TAHADHARI!

3 views
Skip to first unread message

stella egidio

unread,
May 21, 2013, 5:46:25 AM5/21/13
to SELELI EDWIN, Roselyne Massam, Sabina Nyoni, Ritha Semizigi, Rose Shirima, Sayuni Mariki, Shadrack Mrita, Tina Geleja, Tulibako Ulanga, stella simkoko, Rose Mkumbo, Salome Magaya, Stella Jambo, shija msikula, Shija Msikula, stella...@yahoo.com, seme kennedy, Tausi Ingabire, samora macrice, smw...@gmail.com, Tecla Dominic, Shogo Mlozi, samb...@yahoo.co.uk, Rkyeli...@gmail.com, Rukia Adam, Straton Kimario, Sarah Seme, Sydney Mkamba, steve...@gmail.com, Rogers Fovo, Salum S. Yusufu, tple...@yahoo.com, suza...@yahoo.com, swafia....@tigo.co.tz, tengani...@yahoo.co.uk, sos...@hotmail.com, solidarity...@gmail.com, rwandi...@yahoo.com, stanle...@yahoo.com, tubas...@yahoo.com, shidu...@yahoo.com, sweetm...@hotmail.com, smbo...@yahoo.co.uk, suzana...@yahoo.com, smz...@yahoo.com, sse...@yahoo.com, rmnd...@nhctz.com, tito....@total.co.tz, rose seth, Sarah Mwingira, Vero James, veronica James, Zahara Amiri, Vivian Macha, Twitike Mwamundela, Vicky Kamata, Tumsifu Elly, tutty mwankusye, Wende Caren Luvinga, yared dondo, vicky david, Tunu Mwiru, Tunu Mwiru, Wanagosheni, Upendo Mfalila, v_m...@yahoo.com, Zablon Mdeka, Tuwaha J. Mkunga, Veneranda N.. Lyimo, Victor Kimaro, Wolfgang E. Salia, Zawadi Nzota, vgamb...@yahoo.com, wvi...@yahoo.com, ve...@muvek.co.tz, vivia...@yahoo.com, viv...@yahoo.com, veronica...@yahoo.com, willso...@yahoo.com, zmas...@yahoo.co.uk, yoe...@yahoo.com, vk...@esrf.or.tz, waka...@state.gov, tunu...@yahoo.com, tuli...@yahoo.com, wema....@gmail.com, VS...@nhctz.com, veneran...@tra.go.tz, Veila Shoo
Hamjambo wapendwa? sijui mnaendeleaje na harakati za kwenda RITA kubadilisha yale majina ya kufoji tuliyoweka kwenye hati zetu za kumiliki mashamba magari na assets zetu nginyine wakiwemo wake zetu na watoto wetu ?ahhaaaa! Just joking!
 
Hivi ndugu zanguni hebu tujiulize, tunapopata ajira, huwa tunaambiwa tukafanye medical examination, tena kwenye hospitali ya Serikali, mfano pale Mnazi Mmoja ndo mashuhuri sna kwa wengi wetu. Sasa naomba niwaulize labda, tunapoajiri wasichana wa kazi pale nyumbani au house boy, hivi kweli wandugu huwa tunakumbuka kuwafanyia medical examination , au we just take them for granted kwamba wametoka "Iringa" kwa hiyo wako poa? Mmeshawahi kujiuliza hili wazazi wenzangu? Mtu anayekupikia chakula cha familia yako, anayekulelea watoto wako, umeshawahi kufikiria kwamba anaweza kuwa na maambukizo yoyote hatarishi? Hasa hili jangala ukimwi? Tafakari, chukua hatua!
Yupo house girl fulani kutoka mkoa mashuhuri sna kwa  kuleta mabinti wa kazi ( ambao sasa hivi wameshakuwa tishio kwa familia nyingi), aliyepata kazi za ndani hapa mjini, kumbe binti huyu alitoka kufiwa na mwanaye, akaja mjini kutafuta maisha. Akapata kazi kwenye familia yenye mtoto mchanga anayenyonya, akiwa bize na kazi zake, mtoto akilia, yeye alikuwa akimpa nyonyo yule mtoto kwa lengo la kumbembeleza alale, mind you ametoka kuzaa muda si mrefu uliopita kwa hiyo bado maziwa yalikuwa yanatoka, kilichotokea ni kwamba kachanga kale kakapata maambukizi ya ukimwi toka kwa huyu "innocent yaya wake".
Afya ya mtoto yule ikaanza kudorora, wazazi wakatumia matibabu ya kila aina, lakini mtoto yule  hakutengemaa, ndipo daktari alipowaita wazazi wa yule mtoto, ili kuwashauri kupima "hili  janga la kitaifa", matokeo yao yakawa ni NEGATIVE, both of them. Ikawa ngumu sana kujua mtoto kaupataje huu ugonjwa?
 
Siku moja ya weekend, mtoto akawa analia kweli kweli, vipele vinamuwasha  unajua tena vile "vipele nyemelezi", mtoto mkubwa wa kama 5 years, akamwambia mama wewe hujui kubembeleza mtoto ndo maana hanyamazi, mbona wee humpi nyonyo kama dada?  mhh! Ndo yule mama kufunguka akili kwamba dada kumbe huwa anampa nyonyo? akamuita binti na kumhoji, akasema ni kweli, huwa analala haraka sana nikimpa nyonyo, then she narrated her story kwamba alijifungua huko kwao Njombe, mtoto akafa, wale wazazi ndo wakafunguka ufahamu kwamba wakampime yule binti afya yake na kumkuta yuko HIV POSITIVE.
 
Wandugu story hii wala sio ya kubuni,imetoka hapa mjini Dar es salaam.
Yamkini Binti yako hakufiwa na mtoto, lakini nyendo zake zikawa sio nzuri huko alikotoka au hata wewe unapoenda kazini, wale " House boys" wa jirani, wachunga ng'ombe na tax drivers huwa wanapita hapo nyumbani kwako. Kesho nitamalizia Nyingine inayofanana na hii, my closest  friends, young married couple walivyoteketea kwa hili " janga", kwa sababu ya House girl.
 
Kindly please, do the necessity!
Stella.




Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages