Asante kwa kutupa nafasi hii ya kuchangia!
Nishati kuu inayotumika na wananchi walio wengi ni Kuni na Mkaa kwa kiwango cha asilimia 90. Nishati nyinginezo, kwa kiwango vidogo ni mafuta ya petroli na gesi, gesi asilia, umeme wa maji na makaa ya mawe. Aidha inakisiwa kwamba tunaingiza asilimia zaidi ya 6 ya umeme toka nje.
Matumizi ya kuni na mkaa kunachangia sana uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi na hatuna utamaduni au programu yoyote ya kupanda miti ili kurejesha uoto. Mkaa hutumika zaidi mijini. Kuna uwezekano wa kupunguza matumizi ya mkaa mjini kwa kuweka mkakati wa matumizi ya aina nyinginezo za nishati. Kwa mfano sasa tunayo gesi asilia, Serikali ijipange kupanua matumizi ya nishati hii kama ambavyo imeshaanza kwa kuzalisha umeme lakini pia kwa ajili ya kupikia majumbani. Ili kupanua matumizi ya nishati mbadala, suala la bei ni nyeti, na pia kuwekwe makakati wa kupatikana kwa majiko ya bei nafuu.
----- Message from Veronica Simba <simbave...@gmail.com> ---------
Date: Tue, 21 Jun 2016 15:20:12 +0300
From: Veronica Simba <simbave...@gmail.com>
Subject: Re: [Bulletin] WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
To: MUHIDIN MICHUZI <issam...@gmail.com>, william malecela <willy...@gmail.com>, Mroki Mroki <mro...@gmail.com>, Ahmad Michuzi <amic...@gmail.com>, Othman Michuzi <othman...@gmail.com>, haba...@dailynews-tsn.com, Habari Maelezo <maelez...@yahoo.com>, CHUMBA CHA HABARI CLOUDS MEDIA GROUP <habari...@gmail.com>, uhur...@yahoo.com, uhuru...@gmail.com, mwananc...@mwananchi.co.tz, Alhuda Huda <hudae...@hotmail.com>, Abdintz <abd...@yahoo.com>, Abraham Ojuku <oju...@yahoo.com>, bull...@mem.go.tz, Latifah Boma <tifa...@gmail.com>, Bettie Luwuge <blu...@gmail.com>, Changamoto Gazeti <changam...@gmail.com>, chatanda mary <chatan...@gmail.com>, Amir Chande <amirc...@gmail.com>, devo...@gmail.com, daim...@yahoo.com, deob...@yahoo.com, diramt...@yahoo.com, Daniel Mhako <danie...@gmail.com>, Daudi Mukangara <da...@udsm.ac.tz>, edson <edson....@mem.go.tz>, edson nkongo <eddie...@yahoo.com>, essy ogunde <jense...@gmail.com>, Edwards Katto <kag...@hotmail.com>, Fadhili Akida <fadhil...@gmail.com>, Abubakar Faraji <afa...@hotmail.com>, Felix Mtalo <felix...@yahoo.co.uk>, Felix Mwakyembe <fky...@gmail.com>, Fidelis Lekule <fidelis...@ophir-energy.com>, fortune berro phiri <fort...@gmail.com>, Lucas Gordon <lucasg...@gmail.com>, Geology Department <geo...@udsm.ac.tz>, Picha HabariLeo <habari...@gmail.com>, Iddy Mkwama <iddym...@gmail.com>, Ambrose Itika <ambros...@gmail.com>, issa.mo...@yahoo.com, jambone...@yahoo.com, rhoda james <rhoda...@gmail.com>, Joseph Kumburu <josep...@gmail.com>, Riyaz Jiwani <rji...@hydrovision.us>, kagaruk...@yahoo.com, ben kaguo <benk...@gmail.com>, Jesse Kwayu <jesse...@gmail.com>, Koleta Njelekela <kolynj...@yahoo.co.uk>, victor labaa <vsl...@gmail.com>, asteria muhozya <aster...@gmail.com>, Mohamed S <mohame...@gmail.com>, Teresia Mhagama <teresia...@gmail.com>, Nuru Mwasampeta <nuru_mw...@yahoo.co.uk>, Rose Ngonyani <rosengo...@gmail.com>, news...@dailynews.co.tz, Robert Boniface <okan...@gmail.com>, peter haule <haulep...@gmail.com>, Said Powa <said...@yahoo.com>, Raia Mwema <rai...@gmail.com>, tazamane...@yahoo.co.uk, Ubwani Zephania <ubwa...@hotmail.com>, Zephania Ubwani <ubwa...@gmail.com>, disa vedasto <disav...@gmail.com>, Valerie Ayubu <valeri...@gmail.com>, Selina Wilson <seliw...@gmail.com>, Casmir Wambura <cas...@gmail.com>, Harun Weggoro <hweg...@gmail.com>, YES Msabi <mms...@yahoo.com>, erick yohana <erick...@gmail.com>, kirat...@yahoo.com, Pius Ng'wandu <yase.n...@yahoo.co.uk>, zuena msuya <zmsu...@gmail.com>, zanzib...@hotmail.com, zanzi...@hotmail.com
Veronica.Kuhusu tangazo la wananchi kuwasilisha maoni na malalamiko siku ya kesho, wizara ya nishati na madini...kwa wale ambao wangependa kuwasilisha kwa njia ya simu na barua pepe, watume kupitia p...@mem.go.tz au carolin...@mem.go.tz au simu namba 022 2111749.Nawashukuru.
2016-06-21 12:52 GMT+03:00 Veronica Simba <simbave...@gmail.com>:
Wizara ya Nishati na MadiniOfisa HabariVeronica SimbaNatanguliza shukrani.Tafadhali julisha na wengine.Wizara ya Nishati na Madini, kesho (Jumatano - Juni 22, 2016) itakutana na wananchi kusikiliza kero na maoni mbalimbali kuhusu sekta husika.Tangazo lenye maelezo kuhusu tukio hilo limeambatishwa.
----- End message from Veronica Simba <simbave...@gmail.com> -----
Ahsante Veronica,
Tafadhali ninawakumbusha MEM kupandisha hotuba ya waziri ya bajeti mwaka wa fedha 2016/17.
Wenu,
Bubelwa E Kaiza,
Executive Director,
Concern for Development Initiatives in Africa (ForDIA),
P. O. Box 32505,
Ph.: +255784410939,
E-mail: bubelw...@fordia.org
Dar es Salaam.
From: Bulletin [mailto:bulletin...@mem.go.tz] On Behalf Of Veronica
Simba
Sent: 21 June 2016 15:20
To: MUHIDIN MICHUZI; william malecela; Mroki Mroki; Ahmad Michuzi;
Othman Michuzi; haba...@dailynews-tsn.com; Habari Maelezo; CHUMBA CHA HABARI
CLOUDS MEDIA GROUP; uhur...@yahoo.com; uhuru...@gmail.com;
mwananc...@mwananchi.co.tz; Alhuda Huda; Abdintz; Abraham Ojuku;
bull...@mem.go.tz; Latifah Boma; Bettie Luwuge; Changamoto Gazeti; chatanda
mary; Amir Chande; devo...@gmail.com; daim...@yahoo.com;
deob...@yahoo.com; diramt...@yahoo.com; Daniel Mhako; Daudi Mukangara;
edson; edson nkongo; essy ogunde; Edwards Katto; Fadhili Akida; Abubakar
Faraji; Felix Mtalo; Felix Mwakyembe; Fidelis Lekule; fortune berro phiri;
Lucas Gordon; Geology Department; Picha HabariLeo; Iddy Mkwama; Ambrose Itika;
issa.mo...@yahoo.com; jambone...@yahoo.com; rhoda james; Joseph
Kumburu; Riyaz Jiwani; kagaruk...@yahoo.com; ben kaguo; Jesse Kwayu; Koleta
Njelekela; victor labaa; asteria muhozya; Mohamed S; Teresia Mhagama; Nuru
Mwasampeta; Rose Ngonyani; news...@dailynews.co.tz; Robert Boniface; peter haule;
Said Powa; Raia Mwema; tazamane...@yahoo.co.uk; Ubwani Zephania; Zephania
Ubwani; disa vedasto; Valerie Ayubu; Selina Wilson; Casmir Wambura; Harun
Weggoro; YES Msabi; erick yohana; kirat...@yahoo.com; Pius Ng'wandu; zuena
msuya; zanzib...@hotmail.com; zanzi...@hotmail.com
Subject: Re: [Bulletin] WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Kuhusu tangazo la wananchi kuwasilisha maoni na malalamiko siku ya kesho, wizara ya nishati na madini...kwa wale ambao wangependa kuwasilisha kwa njia ya simu na barua pepe, watume kupitia p...@mem.go.tz au carolin...@mem.go.tz au simu namba 022 2111749.
Nawashukuru.
Veronica.
Colleagues: Please find the Call attached. For the purpose of contributing and sharing knowledge on SMEs innovation,as well as stimulating an effective environment for the growth of innovative SMEs, the Centre for Policy Research and Advocacy (CPRA) and the Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) through the support of Business Environment Strengthening for Tanzania (BEST-D) in collaboration with the Intelligence for Innovation (iN4iN) Africa Network, sponsored by the German Academic Exchange Service (DAAD) will host a stakeholders’ round-table on Accelerating Innovation and Growth of SMEs Through Responsive Policies on 22nd and 23rd and November 2016 at Kisanga LAPF International Conference Centre, Dar es Salaam, Tanzania. The main purpose of the round-table is to provide a unique opportunity for scholars,policymakers, development partners and business practitioners from Africa and beyond to exchange views, share experiences, disseminate research findings and practical lessons on Africa’s development and the policies required to promote innovation and competitiveness of African enterprises. We are receptive to a wide range of research perspectives and methodologies including quantitative and qualitative research articles/reports, case studies, position papers, policy briefs and any other relevant publications. We are however particularly more interested in research and practical reports/publications that have implications for public-private dialogue and policy decisions. You are cordially invited to fully participate and/or circulate to your networks!