Mchango

6 views
Skip to first unread message

asifiwe malila

unread,
Nov 19, 2012, 9:27:44 AM11/19/12
to Umoja farm, Abel, mboka mwalyaje, Grace Rwegoshora
Dear members,

Leo nimepokea 400,000/ toka kwa Grace kwa ajili ya upanuzi wa shamba letu eka kumi zaidi. Naamini tukichangia kwa kadri tuwezavyo tunaweza kuokoa shamba letu lisivamiwe na Mwarabu. Mchango wa 620,000/ wa Betty na Dan umeelekezwa ktk malipo ya eka kumi za awali na mbuzi wawili.

Wakuu tukikosa ile mbuga nzuri kwa kufugia ndio basi tena.

   Malila

Daniel Ngemera

unread,
Nov 19, 2012, 10:00:11 AM11/19/12
to umoja...@googlegroups.com, Abel, mboka mwalyaje, Grace Rwegoshora
Mkuu asifiwe
 
ahsante sana kwa taarifa...je hapo tunaongolea eka ngapi, maana ingekuwa vizuri kama kuna watu wenye uwezo zaidi wangeweza kuongeza pesa zaidi ili kuchukua eneo kubwa kuzuia mwarabu asichukue eneo lote yaani kwa mfano kama nina uwezo nanunua eka 10 au 20 then wakati wengine wakipata pesa au wakikamilisha michango yule aliyekamata hizo eka anarudishiwa au ikishindikana inakuwa ni sehemu yake moja kwa moja hayo ni mawazo yangu tu.

2012/11/19 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to umoja-farm+...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.

asifiwe malila

unread,
Nov 19, 2012, 10:37:35 AM11/19/12
to umoja...@googlegroups.com, Grace Rwegoshora, mboka mwalyaje, Abel
Naam haswaaa,
 
Kila mwenye nafasi ya kuchangia pakubwa afanye hivyo ili tuokoe lile eneo na kama tunashindwa kurudisha deni basi ataachiwa eneo lake au ataingiza ktk hisa zake. Ni aibu sana huyu mwarabu akitunyang`anya lile shamba. Jamni shamba ni zuri, kumbuka sio msitu na halina visiki,lina maji na udongo wa kilimo.Tena ikibidi kama mtu anaweza kulipia pakubwa kwa kutukopesha tumpe na kariba kidogo.
 
   Malila

From: Daniel Ngemera <dnge...@gmail.com>
To: umoja...@googlegroups.com
Cc: Abel <emm...@gmail.com>; mboka mwalyaje <mboka.m...@aogltd.com>; Grace Rwegoshora <rweg...@gmail.com>
Sent: Monday, November 19, 2012 6:00 PM
Subject: Re: Mchango

Mkuu asifiwe
 
ahsante sana kwa taarifa...je hapo tunaongolea eka ngapi, maana ingekuwa vizuri kama kuna watu wenye uwezo zaidi wangeweza kuongeza pesa zaidi ili kuchukua eneo kubwa kuzuia mwarabu asichukue eneo lote yaani kwa mfano kama nina uwezo nanunua eka 10 au 20 then wakati wengine wakipata pesa au wakikamilisha michango yule aliyekamata hizo eka anarudishiwa au ikishindikana inakuwa ni sehemu yake moja kwa moja hayo ni mawazo yangu tu.

2012/11/19 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>
Dear members,

Leo nimepokea 400,000/ toka kwa Grace kwa ajili ya upanuzi wa shamba letu eka kumi zaidi. Naamini tukichangia kwa kadri tuwezavyo tunaweza kuokoa shamba letu lisivamiwe na Mwarabu. Mchango wa 620,000/ wa Betty na Dan umeelekezwa ktk malipo ya eka kumi za awali na mbuzi wawili.

Wakuu tukikosa ile mbuga nzuri kwa kufugia ndio basi tena.

   Malila
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mailto:umoja-farm%2Bunsu...@googlegroups.com.

For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.

Grace Rwegoshora

unread,
Nov 20, 2012, 12:25:37 AM11/20/12
to umoja...@googlegroups.com
Malila,
Ni kiasi gani kinatakiwa kununua acre zilizobaki?
au acre moja ni kiasi gani?
asante

2012/11/19 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>

--
Grace

asifiwe malila

unread,
Nov 20, 2012, 1:08:52 AM11/20/12
to umoja...@googlegroups.com
Dear all,

Shamba lina ukubwa wa eka 120, Umoja farm ili iwe na eneo la kutosha tunahitaji eka 100 minimum. Mpaka sasa tunahangaika kukamilisha eka 30. Na eka moja ni Tsh 250,000/ ongeza na 10%. Kwa hiyo tunahitaji 275,000/ x 70 sawa na 19,250,000/.

   Malila

From: Grace Rwegoshora <rweg...@gmail.com>
To: umoja...@googlegroups.com
Sent: Tuesday, November 20, 2012 8:25 AM
Subject: Re: Mchango

Daniel Ngemera

unread,
Nov 20, 2012, 10:41:32 AM11/20/12
to umoja...@googlegroups.com
yaani jamani kama tungekuwa na uwezo wa kuchukua hizo acre zote ingekuwa vizuri kwa ajili ya kuwa na eno la kutosha kufanya shughuli za kufuga...
 
Asifiwe nadhani hiyo yanaweza oteshwa hata majani kwa ajili ya mifugo kama vile guatemala, nepia  etc...
 
Nadhani wote hatuko sawa kimfuko but we need to do something about it...
 
Regards
 
Daniel

2012/11/20 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>

asifiwe malila

unread,
Nov 20, 2012, 11:02:15 AM11/20/12
to umoja...@googlegroups.com
Hi all,
 
Kwa waliofika pale wanajua hali ikoje. Huyu Mwarabu kahama kule Yavayava kahamia huku kwa sababu ya uzuri wa eneo hili. Nawaombeni kama tunaweza tukapata fedha kwa mtu ili tukamate lote ingekuwa bonge la deal. Hata yule jirani mkorofi kaanza kufuga mbuzi, kanunua kwa Shija.
 
      Malila

From: Daniel Ngemera <dnge...@gmail.com>
To: umoja...@googlegroups.com
Sent: Tuesday, November 20, 2012 6:41 PM
Subject: Re: Mchango

yaani jamani kama tungekuwa na uwezo wa kuchukua hizo acre zote ingekuwa vizuri kwa ajili ya kuwa na eno la kutosha kufanya shughuli za kufuga...
 
Asifiwe nadhani hiyo yanaweza oteshwa hata majani kwa ajili ya mifugo kama vile guatemala, nepia  etc...
 
Nadhani wote hatuko sawa kimfuko but we need to do something about it...
 
Regards
 
Daniel

2012/11/20 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>
Dear all,

Shamba lina ukubwa wa eka 120, Umoja farm ili iwe na eneo la kutosha tunahitaji eka 100 minimum. Mpaka sasa tunahangaika kukamilisha eka 30. Na eka moja ni Tsh 250,000/ ongeza na 10%. Kwa hiyo tunahitaji 275,000/ x 70 sawa na 19,250,000/.

   Malila

Grace

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mailto:umoja-farm%2Bunsu...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mailto:umoja-farm%2Bunsu...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.

Janet Ngowi

unread,
Nov 21, 2012, 12:05:20 AM11/21/12
to umoja...@googlegroups.com

Malila

Ni kweli tukipata pesa kwa mtu aliyenazo angenunua tukamrudishia  as we go alone. Tumeanza kuleta impact ktk jamii kama huyo jirani alikaa hapo miaka yote hakufuga mbuzi sasa anafuga ni jambo la kumshukuru Mungu . Mgeni aje mwenyeji apone na hakuna changes ktk jamii kama hakuna driving  force from outside

Janet

Disclaimer: This email and any files transmitted with it are confidential and solely intended for the use of the individual or entity to whom they are addressed. If you are not the addressee, do not disclose, copy, circulate or in any other way use or rely on the information contained therein. If received in error, notify the sender immediately and delete this email from your system. Please note that any views or opinions presented in this email are solely those of the author and do not necessarily represent those of the Tanzania Ports Authority, unless that information is subsequently confirmed in writing. The integrity and security of this email cannot be guaranteed on the internet. Therefore Tanzania Ports Authority accepts no liability for any damage caused by the contents and/or any virus transmitted by this email.

Tanzania Ports Authority, Head Office, P.O Box 9184, Dar-es-Salaam, Tanzania.
www.tanzaniaports.com

Janet Ngowi

unread,
Nov 21, 2012, 12:12:11 AM11/21/12
to umoja...@googlegroups.com

Malila

Kuhusu kikao mimi nitakua Dar

janet

From: umoja...@googlegroups.com [mailto:umoja...@googlegroups.com] On Behalf Of asifiwe malila
Sent: Tuesday, November 20, 2012 7:02 PM
To: umoja...@googlegroups.com
Subject: Re: Mchango

Hi all,

Disclaimer: This email and any files transmitted with it are confidential and solely intended for the use of the individual or entity to whom they are addressed. If you are not the addressee, do not disclose, copy, circulate or in any other way use or rely on the information contained therein. If received in error, notify the sender immediately and delete this email from your system. Please note that any views or opinions presented in this email are solely those of the author and do not necessarily represent those of the Tanzania Ports Authority, unless that information is subsequently confirmed in writing. The integrity and security of this email cannot be guaranteed on the internet. Therefore Tanzania Ports Authority accepts no liability for any damage caused by the contents and/or any virus transmitted by this email.

asifiwe malila

unread,
Nov 21, 2012, 12:44:06 AM11/21/12
to umoja...@googlegroups.com
 Asante,
 
Hofu yangu ni huyu Mwarabu, anaweza kutubana tukakosa kupumua. Wale tuliokuwa tayari kuchangia ni vizuri tukafanya hivyo mapema ili tusiharibu image yetu kwa ile familia.
 
  Malila

Daniel Ngemera

unread,
Nov 21, 2012, 6:44:39 AM11/21/12
to umoja...@googlegroups.com
Dear Asifiwe
 
kama zinachukuliwa eka zote 100 kwa 19 m + then inabidi hapa ndani tuanze mchakato wa kuangalia uwezo tulionao maana najua kwa kipindi hiki kuelekea desemba mambo ni mabaya...kwa mfano tukisema watu wachangie kama eka 5 hadi 10 - je inawezekana...nina wasiwasi na ule utaratibu kwamba mmoja atoe halafu tutamrudushia baadaye. Kama tupo watu 10 ni kwamba kila mtu inabidi achangie si chini ya 1 m...je inawezekana kwa sasa...
 
regards
 
Daniel

2012/11/21 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>

asifiwe malila

unread,
Nov 21, 2012, 7:11:22 AM11/21/12
to umoja...@googlegroups.com
Ni wazo zuri,
 
Mimi nashauri kama tukiweza kuchangia kuanzia 250 mpaka 500 hapa ktkt kwa watu kumi tunaweza kulipia eka 10 zingine halafu tunaendelea tena ili wajumbe wasiumie na hii desember. Option ya mtu kuchangia kuanzia eka 5 mpaka kumi tulishaikubali siku nyingi, na hii ndio ilipelekea tukakamilisha ujenzi haraka. Tukipata 3.0M mpaka 5.0M tunaweza kuwatuliza hawa ndugu zetu.
 
1; Grace ana 400,000/ tayari ninazo
2; Kasopa   500,000/ ahadi
3; Iddi         500,000/ ahadi
4; Wewe Ngemera ---------
5; Mimi Asifiwe 500,000/ ahadi, desember 08 nikiwa mjini natoa.
6; Betty --------
7; Chalamila -------
8; Janeth ---------
9; Ndori ----------
10; Mboka ------
11; Eva ---------
12; Bugufi --------
13; Abel mbaga ----------
14; Galimo ---------
15; Mike ------------
 
  Kila mtu akiweka cho chote hapo lazima tutoke.
 
    Malila

2012/11/21 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mailto:umoja-farm%2Bunsu...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mailto:umoja-farm%2Bunsu...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.

Daniel Ngemera

unread,
Nov 21, 2012, 7:20:56 AM11/21/12
to umoja...@googlegroups.com
nadhani hiyo ni safi kabisa....
 
tukifanikiwa tukalizunguka shamba kama kuna maeneo yanayobaki katikati itakuwa vigumu sana mtu mwingine kuka kununua. Bahati mbaya sijafika hiyo sehemu ila kama udongo wake ni mwekundu basi huo ni mzuri sana kwa kilimo cha mazao mbalimbali.
 
Kama umepiga picha za eneo nitumie basi.

2012/11/21 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>

asifiwe malila

unread,
Nov 21, 2012, 7:34:47 AM11/21/12
to umoja...@googlegroups.com
Poa,
 
Picha sijapiga.
 
   malila

seyd hamood

unread,
Nov 21, 2012, 1:31:13 PM11/21/12
to umoja...@googlegroups.com
Wakuu naombeni tuwe nania sabiti inawezekana watu 15 tushindweje kulipa 19m kama tunania kweli na tunajua tuendapo mbona ni mambo ya aibu kwetu hebu tujifunge mikanda, kweli wakati ni mgum. lakini tukiweka zamira tunaweza tusijikite sana kwenye mambo ya kupita. najua hapa kila mmojawetu afikiri sana sukukuu na mwakampya. yani mwarabu ajekututoa pale au sijui amege pandeletu? nasisi tuna mudamrefu pale hapana nduguzangu chondechonde wakubwa tusikubali kiurahisi 

--- On Wed, 21/11/12, asifiwe malila <sif...@yahoo.com> wrote:

Grace Rwegoshora

unread,
Nov 22, 2012, 12:29:25 AM11/22/12
to umoja...@googlegroups.com
Tatizo wengine hata emails hawajibu, so hatujui wanafikiri nini kuhusu ili swala.
ebu tujitahidini jamani
G

2012/11/21 seyd hamood <seydh...@yahoo.com>

--
Grace

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages