Description
Huu ni mtandao wa masafa katika nchi za Afrika Mashariki wenye nia ya kusababisha mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, kisiasa, kisayansi, kiteknolojia, kiutamaduni, kielimu nk.. Ushiriki wa wanachama kimawazo na kivitendo utasaidia sana kufikia malengo