Ndugu Wavumbuzi,
Kuna njia kama mbili hivi za kuposti:
Njia ya pili inatoa fursa ya kupanga vizuri posti yako na maambato na hatua zake fupi ni kama zifuatazo:
2. BOFYA 'NEW TOPIC'

3. ANDIKA 'Subject'

4. CHAGUA 'Type of Post'

`
5. BONYEZA 'Attach a file' na/au 'Add a reference'

6. ANDIKA '' na/au weka 'tag' zisizozidi tatu

7. UKIMALIZA BOFYA 'POST'

Shukrani,
Msonga