Fw: FW: Wazazi tuko busya

29 views
Skip to first unread message

Deborah Mgedzi

unread,
Feb 10, 2012, 1:35:56 AM2/10/12
to cathy sanga, Lena Mfalila, Nana Temu, Theudas Msangi, Hildagard Steven, harrieth hamis, Fred Kiangio, frida felix, Edward Kirumbi, Oscar Kaitaba, Amboni Nico, Bahati Mashimba, paul walden, Sylvester Satu, debora kiusa, Sayuni Mbughuni, Subila Mwambingu, uzeeli kiangi, Allen Kinyamasongo, Nsaghurwe Alpha
OMBEA SANA WATOTO PEPO LA UZINZI LINAWASUMBUWA SANA. SOMA HABARI HII KWA MAKINI NA NDIPO UTAELEWA TUKO WAPI!

----- Forwarded Message -----
From: anna sanyiwa <annas...@yahoo.com>
To: adeline saguti <adelin...@yahoo.com>; alex ngaiza <ndyet...@yahoo.com>; angela shayo <ars...@yahoo.com>; Anjali baria <bar...@yahoo.com>; Anna Kaluzi <kaluz...@yahoo.co.uk>; FLORA MUSHI <sanyi...@yahoo.com>; Grace Jengo <grace...@yahoo.co.uk>; Dr.Navoneiwa Linjewile <nav...@hotmail.com>; ELIZABETH NGOYE <sabe...@hotmail.com>; elizabeth sallu <esa...@yahoo.co.uk>; Koku Kazaura <kaza...@tz.cdc.gov>; sekela mwakyusa <sekela_...@yahoo.com>; Neema Kanyaro <nee...@yahoo.com>; Cellina Mhina <c.m...@yahoo.com>; christine mataka <chec...@yahoo.co.uk>; Milka Mafwiri <mmaf...@yahoo.com>; Dorothy Bikurakule <doro...@gmail.com>; Deborah Mgedzi <debora...@yahoo.com>; Nkundwe Mwakyusa <tuk...@yahoo.com>
Sent: Thursday, February 9, 2012 4:25 AM
Subject: Fw: FW: Wazazi tuko busya


--- On Thu, 2/9/12, Ruth Simba <ruth...@yahoo.com> wrote:

From: Ruth Simba <ruth...@yahoo.com>
Subject: Fw: FW: Wazazi tuko busya
To: "ireene masawe" <ireene...@hotmail.com>, "Kapea Kippaya" <kape...@yahoo.com>, "Esther Kibanga" <magun...@yahoo.com>, "Veronica Lobo" <ver...@hotmail.com>, "vchil...@tcaa.go.tz" <vchil...@tcaa.go.tz>, "aju...@tcaa.go.tz" <aju...@tcaa.go.tz>, "annas...@yahoo.com" <annas...@yahoo.com>, "Patricia chenga" <pch...@tcaa.go.tz>, "cmp...@tcaa.go.tz" <cmp...@tcaa.go.tz>, "Rhoda Delem ( TNS- Tanzania)" <rde...@tns.org>, "Rhoda Delem ( TNS- Tanzania)" <rde...@tns.org>, "elw...@tcaa.go.tz" <elw...@tcaa.go.tz>, "georgina mziray" <grmz...@yahoo.com>, "harieth mgendi" <hari...@yahoo.com>, "irene Masawe" <irene...@yahoo.com>, "Joy Sawe" <saw...@hotmail.com>, "kessy...@yahoo.com" <kessy...@yahoo.com>, "Wanjiru Muita" <wmu...@cassoa.org>
Date: Thursday, February 9, 2012, 1:58 AM


----- Forwarded Message -----
From: "Shirima, Neema " <neema....@citi.com>
To: *GCIB TZ Women4CITI <tz.cit...@imceu.eu.ssmb.com>
Sent: Thursday, February 9, 2012 10:48 AM
Subject: FW: FW: Wazazi tuko busya
 
Kuna hii nayo ilipatikana kanisani, pale mchungajai aliyealikwa kutulisha neno alipoamua kutushirikisha matatizo yanayowapata kondoo wa bwana. kuna  siku alipigiwa simu na wazazi fulani aende nyumbani kwao akamuombee binti yao mdogo mtoto wa darasa la nne, kisa cha kuitwa ni kuwa yule mtoto anasoma hizi shule za academia,siku moja asubuhi wakati anawahi basi la shule alisahau kuzima fan (pangaboi la juu) chumbani kwake, kupitia kioo cha juu ya mrango wazazi wakaona pangaboi linazunguka baba akaamua aingie chumbani kwa binti  akazime ghafla akakutana na vidonge juu ya meza ya kusomea....akamuita mama akamuuliza ni vya nn?lahaula vilikua ni vidonge vya majira ya uzazi, wazazi wakahamaki sana wakajiuliza maswali mengi, wakakubaliana wamsubiri binti akirudi jioni wamuulize.
  
Binti aliporudi akabanwa na wazazi, mwanzo alitaka kugoma, wakamtishatisha akakubali kuwa amepewa na Mlinzi wa getini hapo nyumbani, mazingira wanayoishi ni katika estate ina nyumba kama kumi na tano, so the whole compound imezungushiwa ukuta na ina geti moja kubwa la kuingilia.Mtoto akaanza kueleza kuwa mchezo huo  aliuanza miaka miwili iliyopita na fundi mwashi aliyekuwa anajenga hapo estate ndo alianza kumfundisha Ngono, thena aakafuata Mlinzi, mlinzi aliponogewa akamwambia mwenzie, huyu wa plili akamtishia mtoto kuwa asipompa na yeye atamsemea kwa baba yake, mtoto akampa, akaja wa tatu, huyu ndo akamfundisha na kutumia vidonge, sasa akawa mtaalam.
  
Mchungaji alipoitwa akasema kabla sijamuombea naomba mnipe mda nikae nae mm na yeye tu nimfanyie counselling, hapo ndipo yalipofumuka memgi makubwa, yule mtoto akakiri mbele ya baba mchungaji kuwa ameshazoea sana mchezo wa ngono hata hapo kwenye estate wanapoishi ameshatembea na wababa wanne, huwa anaaga anaenda saloon wkend akifika nje hao wababa wanampakia kwenye magari yao wanampeleka huko wanapopajua kumfanyia uharibifu, akaendelea ku-narate kuwa hata dereva na konda wa school bus tayari ameshafanya nao, shuleni amefanya na walimu wawili na Mwalimu mkuu pia.
  
Mchungaji hakuwaeleza wazazi extent ya uharibifu aliyofanyiwa mtoto wao, aliwaita wote akawaombea, next akaenda kwenye hiyo shule kupambana na mwl mkuu, ushauri wa mwisho aliwapa wazazi ni kumwamisha binti shule, pamoja na kuendelea na maombi kwa binti huyo..........................story hii iliwatoa machozi watu kanisani.
  
Kikubwa kinachojitokeaza hapa ni hii style ya maisha ya sasa, wazazi tupo too busy na kazi,kutafuta hela kiasi hatupati kuwa karibu na watoto wetu, sasa upweke wanaoupata watoto ndo wanatumbukia kwenye mambo ya ajabu kama haya.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages