RIEP Sanctus Mtsimbe

46 views
Skip to first unread message

Phares Magesa

unread,
Mar 13, 2024, 2:07:16 PM3/13/24
to wanataaluma TPN Group

Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana habari ya Mzalendo mwenzetu Sanctus Mtsimbe kufariki dunia,

Sanctus ni Mwanzilishi wa group la Consultants, pia alikuwa ndio Rais wa kwanza wa Mtandao wa Wanataaluma Tanzania (TPN), hadi anafariki alikuwa ni Country Manager wa Wananchi Group ambao ndio wamiliki wa Zuku, Simba Net na makampuni mengine, pia alikuwa Mjasiriamali na mmiliki wa makampuni kadhaa binafsi na mjumbe wa bodi na taasisi kadhaa za umma na binafsi.

Ni mwaka mmoja na miezi kadhaa iliyopita Ndg. Mtsimbe alimpoteza kijana wake Jason Mtsimbe na leo yeye ametutoka.

Ndg. Mstimbe alikuwa ni Mwanazuoni mzuri, mbobezi, mbunifu na Mzalendo wa kweli kwa nchi yetu.

Sisi tulimpenda Sanctus ila Mungu amempenda zaidi, Jina la Bwana lihimidiwe. 

Mungu ampumzishe Sanctus mahala pema peponi Amina.

Phares Magesa
Rais, TPN
0713 618320

IMG_20240313_203852.jpg

Y Mshana

unread,
Mar 14, 2024, 9:35:38 AM3/14/24
to wanat...@googlegroups.com

Salaam,
Poleni sote ndugu zangu kwa kuachwa na kiongozi katika jukwaa letu.
Tumshukuru na kumuomba Mungu awape wepesi familia yake na amrehemu mwenzetu.
Ameen🤲


--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanataaluma wa Tanzania" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanataaluma...@googlegroups.com.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/wanataaluma/CY8PR10MB73775882C389E1D501B4239CD32A2%40CY8PR10MB7377.namprd10.prod.outlook.com.


--
Independent Consultant
.
.
Skype: yassinmshana1; Twit
​t​
er
: @YassinMshana; LinkedIn: DrEng YMshana
"Fight as One or Die as Two" .

Donath R.Olomi

unread,
Mar 15, 2024, 12:31:15 AM3/15/24
to wanat...@googlegroups.com, Y Mshana


Salaam

Poleni sana Wanataaluma, RiP Mr. Mtsumbe

Vera Ngowi

unread,
Mar 15, 2024, 2:12:00 AM3/15/24
to wanat...@googlegroups.com
Poleni sana wanataaluma kwa kuondokewa na mwenzetu aliyekuwa na maono mapana ya kutaka kuwatuunganisha tuweze kutoa mchango kwa taifa kutumia elimu na taaluma zetu. Naiombea familia faraja na nguvu ya kustahimili kuondokewa na mpendwa wao.  Apumzike kwa Amani Sanctus Mtsimbe.

Bahati Mbambe

unread,
Mar 15, 2024, 2:24:11 AM3/15/24
to wanat...@googlegroups.com
RIP our first President of TPN!
You worked hard to bring all Tanzanian professionals together in and outside the country.
My heartfelt condolences to the family and all TPN members.


AS A GROUP can we organise something so that we can see the family?


Kind Regards,

 

QS Bahati M Mbambe PGrad.Arb, BSc(Hons), FTC.CEng., MRICS, Reg.QS[TZ], ACIArb, FTIQS, ATIAab

Principal Associate

BMB & Associates Ltd

Address: P.O. Box 3512, Dar es Salaam,Tanzania

Telephone: +255 (0)754 446 032 & +255 (0) 689 744 944

E-mail: b...@bmbassociates.co.tz or bmb...@gmail.com

Website: www.bmbassociates.co.tz 

Diversifying the professional quantity surveyors' roles.

 

 
 


Yahya Ipuge

unread,
Mar 15, 2024, 4:31:57 AM3/15/24
to wanat...@googlegroups.com
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutukutanisha na mwanataaluma mwenzetu Sanctus Mtismbe katika enzi za hai wake na tumenufaika kwa namna moja au nyigine.  Tunamuomba mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake na amuweke mahali anapostahiki peponi. Tujifariji kwa kukumbuka kuwa "Hakika, sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na, hakika, Kwake Yeye sote tutarejea!

Ipuge
___________________________________
Dr. Yahya A. Ipuge
Senior Health Specialist
HEALTH SYSTEMS CONSULTANCY SERVICES
-------------------------------------------------------------------------------------------------
C&G Plaza, 1st Floor, Suite 206
Mwai Kibaki Road, Mikocheni B
P. O. Box 66764
14112 DAR ES SALAAM, TANZANIA.
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Health Systems|| Health and Public Policy||Results Based Management||Quality & Performance
Disease Control||Strategic Planning, Program Reviews& Evaluation||Health System Assessment
=======================================================











Kweba, Bulemo

unread,
Mar 15, 2024, 6:48:39 AM3/15/24
to wanat...@googlegroups.com


May the Lord rest Brother Mtsimbe in eternal peace.
Amen

KWEBA, Bulemo


Y Mshana

unread,
Mar 15, 2024, 7:39:38 PM3/15/24
to wanat...@googlegroups.com
Good idea.
It would be comforting to the family if those who are able to visit did that obo this group please  😌 

Ombeni Tadayo

unread,
Mar 18, 2024, 9:43:33 AM3/18/24
to wanat...@googlegroups.com
Pumzika kwa amani Broo
Utakumbukwa kwa mengi mazuri hasa uwezo wako mkubwa wa kuongea na ku motivate watu katika vikao vyetu vya TPN pale British Council




--
Ombeni Tadayo
Managing Director
Keland Nursery and Primary School
P.O.BOX 4852 Dar es salaam-Tanzania
East Africa.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages