Call for Sponsors/Speakers : National Economic Forum on 6th June, 2012

1 view
Skip to first unread message

Ibwe Salimu

unread,
May 25, 2012, 8:40:23 AM5/25/12
to Universities
Kindly be informed that preparations are underway for the above
mentioned forum scheduled to take place on Wednesday 6th June, 2012.
Venue for this one day event will communicated later but it will be
held in Dar Es Salaam.
I take this opportunity to invite all of you to join us in making this
event successful, you may wish to:
1. Sponsor the forum (Corporate sponsorship or individual
support or you may offer to facilitate some services )
2. Present a paper or be a panellist based on issues highlighted
below
3. Participate in the forum and contribute your views from the
floor
Please contact any of the TPN officials mentioned below or visit TPN
office@ Mavuno house ground floor, use ABCT door.
Mr. Richard Kasesela, Vice President : rkases...@gmail.com
Hon. Janet Mbene, Secretary General: maorc...@gmail.com
Mr. Gervas Lufingo, Treasurer : nasemaasa...@yahoo.com (0784 482597)
Mr. Assed Kipepe, Admin Assistant: sdkip...@gmail.com (0716 898685)
TPN Membership registration forms may be downloaded at: www.tpntz.org
Thank you,
Phares Magesa
TPN - President
+255 784 618320
mag...@hotmail.com
pmag...@gmail.com
Subject: TPN kuandaa Kongomamano la Kiuchumi- National Economic
Forum :June 2012
Importance: High
Wazalendo
Kwa niaba ya Mtandao wa wanataaluma Tanzania (Tanzania Professionals
Network- TPN) nawatangazia kuwa tunakusudia kuandaa kongamano kubwa
la kitaifa la kujadili masuala ya kiuchumi (National Economic Forum).
Tunatarajia kongamano hili litafayika muda mfupi ujao ili watakaopata
nafasi ya kuhudhuria basi watoe maoni ambayo yatatumika ili kuwasaidia
wafanya maamuzi na watunga sera katika kuboresha bajeti na sera zetu
na mipango yetu ya kuichumi ikiwa ni pamoja na ya sasa na bajeti za
baadae ili kusaidia maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa Taifa letu la
Tanzania.
Wote tunajua kuwa nchi yetu ina rasilimali nyingi kuliko nchi zote
ukanda huu, wote tunajua kuwa nchi yetu imezungukwa na nchi nyingi
ambazo uchumi wa nchi hizo unategemea miundombinu ya nchi yetu, wote
tunajua ya kuwa nchi yetu ina utulivu na amani kuliko nchi zote za
ukanda wetu , wote tunafahamu kuwa kuna sera na mipango mingi ya
kitaifa ambayo imepitishwa na inafanyiwa kazi, Sasa swali la
kujiuliza ni kwa nini hadi sasa bado tuko nyuma sana ? … na ni kwa
nini nchi yetu ni moja ya mataifa masikini sana duniani ? nini
kifanyike ili kututoa katika hali hii ?
basi tunaomba watazania wote wenye mawazo, mbinu na ujuzi washirikiane
nasi katika kutafuta majibu ya maswali haya .
Washiriki wa kongamano hili ni watanzania na wasio watanzania ili
mradi ni wazalendo wenye mawazo ya kusaidia kutoa majibu ya maswali
hayo, tunatarajia kwaalika Mawaziri, Wabunge, watunga erra kutoka
taasisi muhimu, Wataalumu wa Fedha, Uchumi , uwekezaji na biashara na
wakuu wa taasisi muhimu zinazohusika na uchumi, fedha na bisahara.
Siku ya Kongamano na ukumbi mtajulishwa baada ya maandalizi ya awali
kukamilika, ila litafanyika katika jiji la Dar Es Salaam wiki ya
kwanza ya mwezi juni.
Wale wote watakaopenda kutoa mada(Speakers) au kuwa wachangiaji wa
mada (Panelists) wawasiliane nasi mapema iwezekanavyo kabla ya ijumaa
ijayo tarehe 25/05/2012
Wale wote watakaopenda kudhamini kongamano hili tunaomba muwasiliane
nami, Makamu wa Rais- Richard Kasesela ( <mailto:rkases...@gmail.com>
rkases...@gmail.com ) au katibu Mkuu Mhe. Janet Mbene
( <mailto:maorc...@gmail.com> maorc...@gmail.com).
Jioni ya kongamano hili ambalo litakuwa ni la siku moja tu kutakuwa na
tafrija ndogo kwa washiriki wote (Cocktail) ya kuwapongeza na
kuwashauri baadhi ya wanataaluma walioteliwa kushika nyadhifa
mbalimbali katika nchi yetu.
Naomba mjitokeze kwa wingi kushiriki na kusaidia kufanikisha kongamano
hili.
Nawatakia wote kila la heri na naomba tushikirikane.
Phares Magesa
Rais–TPN
+255 (0784/0767/013) 618320
<mailto:mag...@hotmail.com> mag...@hotmail.com,
<mailto:pmag...@gmail.com> pmag...@gmail.com
TPN website: <http://www.tpntz.org> www.tpntz.org
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages