Happy Birthday Wanazuoni 🎂🎉

9 views
Skip to first unread message

Chambi Chachage

unread,
Aug 7, 2021, 5:57:01 PM8/7/21
to wana...@googlegroups.com
On 09/08/07, Chambi Chachage <cham...@yahoo.com> wrote:
Ndugu Wanazuoni,
 
Napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha kwa ufupi kuhusu yale yaliyojiri pale Makumbusho jana. A significant number of Wanazuoni came to the informal gathering, 19 by number to be specific. Baada ya kupata burudani maridhiwa ya ngoma za asili tuliweza kubunga bongo kidogo kuhusu mwelekeo wa mtandao wetu.
 
A number of suggestions on the objectives/mission of the groups were jotted down. Wanazuoni tuliamua kuchagua kikundi cha watu 4 ambao watakutana na kuyaweka sawa mawazo yetu katika rasimu. This draft will be presented to us via wana...@yahoogroups.com for more deliberation. Wakati huo masuala mengine, kama vile majadiliano yetu katika yahoo group, yataendelea kama kawaida wakati tunaendelea kujipanga na kuna mwanazuoni yuko tayari kuanzisha website baada ya kujipanga vizuri.
 
The group of 4 include Anastazia Rugaba, Dr. David Sando, Celia Mkwawa and Eric Beda. Kikundi hiki kitakutana pale Mzalendo Pub, Millenium Towers saa 9 kamili alasiri ( 3:00pm)  siku ya Jumapili 12 Agosti 2007. The group is not exclusive therefore the meeting is open for any other mwanazuoni who wish to add more brainpower in sharpening 'Azimio la Makumbusho'. Hivyo, feel free to attend. You can also email your suggestions on what you think the identity, objective, mission and vision of the network with respect to your expectations ought to be.
 
After a short while - probably after one week - we will only rely on one joint email i.e. wana...@yahoogroups.com  for our communication instead of the long email list above. So for those who have not yet joined/subscribed, you can directly  do so at http://groups.yahoo.com/group/wanazuoni/ or more directly by sending an email to wanazuoni...@yahoogroups.com
 
Collegially,
Chambi
 
---------------------------
My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on and about humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa, in a constructive and liberating manner to people wherever they may be.
---------------------------
Postal Address:
Chambi Chachage
Base for African Studies Enhancement (BASE) 
P. O. Box 4460
Dar-es-Salaam
Tanzania

Cell Phone : + 255754771763
--------------------------------------------
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages