WABONGO WA HOUSTON, TEXAS

68 views
Skip to first unread message

Nicholas Mwitta

unread,
May 25, 2006, 6:11:24 PM5/25/06
to Wab...@googlegroups.com

FBI: Ukiwadaka umeuaga ulofa

 
2006-05-25
16:25:01
Na HARVEY RICE, Houston Chronicle , Marekani

Shirika la Upelelezi la Marekani, FBI, limetangaza majina ya Watanzania watatu wanaosakwa kwa udi na uvumba ili wakajibu tuhuma za kukwiba mali ya mabilioni na kisha kutimkia mafichoni. watuhumiwa hao wanaowanyika usingizi makachero wa FBI ni Franklin Lauwo, 35, aliyekuwa akiishi huko Houson Marekani, James Mtae, 27, ambaye inasemekana amejichimbia humo humo Houston na Misso Canute Temu, 30.

Taarifa iliyotolewa na shirika
hilo imesema Lauwo na Temu wanaaminika kwamba wamekimbilia Tanzania wakati Mtae inaaminika bado amebana Houston au Dallas.  Taarifa hiyo imesema mtu yeyote atakayefanikiwa kuwapata watu hao wanaotafutwa kwa udi na uvumba awasiliane na FBI kwa simu namba 713-693-5000.  Kwa uzoefu wa nyuma, watu wanaofanya kazi za FBI ikiwa ni pamoja na kuvujisha siri za watu wanaotafutwa wamekuwa ’hawalazwi njaa’. Kwa mtaji huo, watakaofanikisha kukamatwa kwa watu hao, huenda ’wakauaga ulofa’ kwa kuibuka na madola ya FBI yaliyo nje nje. Katika matukio kadhaa hasa ya ugaidi, lilikuwa likitangazwa donge nono kwa yeyote atakayesaidia kukamatwa kwa watuhumiwa.

Watuhumiwa hao watatu wanasakwa ili waunganishwe na wenzao sita walioburuzwa kortini jana wakituhumiwa kula njama za kuiba
mali ya mabilioni. Walioburuzwa kizimbani ni pamoja na mtangazaji mashuhuri aliyevuna nchini katika miaka ya 1995 Njaidi Othman Njaidi. Watuhumiwa hao ambao baadhi walikuwa wafanyakazi wa kampuni ya Hewlett-Packard (HP) na Excel Logistics walifikishwa mahakamani mjini hapa jana kwa tuhuma za kula njama, kuiba na kusafirisha vifaa vya elektoriki vya kampuni hizo.  Aidha katika tuhuma zao wanadaiwa kujipatia mamilioni ya dola kwa mauzo ya mali hizo za wizi .  Kwa mujibu wa mashtaka watu hao walijipatia dola milioni 3.2 kwa kuuza mali hizo za wizi nchini Marekani. Watu hao walikamatwa na kufikishwa mahakamani baada ya uchunguzi wa mwaka mzima wa wizi wa vifaa vya HP.

Mtuhumiwa wa kwanza Njaidi Othman Njaidi, 35, wa Houston na Franklin Lauwo, 35, ambao wanadaiwa kuishi Houston, inadaiwa waliwaingiza katika kundi la wizi wafanyakazi wengine saba wa Hewlett-Packard kwa kuwalipa fedha.  Inadaiwa kwamba Watanzania hao walikuwa wanawalipa wafanyakazi hao dola 20,000 hadi 100,000, kufanikisha wizi, mwendesha mashtaka wa hapo alisema jana.

Inadaiwa kwamba Njaidi na Lauwo ’waliwaajiri’ Abby Hussein Omari, 24; Misso Canute Temu, 30; Ahmed Juma Khalid, 30; James Mtae, 27; Frederick Omondi, 31; na Jamese Hill, 25, wote wa Houston; na Wasia Kessi Maya, 28, ambaye naye pia awali alikuwa anaishi Houston kufanikisha wizi wa vifaa hivyo na kuviuza majimbo mbalimbali ya Marekani.
Kama watapatikana na hatia katika kadhia hiyo wanakabiliwa na kifungo cha miaka mitano jela na faini ya dola za Marekani 250,000.

Waendesha mashtaka wamesema kwamba watu hao waliajiriwa ili kuiba processors, hard drives, memory strips na vifaa vingine vya kompmyuta. Inadaiwa watu hao walikuwa ama wanaficha vitu hivyo kwenye viatu au kwenye nguo. Aidha walisema kwamba walikuwa wanabadilisha anuani za usafirishaji kutoka Hewlett-Packard and Excel na kupelekaa wateja wa Njaidi na Lauwo huko
California, Minnesota na majimbo mengine ya Marekani. Njaidi, Maya, Omari, Khalid, Omondi na Hill walikamatwa Alhamisi iliyopita na Ijumaa. Msemaji wa Hewlett-Packard, Emma Wischhusen amethibitisha kukamatwa kwa watu kadhaa katika ofisi za kampuni hiyo na mahali kwingine Houston baada ya uchunguzi wa mwaka mzima wa wizi wa mali za HP .

Njaidi ni mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya jamii ya Watanzania waliopo Houston na kwa mujibu wa uchaguzi wa mwaka 2004, yeye ni ofisa wa habari wa jumuiya hiyo.

·                       SOURCE: Alasiri

MSN_dudes.jpg

Yohane

unread,
May 26, 2006, 11:00:21 AM5/26/06
to Wabongo
some comments about this incident........
by the way, what is your opinion?
what does this tell us?

Justin wrote:
Unajua mambo kama haya yanatokea kila mahali, mimi nakumbuka miaka ya
tisini habari kama hizi zilikuwa nyingi tuu kutoka kwa watu wanaoishi
UK, in fact mpaka sasa hivi bado nasikia kuna watu wanaishi maisha ya
ajabu huko London.

Kwangu mimii sio issue kabisa jinsi mtu anavyo amua ku-take a risk na
kuiba na kuishi maisha anayotaka kutokana na wizi wake.
Ila kwa jinsi mimi ninavyojua sisi waswahili tulivyo ndio
kinachonisikitisha, kama huyu jamaa hapa chini alivyo andika, kama
matumizi ni kutesa na kunyanyasa wenzio, well then that can be an
issue, lakini think about it, for real......do you real believe these
guys and so many like them, got caught because of some kind of
investigation?
no, that is not true, these guys were caught because someone went to
the authority or their employer and 'rat them out'....hawa jamaa
wamechongewa tuu, kutokana na wivu wa wabongo wengine.

Don't get me wrong, I'm not by any means saying what they did was
right, I'm just talking about our stupid idea that 'afadhali tukose
wote" syndrome.

It is unfortunate that these guys over the past two yrs have
accumulated allot of haters, enemies and flat out jealous people.
Lakini naomba tusisahau, aim ya kuja huku nikutafuta maisha bora kwetu
sisi, ndugu, jamaa na marafiki vetu hapa na Tanzania, most of us go
about it in a safe legal way, some are more ambitious and can take more
risks, but what if this thing didnt turn out the way it did, what would
we all have said about the few ones who are now living in Tanzania?
wont we be saying all the good things about how well off they are? My
point here is very simple, who many others who are living well in
Tanzania, UK and/or Here who did the same or even worse things than
these guys?
The bottom line here, as far as I can see is this, these guys probably
were into something that most of other people wished they had,
unfortunate that didnt sit well with others and now we see the
results...

You and I have heard of allot of people who are very respectable in the
society today in Tanzania who got their money from some sort of illigal
activity (wizi, usulumaji, udanganyifu) in fact kuna baadhi ya story
huwa zinasemwa kama ni ufahari kwa vitu walivyofanya kupata huo utajiri
au mtaji. I mean this is almost our everyday life, too hear someone did
this worng thing and move on to do legal businesses.

Sasa kwanini tunashabikia mno kukamatawa kwa hawa jamaa?

kwasababu moja tuu......WIVU.

and like any other crime......we end up thinking, "these guys were so
stupid"

Isaack wrote:
ona habari za vijana wetu tuliowaamini na kuwapatia pasi za serilkali
ya jamhuri ya muungano (pamoja na kwamba hawakustahili) kwa gharama ya
mkulima wa pamba pale geita wanavyochefua !

Hello there, mambo vipi huko? Lete habari, naona muda kibao umepita
bila
mawasiliano, but I hope things are just fine as they are over here.
Hawa vijana waliokuwa indicted bwana ndio hivyo kama inavyojieleza
yenyewe
kwenye ile form. Kwa kweli hawa jamaa walivyosumbua huku mpaka watu
ilibidi
wawachukie. Unajua tena vurugu za wabongo. Deal yenyewe ni kwamba
walikuwa
wanaiba chips kwenye kiwanda cha computer. Unajua chips zenyewe ni
ndogo
yaani unaweza kuzijaza kibao kwenye mfuko wa suruali na ukatoka nazo tu
kiwandani bila watu kuona unatoka na mzigo mzito wala nini. Inadaiwa
kama
kwenye mifuko ya jeans unaweza hata kupakia 70 au 80 kwa jinsi chips
zenyewe
zilivyokuwa ndogo. From there walikuwa wanaenda kuwauzia Wahindi huko
huko
Houston na chips moja ilikuwa ni kama $800 mpaka $1200. Sasa hebu
imagine
kila siku mtu alikuwa anaweza kutoa kama chips 70 au 80. Can you
imagine
what kind of money they were making? This was happening like a year and
a
half ago. Wacha waanze kununua magari ya anasa, yaani fleet of cars
Mercedes, BMWs, Hummers and any expensive car you know. Unajua tena
wabongo
si kuingia kwenye clubs and bars na kuanza kuagiza pombe mpaka
zinaisha.
Stori moja inayosemwa kila siku hawa jamaa walienda Dallas, like two
hours
from Houston, one weekend wakaingia bar inayopendwa na wabongo
waliagiza
Champagne fulani bei mbaya huku inaitwa Cristal, hii ni Champagne yaani
kama
Bar yako haina jina hata supplier hakuuzii, chupa moja ni $450, yaani
jamaa
waliziagiza na walikuwa wanazigugumia kama bia, mpaka zikaisha kwenye
bar.
Furaha ya mwenye bar ilibidi aanze kutoa Heineken za bure kwa kila mtu
aliyekuwepo Bar siku hiyo. Then kulikuwa kuna Party last year Easter
hapo
Dallas, basi acha watu waanze kutukanwa, shika wewe $1000 kanyoe
nywele,
wewe kanunue nguo, wewe kale chukua $700, yaani ilikuwa vurugu tupu.
Sasa
unajua tena huku matumizi kama hayo, yaani beyond your means jamaa
hawachelewi kuanza uchunguzi wao. Lakini baadaye walikuja kushtukiwa na
deal
zikaisha, na mpaka sasa hivi wanapokuja kukamatwa yaani wengi wao
wamechokaaa, wapo wajanja waliojenga bongo, wengine wakaaamua kurudi
bongo,
na wengine wakabaki hapa hapa kama kina Njaidi, lakini ndio hvyo
wamechoka
kinoma. This year nilienda Dallas kwenye Easter party na Njaidi
alikuwepo
ila ndio hivyo kachokaaa comparably to things and cars he was driving
this
time last year. I believe hata sasa hivi they cant afford even private
lawyers.
Unajua washikaji wengine walikuwa wajanja waliweza kuzituma hela zao
nyingi bongo. Walikuwa wanalipa mbongo yoyote $1000 kutumia jina lako
kutuma
hela bongo, unajua walikuwa wanaogopa jina la mtu mmoja tu anatuma hela
kibao bongo hivyo walikuwa wanatumia watu tofauti tofauti kutuma hizo
hela
zao kwenda bongo. Ndio hivyo bwana huwezi kuamini sasa hivi wabongo
wengi
wanashangilia kukamatwa. Unajua huku bwana kazi zinalipa lakini ndio
hivyo
hela inaingia kidogokidogo, hakuna cha deal wala nini sasa hawa jamaa
walikuwa wanawafanya watu wanaofanya kazi waonekane kama wapumbavu
wanaopoteza muda wao. Imagine Njaidi alikuwa na BMW 750 ya mwaka 2005,
Range
Rover hizi new model ya mwaka 2005, Nissan Murano ya mwaka 2005 na taka
taka
nyingine kibao. BMW na Range sio chini ya $80,000 moja, na hawa jamaa
walikuwa wanalipa cash to get these cars. Yaani mambo ya peponi
haya!!!!
What can we say now, they had their time and they fucked it up. Wajanja
walipata hela wakakimbia zao bongo, na waliobaki moto ndio unawakumba.
May
be the arm of the law is long enough, there is no safe zone anywhere.
Sisi
tupo bwana tunaendelea kupigana na maisha ya kazi huku, hizi deal za
kuchumia kivulini na kulia juani, tunawaachia akina mpunga, wengine
sisi ni
mahindi tuahitaji jua sana to know the difference between kivuli na
jua.
Thanks and take care.

Nicholas Mwitta

unread,
May 26, 2006, 11:26:43 AM5/26/06
to Wab...@googlegroups.com
Lo! Huyo bwana Justin haitakii mema Tanzania. Hii culture ya kuusifu na kuutukuza wizi wa aina yoyote hauisaidii Tanzania. Sometimes, somehow there has to be an end to it, otherwise Bongoland will remain Bongoland! See Nigeria? It is a very rich country, but again its people are very poor!

Justin

unread,
May 26, 2006, 8:03:57 PM5/26/06
to Wabongo
Bwana Mwitta,
I believe you mis-understood my opinion, I did say I dont in any means
or form agree with what these guys in Houston did. If you read it again
you will see that.
Nakubaliana na wewe tabia ya uwizi ina mizizi mizito na inabidi
tubadili mtazamo wetu kuhusu suala hili, kama ambavyo inabidi
kubadilisha mtazamo kuhusu ushirikiano wetu
hasa kwa sisi tuishio nje ya Tanzania, sio jambo la kushangaza sana
kuona baadhi ya watanzania wasiopenda kujihusisha na wengine kutoka
Tanzania kwasababu ya kutokuaminiana.

> ------=_NextPart_001_0123_01C68026.A212C710
> Content-Type: text/html; charset=iso-8859-1
> Content-Transfer-Encoding: quoted-printable
> X-Google-AttachSize: 9173
>
> <!DOCTYPE HTML PUBLIC "-//W3C//DTD HTML 4.0 Transitional//EN">
> <HTML xmlns:st1 = "urn:schemas-microsoft-com:office:smarttags" xmlns:o =
> "urn:schemas-microsoft-com:office:office"><HEAD>
> <META http-equiv=Content-Type content=text/html;charset=iso-8859-1>
> <STYLE></STYLE>
>
> <META content="MSHTML 6.00.2900.2873" name=GENERATOR></HEAD>
> <BODY id=MailContainerBody
> style="PADDING-LEFT: 10px; FONT-WEIGHT: normal; FONT-SIZE: 11pt; COLOR: #0f2c59; BORDER-TOP-STYLE: none; PADDING-TOP: 15px; FONT-STYLE: normal; FONT-FAMILY: Verdana; BORDER-RIGHT-STYLE: none; BORDER-LEFT-STYLE: none; TEXT-DECORATION: none; BORDER-BOTTOM-STYLE: none"
> bgColor=#8eafe4 leftMargin=0
> background=cid:012101c68048$29139e30$E57FFCE3@CATHERINE topMargin=0
> acc_role="text" CanvasTabStop="true" name="Compose message area"><!--[gte IE 5]><?xml:namespace prefix="v" /><?xml:namespace prefix="o" /><![endif]-->
> <DIV>
> <P class=MsoNormal
> style="MARGIN: 0cm 0cm 0pt; mso-margin-top-alt: auto; mso-margin-bottom-alt: auto"><SPAN
> style="FONT-SIZE: 17pt; COLOR: #111111; FONT-FAMILY: Tahoma; mso-bidi-font-size: 12.0pt">FBI:
> Ukiwadaka umeuaga ulofa </SPAN><SPAN
> style="FONT-SIZE: 17pt; COLOR: #111111; FONT-FAMILY: Tahoma"><BR></SPAN><SPAN
> style="FONT-SIZE: 7.5pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Tahoma"><BR>&nbsp;<BR>2006-05-25
> </SPAN><st1:time Hour="16" Minute="25"><SPAN
> style="FONT-SIZE: 7.5pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Tahoma">16:25:01</SPAN></st1:time><SPAN
> style="FONT-SIZE: 7.5pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Tahoma"> <BR></SPAN><SPAN
> style="FONT-SIZE: 7.5pt; COLOR: #282828; FONT-FAMILY: Arial; mso-bidi-font-size: 12.0pt">Na&nbsp;HARVEY
> RICE, Houston Chronicle , Marekani</SPAN><SPAN
> style="FONT-SIZE: 7.5pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Tahoma"><o:p></o:p></SPAN></P>
> <P class=MsoNormal
> style="MARGIN: 0cm 0cm 0pt; mso-margin-top-alt: auto; mso-margin-bottom-alt: auto"><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">Shirika la Upelelezi


> la Marekani, FBI, limetangaza majina ya Watanzania watatu wanaosakwa kwa udi na
> uvumba ili wakajibu tuhuma za kukwiba

> </SPAN><st1:country-region><st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">mali</SPAN></st1:place></st1:country-region><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial"> ya mabilioni na


> kisha kutimkia mafichoni. watuhumiwa hao wanaowanyika usingizi makachero wa FBI
> ni Franklin Lauwo, 35, aliyekuwa akiishi huko Houson Marekani, James Mtae, 27,

> ambaye inasemekana amejichimbia humo humo </SPAN><st1:City><st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">Houston</SPAN></st1:place></st1:City><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial"> na Misso Canute
> Temu, 30. <BR><BR>Taarifa iliyotolewa na shirika
> </SPAN><st1:City><st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">hilo</SPAN></st1:place></st1:City><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial"> imesema Lauwo na
> Temu wanaaminika kwamba wamekimbilia </SPAN><st1:country-region><st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">Tanzania</SPAN></st1:place></st1:country-region><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial"> wakati Mtae
> inaaminika bado amebana </SPAN><st1:City><st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">Houston</SPAN></st1:place></st1:City><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial"> au
> </SPAN><st1:City><st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">Dallas</SPAN></st1:place></st1:City><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">.&nbsp; Taarifa hiyo


> imesema mtu yeyote atakayefanikiwa kuwapata watu hao wanaotafutwa kwa udi na

> uvumba awasiliane na FBI kwa simu namba 713-693-5000.&nbsp; Kwa uzoefu wa nyuma,


> watu wanaofanya kazi za FBI ikiwa ni pamoja na kuvujisha siri za watu
> wanaotafutwa wamekuwa 'hawalazwi njaa'. Kwa mtaji huo, watakaofanikisha
> kukamatwa kwa watu hao, huenda 'wakauaga ulofa' kwa kuibuka na madola ya FBI
> yaliyo nje nje. Katika matukio kadhaa hasa ya ugaidi, lilikuwa likitangazwa

> donge nono kwa yeyote atakayesaidia kukamatwa kwa watuhumiwa. <BR><BR>Watuhumiwa


> hao watatu wanasakwa ili waunganishwe na wenzao sita walioburuzwa kortini jana

> wakituhumiwa kula njama za kuiba </SPAN><st1:country-region><st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">mali</SPAN></st1:place></st1:country-region><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial"> ya mabilioni.


> Walioburuzwa kizimbani ni pamoja na mtangazaji mashuhuri aliyevuna nchini katika
> miaka ya 1995 Njaidi Othman Njaidi. Watuhumiwa hao ambao baadhi walikuwa
> wafanyakazi wa kampuni ya Hewlett-Packard (HP) na Excel Logistics walifikishwa
> mahakamani mjini hapa jana kwa tuhuma za kula njama, kuiba na kusafirisha vifaa

> vya elektoriki vya kampuni hizo.&nbsp; Aidha katika tuhuma zao wanadaiwa


> kujipatia mamilioni ya dola kwa mauzo ya

> </SPAN><st1:country-region><st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">mali</SPAN></st1:place></st1:country-region><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial"> hizo za wizi .&nbsp;


> Kwa mujibu wa mashtaka watu hao walijipatia dola milioni 3.2 kwa kuuza mali hizo
> za wizi nchini Marekani. Watu hao walikamatwa na kufikishwa mahakamani baada ya

> uchunguzi wa mwaka mzima wa wizi wa vifaa vya HP. <BR><BR>Mtuhumiwa wa kwanza


> Njaidi Othman Njaidi, 35, wa Houston na Franklin Lauwo, 35, ambao wanadaiwa
> kuishi Houston, inadaiwa waliwaingiza katika kundi la wizi wafanyakazi wengine

> saba wa Hewlett-Packard kwa kuwalipa fedha.&nbsp; Inadaiwa kwamba Watanzania hao


> walikuwa wanawalipa wafanyakazi hao dola 20,000 hadi 100,000, kufanikisha wizi,

> mwendesha mashtaka wa hapo alisema jana. <BR><BR>Inadaiwa kwamba Njaidi na Lauwo


> 'waliwaajiri' Abby Hussein Omari, 24; Misso Canute Temu, 30; Ahmed Juma Khalid,
> 30; James Mtae, 27; Frederick Omondi, 31; na Jamese Hill, 25, wote wa Houston;
> na Wasia Kessi Maya, 28, ambaye naye pia awali alikuwa anaishi Houston

> kufanikisha wizi wa vifaa hivyo na kuviuza&nbsp;majimbo mbalimbali ya Marekani.
> </SPAN><st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">Kama</SPAN></st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial"> watapatikana na


> hatia katika kadhia hiyo wanakabiliwa na kifungo cha miaka mitano jela na faini

> ya dola za Marekani 250,000. <BR><BR>Waendesha mashtaka wamesema kwamba watu hao


> waliajiriwa ili kuiba processors, hard drives, memory strips na vifaa vingine
> vya kompmyuta. Inadaiwa watu hao walikuwa ama wanaficha vitu hivyo kwenye viatu
> au kwenye nguo. Aidha walisema kwamba walikuwa wanabadilisha anuani za
> usafirishaji kutoka Hewlett-Packard and Excel na kupelekaa wateja wa Njaidi na

> Lauwo huko </SPAN><st1:State><st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">California</SPAN></st1:place></st1:State><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">,
> </SPAN><st1:State><st1:place><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial">Minnesota</SPAN></st1:place></st1:State><SPAN
> style="FONT-SIZE: 9pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Arial"> na majimbo mengine


> ya Marekani. Njaidi, Maya, Omari, Khalid, Omondi na Hill walikamatwa Alhamisi
> iliyopita na Ijumaa. Msemaji wa Hewlett-Packard, Emma Wischhusen amethibitisha
> kukamatwa kwa watu kadhaa katika ofisi za kampuni hiyo na mahali kwingine

> Houston baada ya uchunguzi wa mwaka mzima wa wizi wa mali za HP . <BR><BR>Njaidi


> ni mmoja wa viongozi wa Jumuiya ya jamii ya Watanzania waliopo Houston na kwa
> mujibu wa uchaguzi wa mwaka 2004, yeye ni ofisa wa habari wa jumuiya hiyo.

> <o:p></o:p></SPAN></P>
> <P class=MsoNormal
> style="MARGIN: 0cm 3.75pt 0pt 15pt; TEXT-INDENT: -18pt; mso-list: l0 level1 lfo1; tab-stops: list 36.0pt"><SPAN
> style="FONT-SIZE: 10pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Symbol; mso-bidi-font-size: 7.5pt; mso-fareast-font-family: Symbol; mso-bidi-font-family: Symbol"><SPAN
> style="mso-list: Ignore">·<SPAN
> style="FONT: 7pt 'Times New Roman'">&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;
> </SPAN></SPAN></SPAN><SPAN
> style="FONT-SIZE: 7.5pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Tahoma">SOURCE:
> </SPAN><I><SPAN
> style="FONT-SIZE: 10.5pt; TEXT-TRANSFORM: uppercase; COLOR: #000033; FONT-FAMILY: Arial; mso-bidi-font-size: 12.0pt">Alasiri</SPAN></I><SPAN
> style="FONT-SIZE: 7.5pt; COLOR: #000066; FONT-FAMILY: Tahoma">
> <o:p></o:p></SPAN></P></DIV></BODY></HTML>
>
> ------=_NextPart_001_0123_01C68026.A212C710--

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages