You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to univ...@googlegroups.com
Taarifa za chini kutoka kwenye uongozi wa chuo zinasema kuwa hadi sasa hakuna fedha yoyote kutoka HESLB, hivyo kutokana na ungozi wa chuo kuona matatizo waliyo nayo wanafunzi hasa ukosefu wa chakula umesema ifikapo tar 4 ya mwezi wa june kama hela hiyo itakuwa haijafika chuo itawalizimu kufunga chuo mpaka pale serikali itakapopata fedha. Je mimi nauliza hawalitambui kuwa mambo kama haya yanawahalibu wanafunzi kisikolojia ktk masomo yao.serikali ni kweli wamekuwa masikini hadi wa kukosa fedha ya kuwakopa wanafunzi huu ni upumbavu ambao wanaufanya ni vyema nchi hii kuongozwa kidikitata kuliko kuwa na serikali mgando kama hii.