mchango

4 views
Skip to first unread message

asifiwe malila

unread,
Nov 7, 2012, 1:44:34 PM11/7/12
to Umoja farm, mboka mwalyaje, Grace Rwegoshora
Hi all,
 
Leo dada Mboka amepunguza deni lake la michango, ametoa laki mbili, hizi zinalipa deni. Kwa sababu wengi mmeunga hoja ya kuchangia kiwango kikubwa ktkt ya november 2012 ili tuzuie shamba lisichukuliwe, mimi nitawaambia tunakwenda kulipia mwanzoni mwa desemba.
 
   Malila
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages