Namna ya kutumia TAGS kutafuta mada zinazokuhusu

19 views
Skip to first unread message

Chambi Chachage

unread,
Feb 12, 2019, 10:35:16 AM2/12/19
to WAVUMBUZI
Ndugu Wavumbuzi,

Bado tunajifunza kutumia hii Google Web Forum. Mtu anapoposti kitu ni vyema akaki-tag ili iwe rahisi kukitafuta. Kwa sasa tutumie TAGS ambazo mtu anaona zinaendana na anachoposti. Baada ya muda TAGs zitakuwa thematic zaidi.

Wasalaam,

Chambi

Chambi Chachage

unread,
Feb 13, 2019, 4:45:48 AM2/13/19
to WAVUMBUZI

Wavumbuzi Tags.png

sengamathew1

unread,
Feb 13, 2019, 8:20:21 AM2/13/19
to WAVUMBUZI
Msonga,

kuna uwezekano wa kuweka tags nyingine individually au it is restricted?

Senga.

Chambi Chachage

unread,
Feb 13, 2019, 9:00:26 AM2/13/19
to sengamathew1, WAVUMBUZI
Inawezekana ila Google inaruhusu tags zisizozidi 3 per post. Hizo nilizoweka zinaharirika. Hivyo, weka zinazofaa.

Nadhani kuna tags itabidi ziwe standards mfano, labda kuwe na tag ya VITABU ambayo ni ya all uploaded books.

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "WAVUMBUZI" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wavumbuzi+...@googlegroups.com.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/wavumbuzi/e8918e52-99ca-426b-b6a2-303a41089543%40googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages