Salaam Mabibi na Mabwana,
Naamini wengi wenu mtakuwa mmeshasikia taarifa za uzinduzi wa kitabu cha Biubwa Amour Zahor kilichotungwa na Zuhura Yunus. Kitakuwa kinapatikana kwenye maduka mbalimbali jijini Dar es Salaam. Ambao mko mbali mtakipata Amazon.
Kama wewe ni mmiliki - au unafahamiana na wamiliki - wa maduka ya vitabu katika miji ya Mombasa na Nairobi tafadhali tuwasiliane ili tuwaunganishe na mchapishaji awatumie vitabu.
Hivi hapa chini ni viunganishi kuhusu kitabu na mwandishi:
Wasalaam,
Chambi