Serikali yetu wana mpango gani na wanafunzi UDOM?

1 view
Skip to first unread message

Ibwe Salimu

unread,
May 25, 2012, 8:03:29 AM5/25/12
to Universities
Leo zikiwa zimebaki siku 42 kumaliza semister ya pili wanafunzi
hawajapata fedha yao ya kujikimu, kiukweli hali ya maisha hapa UDOM si
nzuri kiuchumi, itambulike kuwa wanafunzi wengi walioko vyuoni ni
watoto wa wakulima ambao kwa asilia 100% wanategemea mkopo kutoka
HESLB ombi langu naimba serikali ya Tanzania kunusulu maisha ya watoto
wa wakulima mungu ibariki UDOM, mungu ibariki Tanzania na wanafunzi wa
UDOM kuwa na moyo wa usitahimilivu Amena.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages