Marejeo ya Kujiandaa na Mjadala wa Leo Yameambatanishwa

2 views
Skip to first unread message

Chambi Chachage

unread,
Dec 19, 2020, 6:35:34 PM12/19/20
to wana...@googlegroups.com
Washiriki wa Mjadala wa Leo wanashauriwa kusoma kwanza andiko la  Togolani kwenye kiunganishi hiki https://medium.com/@togolani/kipi-watanzania-waasia-na-waajemi-wanapatia-ambacho-sisi-tunakosea-7d43c0a96baa  pia wanakaribishwa kusoma sura ya kwanza kutoka kwenye kitabu hicho hapo chini ambayo imeambatanishwa kwenye barua pepe hii pamoja na sura ya 2, 3 na 6 ya tasnifu hapo chini.

1. PDF ya Sura ya kwanza imeambatanishwa kutoka kwenye kitabu hiki pia: Entrepreneurship in Africa


2. Tasnifu ya uzamivu kuhusu Wajasiriamali 'Wazawa' na Mahusiano yao na 'Waasia' nayp inapatikana hapa:


Vipengele muhimu zaidi kwenye tasnifu hiyo kwa ajili ya mjadala huu ni hivi katika sura tofauti tofauti humo: 

 - A Culture for Business  
- A Race for Loans 
- A Push for Africanization
- A Campaign for Localization
 - A Prologue for Postsocialism 
- A Fortune for Privatizers


3. Linki ya Kujiunga na Mjadala huko kwenye Zoom ifikapo Saa Tisa Alasiri/Mchana Jumapili hii leo ni:

*MJADALA:*"Kipi Watanzania *Waasia* na *Waajemi* Wanapatia Ambacho *Sisi* Tunakosea?"-Togolani Mavura @tonytogolani

*#*:94878251973

*Saa* Tisa Mchana,Jumapili,20 Desemba 2020 *Tanzania*

*Mratibu*:Zuhura Yunus @venusnyota

*Mwenyeji*:Chambi Chachage @Udadisi
Globalization and the Making of East Africa’s Asian Entrepreneurship Networks.pdf
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages