notice:The Mombasa Town Clerk wrote:Uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.Watakaopatikana wakikiuka amri hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.The Kiambu Town Clerk:Wanyuanji wa thigara washunge sana . Unyuanji wa thigara bere ya watu hata huko ije umefigwa marufuku na kaju kuanjia reo.The Machakos Town Clerk:Wavulutanji tusikala wasunge sana . Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na kanzu ya Masaku itawasukulia atua kuvwa sana .The Kisumu Town Clerk:Atenson Plis!!! Mifuto sgara adharani sasa omepigwa marofuku. Okipaatwa, ibiro yie Kodiaga! Apana furuta Plis!!Wajir Town Clerk:Habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuk na sisi tagaamata mutu b hahala yaghe kiburuta.Kericho Town Clerk:Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa. Haguna!! Charipu wee taona!!!Kisii and Nyamira Town ClerkAkuna kukunywa sigara hapa ndani na inche kuansia reo. Mutakaobatikana mutakura kiboko saa hiyo hiyo. Wote munaombua kujiatari sana .Other Councils are still working on theirs.......