Fw: Asante Yesu kwa 2011, Nakuamini kwa 2012

45 views
Skip to first unread message

Deborah Mgedzi

unread,
Jan 3, 2012, 1:29:52 AM1/3/12
to cathy sanga, Violet Minja, Bernadetha Shilio, Nkundwe Mwakyusa, happiness nkya, Kumbwaeli Salewi, mos...@yahoo.com, Mathias kavugha, Elikira Ndossi, eligreta mnzava, Sylvester Satu, Anna Sanyiwa, chec...@yahoo.co.uk, Nana Temu, Theudas Msangi, lugano ross, Fred Kiangio, yourtr...@googlegroups.com

----- Forwarded Message -----
From: patricia maganga <patmy...@yahoo.com>
To: ursula Nyandindi <unyan...@yahoo.com>; Tumaini Munisi <tmu...@hotmail.com>; tinashij...@hotmail.com; Theonas Mkoba <mkobap...@yahoo.com>; Teddy Qirtu Ntemi <bul...@yahoo.com>; Susan Maganga <susj...@yahoo.co.uk>; Stellah Manda <manda...@hotmail.com>; Stella Manda <stella...@gmail.com>; SIMBA SIMBA <komin...@yahoo.com>; SHANGWE MANDA <shan...@gmail.com>; Rose Muya <rosema...@yahoo.com>; Richard Mbaruku <rmbaru...@yahoo.co.uk>; Richard Lange Mkumbo <rmkum...@yahoo.co.uk>; Renatha Rugarabamu <rruga...@unicef.org>; REGINA KIKULI <rlki...@yahoo.com>; PRISCA MUTANI <mutani...@hotmail.com>; Prisca Mtey <prisc...@yahoo.com>
Cc: PATRICK SIZYA <patty...@hotmail.com>; PATRICK SIZYA <psi...@yahoo.com>; OLLYMPIA KOWERO <olly...@yahoo.com>; Nsachris Mwamwaja <nsac...@yahoo.co.uk>; Niney Lucian <niney....@boatanzania.com>; Msisiri Manda <coma...@hotmail.com>; MOMBURI JOYCE <jmom...@yahoo.com>; MILDRED KINYAWA <mildred2...@yahoo.co.uk>; matthew maganga <wilma...@live.com>; MARY KITAMBI <mkasak...@gmail.com>; mary kitambi <mkasak...@yahoo.com>; LEAH CHENYA <leahc...@yahoo.com>; KINYAWA KINYAWA <mildredp...@yahoo.co.uk>; KENNETH KASULWA <kenn...@hotmail.com>; KABUDI ROBERT <robert...@yahoo.com>; JOHN MAGODA <joh...@um.dk>; james msina <jkm...@yahoo.com>; Gradeline Aminiel Minja <gra...@um.dk>; glory maganga <gcma...@hotmail.com>; FUTE fute <iskar...@yahoo.com>; Frida mokiti <frida...@yahoo.co.uk>; Fmkisamo Kisamo <kisa...@yahoo.com>; Florence Chokoya <flou...@balton.co.tz>; fauster kisamo <fmki...@yahoo.co.uk>; FAITH PATRICK <fpatrick@tz..meda.org>; Esther Kitaly <esther...@hotmail.com>; Elizabeth Kawalega <kawalegae...@yahoo.com>; Elizabeth Mapella <emap...@yahoo.co.uk>; EGIDI MKOBA <emk...@hotmail.com>; DR DONAN W MMBANDO <dwmm...@hotmail.com>; dorothy mbuya <mrsd...@yahoo.co.uk>; Dorah John <maki...@yahoo.com>; Deborah Mgedzi <debora...@yahoo.com>; Christina Alphonce <christina...@yahoo.com>; CHINGUWILE ALICE <achin...@yahoo.co.uk>; CASTRO SIMBA <castro...@yahoo.com>; Caroline Mchome <carol...@gmail.com>; Caritas Mushi <honor...@yahoo.com>; caritas mushi <carit...@hotmail.com>; bertha mamuya <mam...@yahoo.com>; Arthur Mtafya <arthur...@rfsu.se>; ANSELM MWAMPOMA <amwa...@yahoo.com>; anna nswilla <answ...@yahoo.co.uk>; Aloisisa Manda <aloisi...@hotmail.com>; AGATHA MSHANGA <amsh...@yahoo.co.uk>; 'Asungwile Fungas' <asumwa...@yahoo.com>
Sent: Saturday, December 31, 2011 1:35 AM
Subject: Fw: Asante Yesu kwa 2011, Nakuamini kwa 2012


--- On Fri, 12/30/11, The Kingdom News: Maombi. <theking...@yahoo.com> wrote:

From: The Kingdom News: Maombi. <theking...@yahoo.com>
Subject: Asante Yesu kwa 2011, Nakuamini kwa 2012
To: "The Kingdom News: Maombi. Member" <patmy...@yahoo.com>
Date: Friday, December 30, 2011, 9:36 PM


--Damu ya Yesu--
The Kingdom News
Kanisa la Mtandaoni.    
Huduma ya Maombi.
 

Asante Yesu kwa mwaka 2011, Ninakuamini Wewe kwa mwaka 2012.
"Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, na kwa maana fadhili zake zadumu hata milele"
Bwana Yesu asifiwe daima!

Ninaamini unaendelea vyema na unatambua na kumshukuru Mungu kwa matendo makubwa anayoyafanya katika maisha yako, kama Neno la Mungu lisemavyo,
"Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, na kwa maana fadhili zake zadumu hata milele" (Zaburi 107:1)
 
Ninayo furaha kuulete ujumbe huu kwako, ikiwa ni siku ya mwisho  kabisa ya mwaka 2011, na napenda tutafakari kidogo kuhusu kuingia kwetu mwaka 2012.

Tulipokuwa tunakumbushana kujiandaa kwa mwaka 2011 (kwa wale walikowa wamejiunga na Huduma hii tayari), nilifundisha kwamba ni muhimu kila mtu aandike mipango yake ya mwaka mzima wa 2011 na kumwomba Mungu juu ya mipango hiyo na kuweka mikakati ya kuitimiza. Wakati huu tunapoelekea mwisho wa mwaka, ni wakati mzuri wa kila mmoja wetu kupima ni kwa kiasi gani umefanikiwa kuitimiza mipango yako ya mwaka huu. Umefanikiwa na kushindwa kwa kiasi gani? Ni sababu gani zimekufanya ushindwe kwa kiasi hicho? na kisha utazame ni namna gani unaweza kufanikiwa zaidi katika mwaka ujao.

Jambo lingine la muhimu sana nililofundisha lilikuwa ni kumwomba Mungu akupe Neno la kukuongoza kwa kipindi kizima cha mwaka 2011, Je, ulimwomba Mungu hili? Je umeona uhusiano wowote wa Neno hilo na maisha yako kwa mwaka 2011?

Kama bado, basi tunapoingia mwaka 2012, ni vyema sasa kukaa faragha na Mungu na kumwomba Mungu kuhusu maisha yako/familia yako kwa kipindi cha mwaka mzima wa 2012. Mwombe Roho Mtakatifu wa Mungu akupe ushauri/hekima ya kujipanga kwa ajili ya 2012. Ni mambo gani unatamani kuyatenda ndani ya mwaka 2012?

•Ni mambo gani unatamani kumfanyia Mungu mwaka 2012?
•Ni mambo gani unatamani Mungu akufanyie 2012?
•Ni mambo gani utamani Mungu aifanyie familia yako mwaka 2012?
•Ni mambo gani kwenye maisha yako ambayo hutaki yajirudie tena?


Kwa maneno mengine, kaa chini uandike malengo yako kwa mwaka 2012, ni mambo gani unatamani kuyafanikisha kwa msaada wa Mungu? Yaandike katika karatasi na uyatunze vizuri. Jumuisha pia kama kuna mambo yoyote ya kitabia au yahusuyo nafsi yako ambayo unataka kuyabadilisha ndani ya mwaka 2012. Kisha, weka mikakati ya namna utakavyoyatimiza mambo hayo utakayopanga, na ukishafanya hivyo, basi andika vizuri mipango hiyo na kisha anza kumwomba Mungu ili akusaidie kuyafanikisha hayo yote yanayompendeza.(
"Moyo wa mtu hufikiri njia yake, bali BWANA huelekeza hatua zake", Mithali 16:9)

Mwombe Mungu akupe Neno lake la kukuongoza kwa mwaka mzima wa 2012, hili litakusaidia sana kujua Mungu anataka uishi vipi 2012 na namna utakavyoyashuhulikia mambo yatakayojitokeza mwaka huo. Hitimisha maombi yako kwa kupeleka sadaka Kanisani unaposali na umweleze Mungu kuwa unaambatanisha sadaka yako na maombi yako kwa ajili ya mwaka 2012. Karatasi uliyoandika mipango na mikakati yako ya mwaka 2012 itunze ili uwe unaipitia kila baada ya muda fulani kutathmini utekelezaji wake.

Usiache mwaka 2012 ukukute hujajiandaa kuupokea, jiandae vizuri kuuingia mwaka huo, kumbuka
"Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo" (Mithali 23:7a, tafrisi kutoka KJV)

Mwaka 2012 utakuwa mwaka mwema kwetu sote.

Tuombe...

Mungu Baba, ninakuja mbele zako kwa Damu ya Yesu Kristo. Ninakushukuru sana kwa ajili ya baraka zako kwangu katika mwaka mzima wa 2011. Baba, ninakuamini Wewe tena kwa ajili ya mwaka mpya wa 2012. Ninakushukuru sana kwa ajili ya yale yote ambayo umeniwezesha kuyatimiza kwa mwaka 2011, ninaomba unisamehe kwa yale niliyoshindwa kuyatimiza kwa mwaka huu. Ninaomba unipe nuru yako kuhusu mwaka 2012, nifundishe namna ya kufanikiwa katika mwaka 2012. Ninakiri kuwa mwaka 2012 utakuwa ni mwaka wa mimi kuwekwa huru na kufanikiwa sana. Nimeomba na kuamini haya kwa Jina la Yesu Kristo, Amen.

Katika kipindi hiki tunapoelekea mwaka mpya, ni jambo la faida sana nikiweza kupata maoni kutoka kwako kuhusu Huduma hii. Ninawabariki wale wote ambao tayari wameanza kunitumia maoni yao, nimeyaona na ninayazingatia. Kama bado, tafadhali nipatie maoni yako kwa kubonyeza hapa na kujaza fomu fupi ya maoni.
 
Nakutakia kila la heri katika mwaka 2012.


Yesu Kristo ni Yeye yule,jana leo na hata milele;

Frank Lema,
The KingdomNews,
www.thekingdomnews.org
theking...@yahoo.com
Arusha, Tanzania.
December 31st,2011

(Maandiko ya Biblia niliyotumia katika ujumbe huu ni kutoka tafsiri ya NENO BIBLIA, isipokuwa pale nilipoonesha tofauti)


 
 
 
 
  Jiunge na Huduma hii: Click Hapa  :: Soma ujumbe niliotuma siku za nyuma kwa kubonyeza hapa
 

Fuatilia Kanisa la Mtandaoni katika mtandao wa facebook sasa! Click hapa
 

Mungu aibariki sana kampuni ya Digital Brain (
www.digitalbraintz.com)  kwa kuendelea kudhamini huduma hii ya kwenye  mtandao. Mungu Aliye juu Mbinguni na awabariki sana na kuwapa neema ya kukua na kufanikiwa ulimwenguni pote, Amen.
 
 
Zaidi kutoka
The Kingdom News .  org: Mafundisho| Unataka kuokoka | Neno la Leo | Maombi
|   Zaidi......
 

Unapokea ujumbe huu wa Neno la Mungu  baada ya kujiunga au kuunganishwa na mwenzako katika Huduma hii ya Kanisa la Mtandaoni la Kingdom News. Kama umepokea Ujumbe huu  baada ya rafiki yako ku-forward kwako, basi unaweza kujiunga mwenyewe katika huduma hii kwa kutembelea www.TheKingdomNews.org ili uendelee kupokea ujumbe katika email yako. Tafadhali wafahamishe wengine kuhusuhuduma hii na ubarikiwe na Bwana.
                
Kwa maswali/mahitaji yoyote kuhusu Huduma hii, wasiliana nami:
               
email:
thekingdomnews@yahoo.com

                             Ubarikiwe na Bwana.
          
Hizi ni taarifa muhimu kuhusu namna ulivyounganishwa na Huduma hii ya Mtandaoni:
Umeunganishwa katika huduma ya:
The Kingdom News: Maombi.
Umeunganishwa kwa kutumia email :
patmy...@yahoo.com

Unaweza kujiondoa wakati wowote kwa ku-click anwani hii:
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages