Fw: MAJINA YA WATOTO!

337 views
Skip to first unread message

stella egidio

unread,
May 14, 2013, 4:48:57 AM5/14/13
to SELELI EDWIN, Roselyne Massam, Sabina Nyoni, Rose Shirima, Sayuni Mariki, Shadrack Mrita, Tina Geleja, Tulibako Ulanga, stella simkoko, Rose Mkumbo, Tumsifu Elly, Salome Magaya, Stella Jambo, shija msikula, Shija Msikula, stella...@yahoo.com, seme kennedy, Tausi Ingabire, samora macrice, smw...@gmail.com, Tunu Mwiru, Tecla Dominic, Shogo Mlozi, samb...@yahoo.co.uk, Rukia Adam, Straton Kimario, Sarah Seme, Sydney Mkamba, steve...@gmail.com, Rogers Fovo, Salum S. Yusufu, tple...@yahoo.com, suza...@yahoo.com, swafia....@tigo.co.tz, tengani...@yahoo.co.uk, sos...@hotmail.com, solidarity...@gmail.com, rwandi...@yahoo.com, stanle...@yahoo.com, tubas...@yahoo.com, shidu...@yahoo.com, sweetm...@hotmail.com, smbo...@yahoo.co.uk, suzana...@yahoo.com, smz...@yahoo.com, sse...@yahoo.com, tuli...@yahoo.com, tito....@total.co.tz, rose seth, Sarah Mwingira, Vero James, veronica James, Zahara Amiri, Vivian Macha, Twitike Mwamundela, Vicky Kamata, tutty mwankusye, Wende Caren Luvinga, yared dondo, vicky david, Tunu Mwiru, Wanagosheni, Upendo Mfalila, v_m...@yahoo.com, Zablon Mdeka, Tuwaha J. Mkunga, Veneranda N.. Lyimo, Victor Kimaro, Wolfgang E. Salia, Zawadi Nzota, vgamb...@yahoo.com, wvi...@yahoo.com, ve...@muvek.co.tz, zreach...@yahoo.com, vivia...@yahoo.com, viv...@yahoo.com, veronica...@yahoo.com, willso...@yahoo.com, zmas...@yahoo.co.uk, yoe...@yahoo.com, vk...@esrf.or.tz, waka...@state.gov, tunu...@yahoo.com, wema....@gmail.com, VS...@nhctz.com, Veila Shoo
 Hamjambo ndugu zanguni?  habari za huko makazini kwenu.
 
Sasa leo tuangalie wazazi wanaowapa watoto wao majina bila kujua maana zake, kwa wale wakristo wenzangu, huwa tunapenda sna kuchukua majina ya kwenye "BIBLIA, tu ni kwa sababu ni Mwngozo au Dira ya Imani yetu, lakini ikumbukwe kwamba, si kila jina lililoko ndani ya Biblia, lina maana nzuri. Hebu mfunguke macho wazazi, na wale wazazi -tarajiwa wenzangu! wale waliomcha Mungu, wengi wao waliwapa watoto wao majina kulingana na situation waliyokuwa nayo, kwa mfano Hana alimwita mwanae Samwel, akisema kwa kuwa nilimwomba kwa Bwana. Sarah alimwita mwanae Isaka, akimaanisha kicheko, akisema kwa kuwa Bwana amenifanyia kicheko, Mungu alimwita mwanawe Yesu, maana yake Mwokozi, akisema, "Maana yeye atawaokoa watu wangu na dhambi zao". Je, wewe mzazi unayenisoma hapa umeshawahi kuwaza hayo majina unayowapa watoto wako, umeyatoa wapi?
 
Ikumbukwe kwamba, Jina la Mwanao limebeba pia na destiny yake, ndo maana hata ukisoma maandiko, wapo watu ambao ilibidi Mungu abadilishe majina yao ili waweze kufiti kwenye destiny ambayo Mungu aliwaitia. Kwa mifano michache tu, tuangalie Ibrahimu baba yetu wa Imani, huyu bwana alikuwa akiitwa Abram, manake exalted father, lakini Mungu akamwita Ibrahim, maana yake Baba wa Mataifa mengi,mind you wakati MUngu anampa jina hilo, huyu bwana hakuna na mtoto hata mmoja, lakinikwa kuwa Mungu aliikuwa anaandaaa destiny yake ilibidi ambadilishe jina, na mkewe Sarai, akaitwa Sarh, maana yake Princess. yakobo akaitwa Israel, Yerubaali akaitwa Gideon, means Might warrior, na wengine wengi kama Sauli means Small, akaitwa paul meana Strength.
 
 Nimeandika mada hii, baada ya kusoma habari za kina Shadrak meshack na Abednego. Wakristo wengine tumewaita watoto wetu majina haya tu kwa sababu ya sifa njema walizokuwa nazo vijana wale. Ifahamike kwamba hayo majina, wala SI MAJINA YAO halisi, ni majina ya miungu ya babeli, kule walikokuwa utumwani, lakini majina yao halisi utayapata kwenye Daniel 1:6-8. Usije kushangaa huyo mwanao shadrack au meshack, akaja kuwa mtumwa, halafu ukaanza kumlaumu, kumbe ni hilo jina la babeli ulilomwita! Hasa sisi wazazi wa hii dot.com generation, tunapenda kuwaita watoto wetu majina ya watu mashuhuri wana mitindo, sijui, wana muziki wakubwa kule marekani, hivi kweli unataka mtoto wako aje kuwa mpiganaji kama Tyson? au Mwanamitindo mvaa nusu uchi kama kina Naomi campbel, au?   Kina Lady Gaga, kina Britney? Unajuaje kama Mungu amewa-destiny watoto wako kuwa hivyo?  Wandugu, parents are just custodians, but CHILDREN BELONGS TO GOD, THE CREATOR, AND WE WILL BE ACCOUNTABLE BEFORE HIM ON HOW WE RAISED THEM.
 
Kesho tutaendelea na hii mada yetu, tutaangalia wale wanaowapa watoto wao majina ya kurithishwa ya bibi zao au babu zao, wakati unajua kabisa kwamba baba yako au huyo mama yako alikuwa mchawi. Na pia tutamalizia kwa wale waliofoji vyeti vya kuzaliwa au vyeti vya kusomea, wakatumia majina ya watu kupata kazi au vyuo!
 
Mkae salama wazazi wenzangu.
Ni mimi Mzazi tarajiwa,
Stella Egidio




John Ndindwa

unread,
May 24, 2019, 1:25:03 AM5/24/19
to Wana Goshen
Hi am new visitor who joined your Team, i became very interested to know about God, My name is John James from Tabora, i saw this post through Google,  i was searching to know the meaning three Hebrews  warriors. Daniel, Shadrack and Abednego.. I wanted the meaning of their name before they came to Babylon and new names after joining new Government services at their captivity?
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages