Katika Biblia tunasoma mistari mbalimbali inayotuonyesha umuhimu wa kuwafundisha watoto.
Sababu za kuwafundisha watoto (a) Ili wafahamu neno la Mungu na Mungu mwenyewe wakiwa
wadogo (b) Ili kuwawezesha kumtii Yesu Kristo na neno lake (c) Wajue kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli (d) Watoto na watu wazima wanaomjua Kristo wanaweza kubadili Taifa/dunia (e) Wawe watoto hai na kuwa viongozi wa kesho wanaongoza Kanisa katika njia
sahihi (f) Wawe viongozi wa kesho wanaongoza Taifa katika njia sahihi na hofu ya MunguWazazi tunahamu kubwa ya kuona watoto wetu wanabarikiwa na kuwekwa kwa Bwana.Tena tunategemea kuona wanaendelea vizuri katika makuzi yao na wanafanikiwa katika maisha yao.Ni wajibu wa mzazi Mkristo kuwafundisha watoto wakiwa bado na umri mdogo na hata atakapokuwa hataacha njia ya BWANA. Mch G.Bundala AICT |
Katika Biblia tunasoma mistari mbalimbali inayotuonyesha umuhimu wa kuwafundisha � watoto.
- Watoto ni wajumbe wa habari njema,�Yoeli 1:3 �Waarifuni watoto wenu habari yake ,Watoto wenu wakawaambie watoto wao, Na watoto wao wakakiambie kizazi kingine�
- Bwana anahitaji kuwaokoa,�Yohana 3:16 �Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele �
- Watoto wanaofundishwa �Habari Njema mapema ni rahisi kusikia na kuelewa, �Mithali 22:6 � Mlee mtoto katika njia impasayo,Naye hataicha hata atakapokuwa mzee �
- Watoto na watu wazima/wazee wana akili tofauti,�1korintho 14:20 � Ndugu zangu, msiwe watoto katika akili zenu;lakini katika uovu mgeuzwe watoto wachanga,bali katika akili zenu mkawe watu wazima�
- Mwanzo wa mafanikio ya maisha yao ni nyumbani,�Waefeso 6:1-4 � Enyi watoto,watiini wazazi wenu katika Bwana,maana hii ndiyo haki.Waheshimu baba yako na mama yako;amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye�ahadi,upate heri,ukae siku nyingi katika dunia.Nanyi,akina baba,msiwachokoze watoto wenu;bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana �
- Watoto ni marafiki wa Mungu,�Mathayo 18:14 � Vivyo hivyo haipendezi mbele za Baba yenu aliye mbinguni kwamba mmoja wa wadogo hawa apotee �
- Watoto wataingia mbinguni,�Zekaria 8:5 �Na hizo njia za mji zitajaa wavulana, na wasichana, wakicheza katika njia zake �
�Sababu za kuwafundisha watoto
(a) Ili wafahamu neno la Mungu na Mungu mwenyewe wakiwa wadogo(b) Ili kuwawezesha kumtii Yesu Kristo na neno lake(c) Wajue kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli
--
(d) Watoto �na watu wazima �wanaomjua Kristo wanaweza kubadili Taifa/dunia(e) Wawe watoto hai �na kuwa �viongozi �wa kesho wanaongoza Kanisa katika njia sahihi(f) Wawe � viongozi �wa kesho wanaongoza Taifa �katika njia sahihi �na hofu ya Mungu
Wazazi tunahamu �kubwa ya kuona watoto wetu wanabarikiwa �na �kuwekwa �kwa Bwana.Tena �tunategemea kuona wanaendelea � vizuri katika makuzi yao �na wanafanikiwa katika maisha yao.Ni wajibu wa mzazi Mkristo kuwafundisha watoto wakiwa bado na umri mdogo na hata atakapokuwa hataacha njia ya BWANA.�
Mch G.BundalaAICT
Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7
Asante kwa matashi mema
Na kutukumbusha kwamba ni vema kuwafundisha watoto wangali wadogo habari za mungu na kumfahamu mungu ni nani na mungu nawapenda watu wa namna gani.
Katika hilo naungana na wewe
Leo umenikumbusha sana nikiwa mtoto nikiwa jioni wakati tunasubiri mama amalize kupika chakula Baba alitufundisha jinsi Mungu alivyoumba ulimwengu na mambo mangine mengi kutoka katekisemo
On 4/20/2012 11:04 AM, Bahati Mashimba wrote:
Katika Biblia tunasoma mistari mbalimbali inayotuonyesha umuhimu wa kuwafundisha watoto.
- Watoto ni wajumbe wa habari njema, Yoeli 1:3 “Waarifuni watoto wenu habari yake ,Watoto wenu wakawaambie watoto wao, Na watoto wao wakakiambie kizazi kingine”
- Bwana anahitaji kuwaokoa, Yohana 3:16 “Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele ”
- Watoto wanaofundishwa Habari Njema mapema ni rahisi kusikia na kuelewa, Mithali 22:6 “ Mlee mtoto katika njia impasayo,Naye hataicha hata atakapokuwa mzee ”
- Watoto na watu wazima/wazee wana akili tofauti, 1korintho 14:20 “ Ndugu zangu, msiwe watoto katika akili zenu;lakini katika uovu mgeuzwe watoto wachanga,bali katika akili zenu mkawe watu wazima”
- Mwanzo wa mafanikio ya maisha yao ni nyumbani, Waefeso 6:1-4 “ Enyi watoto,watiini wazazi wenu katika Bwana,maana hii ndiyo haki.Waheshimu baba yako na mama yako;amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,upate heri,ukae siku nyingi katika dunia.Nanyi,akina baba,msiwachokoze watoto wenu;bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana ”
- Watoto ni marafiki wa Mungu, Mathayo 18:14 “ Vivyo hivyo haipendezi mbele za Baba yenu aliye mbinguni kwamba mmoja wa wadogo hawa apotee ”
- Watoto wataingia mbinguni, Zekaria 8:5 “Na hizo njia za mji zitajaa wavulana, na wasichana, wakicheza katika njia zake ”
Sababu za kuwafundisha watoto(a) Ili wafahamu neno la Mungu na Mungu mwenyewe wakiwa wadogo(b) Ili kuwawezesha kumtii Yesu Kristo na neno lake(c) Wajue kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli
(d) Watoto na watu wazima wanaomjua Kristo wanaweza kubadili Taifa/dunia(e) Wawe watoto hai na kuwa viongozi wa kesho wanaongoza Kanisa katika njia sahihi(f) Wawe viongozi wa kesho wanaongoza Taifa katika njia sahihi na hofu ya Mungu
Wazazi tunahamu kubwa ya kuona watoto wetu wanabarikiwa na kuwekwa kwa Bwana.Tena tunategemea kuona wanaendelea vizuri katika makuzi yao na wanafanikiwa katika maisha yao.Ni wajibu wa mzazi Mkristo kuwafundisha watoto wakiwa bado na umri mdogo na hata atakapokuwa hataacha njia ya BWANA.
Mch G.BundalaAICT
--
Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7
--
Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu basi ombeni chochote mtakacho nanyi mtapewa.Yohana15:7