Shalom!
Hapo chini ni ujumbe alionitumia rafiki yangu na mtumishi wa Mungu Albert Nyaluke Sanga. Naomba nikushirikishe ili na wewe upate elimu hii! Mpendwa huyu ni mfanyabiashara aliyeokoka, msomi na mwenye mafanikio! Hebu pokea toka kwake kile Mungu alichompa kuandika!
Ubarikiwe!
Kusirie
Habari kaka? Bila shaka unaendelea vema na majukumu. Nimeandika kitabu kipya kinaitwa MAFANIKIO NI HAKI YAKO. Kinauzwa kwa mtandao, ambapo unatuma fedha na kunijulisha email yako kisha ninakutumia. Bei yake ni tsh. 5,000/= Na nambari za kutuma fedha ni: 0766 742414/ 0688 726442/ 0719 127901(Namba zote zinasoma Albert Sanga). Ni kitabu ambacho ninaamini kitaongeza thamani kubwa katika maisha yako. Karibu sana.
--