TUMSHUKURU MUNGU

39 views
Skip to first unread message

asifiwe malila

unread,
Nov 24, 2012, 3:12:36 PM11/24/12
to kilimo tz, Umoja farm, ihanga group, tuitunze misitu, gala...@googlegroups.com, baraka lukumbulu, rafael raf, stanley mmanyi, chiruyi walingo, emmanuel moshi, heze mwalugaja, Abdallah Ally
Dear,
 
 Ni siku nyingine nzuri ya kumshukuru Mungu, kwa wale wanao kumbuka tulivyo anza uwekezaji huu 2005 pale Kihesa Mgagao sidhani kama walikuwa na picha kubwa kama ilivyo leo. Tulianza kwa taabu sana hasa kwa sababu ya ugeni.Kuna watu waliomba sana kwa Mungu ili kufanikisha. Naikumbuka chai day ya kwanza pale kwa John Mboya Tabata. Namshukuru Stanley Mmanyi hasa kwa kukubali kwenda kumwona Mbunge wa Kilolo kipindi hicho ili atupe habari za kilolo. Eddy amechangia sana mafanikio ya group kupitia gps aliyokuja nayo, shukrani sana. Wadada wote mlio ktk group yetu niwape asante. Siwajui waombaji, lakini endeleeni kuomba ili Mungu aendelee kutufunika na alinde miradi yetu.
 
Mpaka leo tuna maelfu  kadhaa ya ekari za miti iliyopandwa na misitu kadhaa pamoja na mashamba mapya ya mwaka ujao.Pamoja na changamoto tulizonazo kazi kubwa sana imefanyika. Mwaka ujao 2013 tunatarajia kuotesha miti mingi sana.Kuna watu washauza misitu yao na wamepata faida sana ndani ya kipindi hiki kifupi, sijui kama walitoa sadaka ama wameuchuna.
 
Group inapanuka sana, kwa sasa tumeshika njia kuelekea Songea, Njombe tumeshafungua ubalozi wetu pale Ihanga. Kupitia group yetu kuna vikundi vidogo vingine vilivyozaliwa kama akina galawani farm,ihanga group, na uwekezaji ktk mifugo umeanza kule Mkuranga. Matunda pia mwaka ujao tunaanza pale Ihanga. Nyuki farm tumeanza Kilolo, umoja farm pale Shungubweni kwa ajili ya mbuzi tayari.
 
Mipango yetu ya mbele ni pamoja na kununua eneo la kujenga yard pale Mapanda/Igeleke kwa ajili ya mbao huko mbeleni. Chogo south ni lazima tujenge banda la farm meneja ili aishi pale, estate yetu ni kubwa na pengine kwa sasa ndio kubwa kuliko zote, ina ukubwa wa eka 900.Ikifuatiwa na kisonga Block eka 670, labda huko mbele Kipanga south inaweza kufikia ukubwa wa eka 700 hivi.Kipanga tuna eka 1100 lakini haziko pamoja.
 
Nimetuma orodha ya majina yetu kwa kila kijiji tulicho na mashamba. Kama tungenia mamoja, basi tungeweza kuwa kampuni kubwa sana. Pole pole ndio mwendo. Kama hutaona jina lako basi nipigie,lakini si vizuri ku-forward taarifa hii kwa mtu mwingine mara baada ya wewe kusoma, hii ni kwa ajili yako tu.
 
Kuna mtu alisema anamshukuru Mungu kwa kile kidogo alichokuwa nacho pale Igeleke kwa sababu kuna wenzetu hata hizi eka tano za msitu hawana lakini yy amepata. Hii ni mhimu kwetu sote kumshukuru Mungu kwa haya mafanikio.
 
  Niwatakie x mass njema na heri ya mwaka mpya, kwa wale watakao safiri basi mkirudi tutaonana, na wale mlioko majuu, basi tupeni kadi, na tutakaokuwa pale Dsm, tusiache kutakiana baraka za Bwana.
 
 
    Mungu awabariki sana.
 
 
       Malila.
MASHAMBA YETU YA MISITU.doc

Grace Rwegoshora

unread,
Nov 25, 2012, 4:28:36 AM11/25/12
to iha...@googlegroups.com, kilimo tz, Umoja farm, tuitunze misitu, gala...@googlegroups.com, baraka lukumbulu, rafael raf, stanley mmanyi, chiruyi walingo, emmanuel moshi, heze mwalugaja, Abdallah Ally
Tunashukuru sana bwana Malila
Mungu ni mkubwa.
Naona umesahau jina letu kwenye list ya Ihanga.
cheers

2012/11/24 Chris Mahundi <mahund...@gmail.com>
Dear Malila nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitamwambia MUNGU asante kwakukupa moyo wa upendo kutukarimu kujitolea kwa ajili yetu bila malipo, kujinyima na kudhulumu muda wa familia yako kwaajili yetu, kutufundisha, kutukumbusha, kutusaidia na kutuvumilia kwa usumbufu na uzembe mbali mbali mungu na azidi kukupa uhai na moyo huo huo kwani yote haya unafanya kwa kujitolea tu hatukulipi wala hatujakuahidi lolote ni imani na upendo ulioje ..... Zawadi yangu kwako nikukuombea uhai nguvu na busara hii idumu mara dumu

Zaidi ya haya nakuomba usituchoke na uzidi kutukumbusha na kutupatia opportunity zaidi zikitokea

Wanakilimo wenzangu tujitahidi kutafuta pesa zaidi, kutembelea mashamba zaidi, kukutana ilikupanga yajayo, kumwombea malila na mwisho FIRE Break ndio uthibitisho wa uwekezaji wetu la nikuchezea pesa zetu wenyewe

Mungu warehema na azidi kuwapa amani afya na kipato zaidi na tukutane tean 2013 mkiwa salama

Marry x mass and prosperous new year

Regards

Chris
Sent from my BlackBerry®

From: asifiwe malila <sif...@yahoo.com>
Date: Sat, 24 Nov 2012 12:12:36 -0800 (PST)
Cc: gala...@googlegroups.com<gala...@googlegroups.com>; baraka lukumbulu<in...@lukumbulu.com>; rafael raf<rav...@gmail.com>; stanley mmanyi<stanley...@nmbtz.com>; chiruyi walingo<chiruyi...@tz.airtel.com>; emmanuel moshi<moshi_e...@yahoo.com>; heze mwalugaja<hezekia....@gmail.com>; Abdallah Ally<aaal...@yahoo.co.uk>
Subject: TUMSHUKURU MUNGU

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "ihanga" group.
To unsubscribe from this group, send email to ihanga+un...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "ihanga" group.
To unsubscribe from this group, send email to ihanga+un...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 



--
Grace



Dan John

unread,
Nov 25, 2012, 11:03:19 AM11/25/12
to umoja...@googlegroups.com, emmanuel moshi, tuitunze misitu, heze mwalugaja, stanley mmanyi, Abdallah Ally, chiruyi walingo, kilimo tz, baraka lukumbulu, iha...@googlegroups.com, gala...@googlegroups.com, rafael raf

Kweli tunakila sababu ya kumshukuru mungu kwa kuutuwezesha ktk yote yaliyojiri mwaka huu.
Kwngu mi ibinafsi nimelega ktk kutoa fungu langu lakumi na matokeo nnimeyavuna mwaka huu,nimejidhamiria kutorudia kosa hili teana :-) 

Ila pia Malila amekuwa wa msaada sana kwangu na wenzangu ktkmiradi yetu, naomba kila member amuombee kwa mungu azidi kuwana huo moyo wa kujitolea na kusimamiamalengo yetu.

Dan

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to umoja-farm+...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages