Description
Hili ni kundi la kuendeleza maarifa mbalimbali kuhusu jamii za Kitanzania kupitia utafiti, uvumbuzi na uchambuzi wetu. Linajumuisha wavumbuzi na watafiti waliopo vyuoni na wanataaluma binafsi. Pia ni mtandao unaotumika kama kavazi la kuhifadhi tafiti, uvumbuzi na matokeo ya kitafiti nchini Tanzania.