Mzalendo mwenzetu Sanctus Mstimbe anazikwa leo Jumapili makaburi ya Kinondoni kwa hiyo kadri tutakavyoweza tujitahidi kuhudhuria saa 9 alasiri, ibada itafanyika kanisa la SDA Tabata Segerea saa 6 mchana na msiba uko nyumbani kwa marehemu Tabata Segerea karibu
na njia ya kuelekea Segerea Gerezani.
Rambirambi kwa niaba yetu wana TPN anakusanya Esther Mambali 0716474435.
Ratiba imeambatanishwa.
Phares Magesa
Kny: Wana TPN
0713/0767/0784 618320
RIEP Sanctus Mstimbe