaza shughuli zote ulizokuwa ukifanya > katika siku sita na badala yake muda huo uwaze  ukuu wa Mungu na neno lake > lichukue nafasi katika moyoni mwako huku ukimtukuza Bwana kwa  yale yote > aliyokuwezesha kuyatimiza ndani ya siku sita za kazi. > Kanuni ya tatu inatuambia yatupasa kufanya kusanyiko takatifu. Siku ya > Sabato ni ya kukusanyika na wengine kwa ajili ya kuabudu Mungu.Kukusanyika > na kuabudu Mungu ni njia mojawapo ya kuonyesha kuwa sisi tu wakristo na > tunamtegemea Mungu. Huwezi kuwa mkristo wa kweli kama haushiriki ibada siku > za Sabato.Siku muhimu ambayo mkristo anaweza kulishwa chakula cha kiroho na > kushusha mzigo alionao katika maisha yake ni  siku za makusanyiko ya watoto > wa Mungu. > Kanuni ya nne yatupasakumkaribia Mungu katika makao yetu, Siku ya Sabato ni > siku muhimu kwa familia za kikristo  kufanya ushirika wa pamoja.Tunapokutana > wakristo pamoja tunapata nguvu mpya katika imani zetu na hasa  tunapoimba >  nyimbo za sifa na kuabudu, tunapojadili pamoja neno la Mungu, tunapotoa > ushuhuda kwa yale Mungu ametutendea katika muda wa siku sita na tunapata > muda wakusaidiana katika majaribu ya shetani ( Waebrania 10:25- Tusiache ile > desturi ya kukutana pamoja, kama vile wengine wanavyofanya.Bali tunapaswa > kusaidiana kwani, kama mwonanvyo, siku ile ya Bwana imekaribia). > Mpendwa kama unataka kuona baraka za Mungu katika maisha yako ya  kila siku, > acha kuishi kwa njia zako mwenyewe bali ishi kwa kushika kanuni za Mungu na > tunza siku ya Sabato. >  BWANA atubariki  na Neema iwe pamoja nasi sote > > -- > -- > Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote > mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7 > > > > -- -- Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7
-- -- Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7      

Bahati Mashimba

unread,
Nov 23, 2012, 12:49:45 PM11/23/12
to yourtr...@googlegroups.com
Thanks.Stay blessed
Sent: Thursday, November 22, 2012 11:29 AM

Subject: Re: SHIKA KANUNI ZA SABATO
Thanks.
 
It touches our daily life. God bless you.
 
Amen.
Heri E. NdokoyeLab Supervisor

P.O. Box 476
Postal Code 321, Sohar
Sultanate of
Oman



--- On Sat, 17/11/12, Raphael Iddphonce <2009...@gmail.com> wrote:

From: Raphael Iddphonce <2009...@gmail.com>
Subject: Re: SHIKA KANUNI ZA SABATO
To: yourtr...@googlegroups.com
Date: Saturday, 17 November, 2012, 19:22

Bahati are you an Adventist now days? if so be blessed and tell othersthis forgotten truth.Kind regardsRaphael, IOn 11/14/12, Bahati Mashimba <bahat...@yahoo.com> wrote:> Mtafanya kazi siku sita lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa,> kusanyiko takatifu, msifanye kazi ya namna yoyote; ni Sabato kwa BWANA> katika makao yenu yote.Lawi 23:3.> Wapendwa katika Kristo Bwana Yesu apewe  sifa.> Mungu analipenda kanisa lake na anapenda kuona kanisa likitembea katika njia> ya kushika neno lake.Mimi na wewe tu kanisa la Mungu na tumepewa siku moja> katika juma ya kumpuzika na kumtukuza Mungu. Wakristo wengi wamekosa muda wa> kumpuzika siku ya Sabato kwa sababu ya kazi zao, biashara zao, shughuli zao> au uvivu na kutokujua umuhimu wa siku ya Sabato. Wapo watu wanaotumia siku> ya Sabato kufanya starehe za kimwili kama vile ulevi wa pombe, uasherati,> kuangalia filamu za kidunia, kujirusha kwenye starehe, kufanya dili kwa> kujipatia mali kwa njia haramu na mambo mengine machafu ambayo Mungu> anayachukia.>  Mungu ametuonyesha kanuni nzuri ya kupumzisha miili yetu na akili zetu kwa> kutupa siku moja katika juma ili tuweze kuitumia katika makao yetu hapa> duniani ili tuishi na kujiandaa vizuri na safari ya kuingia katika ufalme wa> Mungu.Je unaitunzaje siku ya Sabato ambayo Mungu aliitakasa na kuwa siku ya> kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu kwa ajili ya kumwabudu yeye?> Mpendwa ili tuweze kuona Baraka za Mungu katika maisha yetu na ya vizazi> vyetu  ya tupasa kufuata kanuni za Mungu.Katika neno la leo tunapata kanuni> nne ambazo zinaweza kutusaidia kuifanya Sabato iwe siku takatifu:> Kununi ya kwanza ya kuifanya Sabato iwe siku takatifu inatuambiatustarehe> kabisa. Siku hiyo, tusifanye kazi yoyote ile ya kutumia nguvu au akili> itakayosabisha kupata malipo kwa shughuli yoyote ile.> Kanuni ya pili inatuambia yatupasa tupumzike.Kanuni hii wengi wanaitafasiri> vibaya kwa kushinda nyumbani wamekaa au kulala au kuangalia filamu za> kidunia au kujirusha kwenye kumbi za starehe. Kupumzika maana yake ni> kupumzisha mwili na akili katika kuwaza shughuli zote ulizokuwa ukifanya> katika siku sita na badala yake muda huo uwaze  ukuu wa Mungu na neno lake> lichukue nafasi katika moyoni mwako huku ukimtukuza Bwana kwa  yale yote> aliyokuwezesha kuyatimiza ndani ya siku sita za kazi.> Kanuni ya tatu inatuambia yatupasa kufanya kusanyiko takatifu. Siku ya> Sabato ni ya kukusanyika na wengine kwa ajili ya kuabudu Mungu.Kukusanyika> na kuabudu Mungu ni njia mojawapo ya kuonyesha kuwa sisi tu wakristo na> tunamtegemea Mungu. Huwezi kuwa mkristo wa kweli kama haushiriki ibada siku> za Sabato.Siku muhimu ambayo mkristo anaweza kulishwa chakula cha kiroho na> kushusha mzigo alionao katika maisha yake ni  siku za makusanyiko ya watoto> wa Mungu.> Kanuni ya nne yatupasakumkaribia Mungu katika makao yetu, Siku ya Sabato ni> siku muhimu kwa familia za kikristo  kufanya ushirika wa pamoja.Tunapokutana> wakristo pamoja tunapata nguvu mpya katika imani zetu na hasa  tunapoimba>  nyimbo za sifa na kuabudu, tunapojadili pamoja neno la Mungu, tunapotoa> ushuhuda kwa yale Mungu ametutendea katika muda wa siku sita na tunapata> muda wakusaidiana katika majaribu ya shetani ( Waebrania 10:25- Tusiache ile> desturi ya kukutana pamoja, kama vile wengine wanavyofanya.Bali tunapaswa> kusaidiana kwani, kama mwonanvyo, siku ile ya Bwana imekaribia).> Mpendwa kama unataka kuona baraka za Mungu katika maisha yako ya  kila siku,> acha kuishi kwa njia zako mwenyewe bali ishi kwa kushika kanuni za Mungu na> tunza siku ya Sabato.>  BWANA atubariki  na Neema iwe pamoja nasi sote>> --> --> Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote> mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7>>>>-- -- Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7

Bahati Mashimba

unread,
Nov 23, 2012, 1:00:41 PM11/23/12
to yourtr...@googlegroups.com
Asante Senzia kwa ufafanuzi zaidi juu ya siku ya Sabato.BWANA
atusaidie ili tuijue kweli .

Ubarikiwe sana

On 11/19/12, Warema S.Senzia <gwa...@yahoo.com> wrote:
> Bahati asante kwa somo zuri la Sabato.
> Kwa bahati mbaya Wakristo wengi sana wamekuwa wakifundisha Biblia bila
> kufundisha somo la Sabato. Binafsi nilijiuliza kwa nini Wakristo wengi
> hawatunzi Sabato ili hali imeandikwa katika Biblia? nikajifunza sababu ya
> kuwa na siku tofauti na Sabato, katika kujifunza nikasoma vitabu vya
> historia vikionesha kama Mfalm ( Emperor) Constantine Mkuu ndio alibadili
> agizo hilo kutoka Sabato kwenda jumapili na huo ulikuwa wakati kanisa likiwa
> dogo linakuwa sasa kanisa likakuwa likiwa na mafundisho ya kibinadamu kama
> siku tofauti na Sabato na ubatizo wa maji machache n.k. na kwa kua
> Constantine akiwa Mfalme wa Rumi na Rumi ilitawala seheu kubwa ya Dunia basi
> watu wengi wakajikuta wakifuata Ukristo usio kamili. Kanisa la wakati huo
> lilizuia wakristo kusoma Biblia na hivyo kuwafanya wengi kutojua mafundisho
> sahihi ya Biblia.
> Zama za kuzuiwa kusoma Biblia zikapita, lakini watu wengi wakawa tena
> hawataki kubadili mazoea yao hata kama wakiona ni tofauti za mafundisho ya
> Biblia.
>
> Katika kujifunza siku sabato nilikutana na video kadhaa, ninaweza kuweka
> kama kuna watu wanahitaji kujifunza nami pia. Nyingi zipo kwa kiingereza.
>
> Asante na sote tubarikiwe tukijifunza kuhusu Sabato takatifu ya MUNGU.
> "...Surely goodness and love will follow me
> all the days of my life, and I'll dwell in the house of the LORD forever"
>
>
>
> ________________________________
Hata niwapo taabuni napata kitulizo maana ahadi yako yanipa uhai.Zaburi119:50
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages