Taarifa.

17 views
Skip to first unread message

asifiwe malila

unread,
Nov 26, 2012, 6:21:05 AM11/26/12
to Umoja farm
Hi all,
 
Naomba niwajulishe kuwa, tunahitaji kusonga mbele kama tulivyo-plan. Kwa wenzetu ambao walikuwa wanapata updates zetu za Umoja farms wakiwa hawana hisa hawatapata tena usumbufu wa kupokea mails za umoja farms. Wao watakuwa na uwezo wa kutuma ujumbe kwenda Umoja farm na kama ni hoja nzito wataweza kupata majibu. Hili la kukosa taarifa za kila siku litawakumba wenye hisa kidogo, kwa sababu tunataka kuwa na budget ya 2013, sasa ni ngumu sana kupanga budget ukijumuisha na members wenye deni kubwa.
 
Ni rahisi sana hawa wachache wakajua uzito wa mzigo wao. Kwa wale watakaokosa updates na wanahitaji kuongeza hisa au kuchukua hisa zao ni bora waseme ili hilo walitakalo lifanyiwe kazi.
 
Maamuzi ni magumu. lakini ni kwa ajili ya uhai na maendeleo ya kikundi chetu.
 
    Malila

Grace Rwegoshora

unread,
Nov 26, 2012, 6:24:07 AM11/26/12
to umoja...@googlegroups.com
pamoja brother

2012/11/26 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to umoja-farm+...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.

--
Grace

Eva Maro

unread,
Nov 26, 2012, 6:55:38 AM11/26/12
to umoja...@googlegroups.com
Ni kweli haya ni maamuzi magumu... pia ile nia ya kuwakaribisha tena watakapokuwa tayari kuongeza nguvu ili tulingane ni njema na ya moyo mkunjufu.
 
That said; tuko pamoja and it is about time tukafanya hivi.  Mimi nilishachoka kuchangia hii mada maana tunasema halafu hatufanyi kitu. Najipanga kutembelea Mkuranga in the next 2 wks and at that time nitaleta my part towards Umoja Farm.
 
Na tubarikiwe!
 
e.

2012/11/26 Grace Rwegoshora <rweg...@gmail.com>

--
Regards,
Eva Maro Kilewo.

When you walk through the door of opportunity, you do not slam it behind you. You reach back and help others succeed. - Michelle Obama

asifiwe malila

unread,
Nov 26, 2012, 7:20:58 AM11/26/12
to umoja...@googlegroups.com
Asante,
 
Nijulishe ukifika Dar, huenda nikawa town. Naingia Dar 4 dec to 31 dec 2012.
 
   Malila

From: Eva Maro <eva...@gmail.com>
To: umoja...@googlegroups.com
Sent: Monday, November 26, 2012 2:55 PM
Subject: Re: Taarifa.

Ni kweli haya ni maamuzi magumu... pia ile nia ya kuwakaribisha tena watakapokuwa tayari kuongeza nguvu ili tulingane ni njema na ya moyo mkunjufu.
 
That said; tuko pamoja and it is about time tukafanya hivi.  Mimi nilishachoka kuchangia hii mada maana tunasema halafu hatufanyi kitu. Najipanga kutembelea Mkuranga in the next 2 wks and at that time nitaleta my part towards Umoja Farm.
 
Na tubarikiwe!
 
e.

2012/11/26 Grace Rwegoshora <rweg...@gmail.com>
pamoja brother

2012/11/26 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>
Hi all,
 
Naomba niwajulishe kuwa, tunahitaji kusonga mbele kama tulivyo-plan. Kwa wenzetu ambao walikuwa wanapata updates zetu za Umoja farms wakiwa hawana hisa hawatapata tena usumbufu wa kupokea mails za umoja farms. Wao watakuwa na uwezo wa kutuma ujumbe kwenda Umoja farm na kama ni hoja nzito wataweza kupata majibu. Hili la kukosa taarifa za kila siku litawakumba wenye hisa kidogo, kwa sababu tunataka kuwa na budget ya 2013, sasa ni ngumu sana kupanga budget ukijumuisha na members wenye deni kubwa.
 
Ni rahisi sana hawa wachache wakajua uzito wa mzigo wao. Kwa wale watakaokosa updates na wanahitaji kuongeza hisa au kuchukua hisa zao ni bora waseme ili hilo walitakalo lifanyiwe kazi.
 
Maamuzi ni magumu. lakini ni kwa ajili ya uhai na maendeleo ya kikundi chetu.
 
    Malila
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mailto:umoja-farm%2Bunsu...@googlegroups.com.

For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.

--
Grace

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mailto:umoja-farm%2Bunsu...@googlegroups.com.

For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.

--
Regards,
Eva Maro Kilewo.

When you walk through the door of opportunity, you do not slam it behind you. You reach back and help others succeed. - Michelle Obama

Janet Ngowi

unread,
Nov 26, 2012, 7:42:57 AM11/26/12
to umoja...@googlegroups.com

Malila

Tuko pamoja kaka.

janet

--

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to umoja-farm+...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.

Disclaimer: This email and any files transmitted with it are confidential and solely intended for the use of the individual or entity to whom they are addressed. If you are not the addressee, do not disclose, copy, circulate or in any other way use or rely on the information contained therein. If received in error, notify the sender immediately and delete this email from your system. Please note that any views or opinions presented in this email are solely those of the author and do not necessarily represent those of the Tanzania Ports Authority, unless that information is subsequently confirmed in writing. The integrity and security of this email cannot be guaranteed on the internet. Therefore Tanzania Ports Authority accepts no liability for any damage caused by the contents and/or any virus transmitted by this email.

Tanzania Ports Authority, Head Office, P.O Box 9184, Dar-es-Salaam, Tanzania.
www.tanzaniaports.com

seyd hamood

unread,
Nov 26, 2012, 8:59:20 AM11/26/12
to umoja...@googlegroups.com

Nadhani wabahili kwasasa nibora tukalimaliza kulingana na mjadala wa muda mrefu na tulisha afikiana Kurdisha hisa zao kama uamuziwao imekuwa gum sisi tuchukue hatua zakurudisha hisa zao niliwahi kutoa kumuomba mkuu Malila kutupa mahesabu itatakiwa kulipa kiasigani kila mmoja wetu

------------------------------

seyd hamood

unread,
Nov 26, 2012, 9:12:12 AM11/26/12
to umoja...@googlegroups.com

Samahani nimeandika kwabahati mbaya hiyo sentence ya Wabahili.siomakusudia yangu

------------------------------
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages