Padri nae Mbiyo
Subject: kuungamisha nako kazi!
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama.
"padri naungama dhambi zangu, leo nimefanya dhambi kubwa sana"
"endelea"
"bosi wangu aliniita nyumbani kwake akaniambia amegundua nimeiba shilingi milioni 50, akasema nisipotoa maelezo ya kutosha atanipeleka polisi. Sasa ukweli mimi naogopa kufungwa, nikatazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu, nikachomoa bastola nikamuua. Yesu atanisamehe?"
"utasamehewa"
"Basi wakati nataka kuondoka nikasikia mlango unafunguliwa, kutazama loh, mke wa bosi. Akaniuliza nimemfanya nini mume wake. Kutazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu, nikamuua na yeye. Yesu atanisamehe na hiyo?"
"utasamehewa"
"nikatoka nje, nikawasha gari niondoke lakini mlinzi akakataa kufungua geti Kutazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu nikamuua. Yesu atanisamehe?"
"utasamehewa"
"nikajifungulia geti mwenyewe nikaenda nyumbani, wakati napanga kuja kuungama mtoto wa bosi akabisha hodi nikawaza mambo gani tena. amerudi yake inayoonesha kuwa nilikuwa na appointment naye kabla hajafa. Nikamuuliza nani mwingine anajua, akasema ameanzia kwangu kisha atakwenda polisi. Nikatazama huku na huku nikagundua tuko wawili peke yetu nikamuua. Diary nikaichoma moto. Yesu atanisamehe na hilo?"
-
"padri, Yesu atanisamehe kwa hilo?"
- kimya.........
Jamaa kutazama kwenye kibox padri hayupo. Lakini kwenye kona moja akaona
kabati la ngou za mapadri kama linatikisika. Kufungua akamuona padri kajificha
katikati ya anatetemeka.
"sasa
padri kwa taabu akajibu
"nilitazama huku na huku nikagundua kuwa tuko wawili peke yetu........" |
Website and eMarketing Management Consultancy, Business and Community Projects Management Consultancy
Lemburis Kivuyo wrote:
> Have a good day
>
>
>
> Padri nae Mbiyo
>
>
>
>
>
>
>
> *Subject:* kuungamisha nako kazi!
> sender<loishiy...@gmail.com?subject=Re%3A%20Fwd%3A%20FW%3A%20kuungamisha%20nako%20kazi%21>|
> Reply
> to
> group<TAFESAs...@yahoogroups.com?subject=Re%3A%20Fwd%3A%20FW%3A%20kuungamisha%20nako%20kazi%21>|
> Reply
> via web
> post<http://groups.yahoo.com/group/TAFESAssociates/post;_ylc=X3oDMTJxbWlvZW81BF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzE4MDM5NDgEZ3Jwc3BJZAMxNzA1MDc0NzY4BG1zZ0lkAzI2OTMwBHNlYwNmdHIEc2xrA3JwbHkEc3RpbWUDMTMwMjM0MjAyNQ--?act=reply&messageNum=26930>|
> Start
> a New
> Topic<http://groups.yahoo.com/group/TAFESAssociates/post;_ylc=X3oDMTJlcWplaTlzBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzE4MDM5NDgEZ3Jwc3BJZAMxNzA1MDc0NzY4BHNlYwNmdHIEc2xrA250cGMEc3RpbWUDMTMwMjM0MjAyNQ-->
> Messages in this
> topic<http://groups.yahoo.com/group/TAFESAssociates/message/26930;_ylc=X3oDMTM2cWUxZGpnBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzE4MDM5NDgEZ3Jwc3BJZAMxNzA1MDc0NzY4BG1zZ0lkAzI2OTMwBHNlYwNmdHIEc2xrA3Z0cGMEc3RpbWUDMTMwMjM0MjAyNQR0cGNJZAMyNjkzMA-->(
> 1)
> Recent Activity:
>
>
> Visit Your
> Group<http://groups.yahoo.com/group/TAFESAssociates;_ylc=X3oDMTJlaGlkOTdwBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzE4MDM5NDgEZ3Jwc3BJZAMxNzA1MDc0NzY4BHNlYwN2dGwEc2xrA3ZnaHAEc3RpbWUDMTMwMjM0MjAyNQ-->
> [image: Yahoo!
> Groups]<http://groups.yahoo.com/;_ylc=X3oDMTJkMmx1NnE2BF9TAzk3NDc2NTkwBGdycElkAzE4MDM5NDgEZ3Jwc3BJZAMxNzA1MDc0NzY4BHNlYwNmdHIEc2xrA2dmcARzdGltZQMxMzAyMzQyMDI1>
> Switch to:
> Text-Only<TAFESAssociat...@yahoogroups.com?subject=Change+Delivery+Format:+Traditional>,
> Daily
> Digest<TAFESAssoci...@yahoogroups.com?subject=Email+Delivery:+Digest>�
> Unsubscribe<TAFESAssociat...@yahoogroups.com?subject=Unsubscribe>�
> Terms
> of Use <http://docs.yahoo.com/info/terms/>
> .
>
> __,_._,___
>
>
>
> --
> Feel free to ask any question
>
> Cordially yours,
>
> Technical Consultant - InfoCom Center
> ______________________________________________________________________________
>
> Website and eMarketing Management Consultancy, Business and Community
> Projects Management Consultancy
> Location: Sokoine Rd, ACU Building, Opposite to Arusha Regional Library
> Office Tel/Fax#: +255 (0) 27 254 5430/ +255 (0) 73 297 8002, Cellphones:
> +255 654650100/+255 (0) 77 465 0100/+255 (0) 78 766 5050/+255 (0) 75 564
> 6470/
> Website: www.infocomcenter.com, www.webstar5.net <http://webstar5.net/>
>
> --
> Unapokea taarifa kutoka "Wazalendo Dot Net" Group.
> Tuma mada kwenda wazalend...@googlegroups.com.
> Kujiondoa tuma barua pepe kwenda
> wazalendo-dot-...@googlegroups.com
> Kwa maelezo zaidi tembelea
> http://groups.google.com/group/wazalendo-dot-net?hl=en?hl=en
> AU
> http://wazalendo.net
>
--
--------------------------------------------------
WILDS OF AFRICA TOURS & TRAVEL
Tanzania, East Africa
__________________________________________________
CONTACT DETAILS
P.o. Box 15441, Arusha, Tanzania
E-mail: in...@wildsofafrica.com
URL: www.wildsofafrica.com
Phone: +255(0)754095405