MAZUNGUMZO KUHUSU MAISHA, FIKRA NA MCHANGO WA MZEE KINGUNGE (Conversation on life & thought of Kingunge)

0 views
Skip to first unread message

WAVUMBUZI

unread,
Mar 2, 2019, 6:12:35 PM3/2/19
to WAVUMBUZI
"Mkurugenzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere anayofuraha kukualika katika Mazungumzo kuhusu MAISHA, FIKRA NA MCHANGO wa Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Mazungumzo haya yatafanyika siku ya jumatano tarehe 6 machi 2019 katika ukumbi wa Tume ya Sayansi na Teknolojia kijitonyama kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 8 mchana" - AMBATO
RATIBA NGOMBALE.pdf
IMG-20190226-WA0000.jpg
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages