WhatsApp ya Wavumbuzi

6 views
Skip to first unread message

Chambi Chachage

unread,
Mar 26, 2019, 3:16:41 AM3/26/19
to WAVUMBUZI
Ndugu Wavumbuzi,

Salaam! Napenda kuwajulisha kuwa Google Group ya Wavumbuzi sasa imeunganishwa na WhatsApp Group ya Wavumbuzi kwa ajili ya kurahisisha mzunguko wa mada na taarifa hasa kwa wanaotumia WhatsApp kuliko Web Forum na Email. Kama ungependa kujiunga na WhatsApp hiyo ya MASUALA ya Wavumbuzi TU nitumie namba yako kwenye WhatsApp yangu ya +255754771763.

Baada ya muda si mrefu pia kutakuwa na APP ya Wavumbuzi kwa ajili ya kuongeza kasi ya uvumbuzi na ubunifu wenye tija kwetu.

Shukrani,

Chambi
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages