Salaam. Kuna uwezekano mkubwa shamba letu kumegwa na kuuzwa kwa mtu mwingine. Kwa kuwa tumeamua kutumia hisa, basi naomba tuchangie Kama laki tano kwa kila anayeweza ili tupate hela za kuwatuliza ili wasiuze kwa wengine. |

| Sawa mkuu tutafanya hivyo --- On Sat, 3/11/12, ja...@tanzaniaports.com <ja...@tanzaniaports.com> wrote: |
Salaam. Kuna uwezekano mkubwa shamba letu kumegwa na kuuzwa kwa mtu mwingine. Kwa kuwa tumeamua kutumia hisa, basi naomba tuchangie Kama laki tano kwa kila anayeweza ili tupate hela za kuwatuliza ili wasiuze kwa wengine. |
Naamini tukijikamua tutaokoa shamba lille |
Dear All,
Salamu sana! Nasikitika nimeshindwa kuwajoin sababu ya mambo mengi sana ya kazi na majukumu mengineyo. Bado ninapokea emails zenu ingawaje mimi sio member. Nina mapendekezo yafuatayo:
1. Kama mnampango wa kuinvest kwenye horticulture tafadhali mujiunge na TAHA ili mpate kuwa part and parcel ya program zetu nchini ya kuendeleza tasnia ya horticulture.
2. Since sijajiunga hadi leo, ninaomba mnitoe kwenye mail circulation maana sina shares kwenye kampuni hii.
Aksanteni sana.
salamu
Jacqueline Mkindi
Executive Director
Tanzania Horticultural Association
Kanisa Road, House No 49
P. O. Box 16520 Arusha, Tanzania
Tel/ Fax +255-27-2544568
Cell: +255 754 306878
E-mail: ed.ta...@habari.co.tz
skype: jackie_mkindi
Web: www.tanzaniahorticulture.com
" DEVOTED TO DEVELOP AND PROMOTE THE HORTICULTURAL INDUSTRY IN TANZANIA"
Determination, Strategy and Vision for the future are our real resources in the quest for excellence and success!
Horticulture kwa afya na mapato zaidi!
--
Unaweza kukujulisha namna ya kujiunga na taha? |
Salaam. Kuna uwezekano mkubwa shamba letu kumegwa na kuuzwa kwa mtu mwingine. Kwa kuwa tumeamua kutumia hisa, basi naomba tuchangie Kama laki tano kwa kila anayeweza ili tupate hela za kuwatuliza ili wasiuze kwa wengine.
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mailto:umoja-farm%2Bunsu...@googlegroups.com.
Salaam,Tuko ktk hatua za awali za uundaji kampuni yetu, tunafanya mawili kwa wakati mmoja, MoU tayari, shamba limepatikana, naamini desemba 2012 tutaingia Blera kusajiri jina na hatimaye tuweze kupata vitu muhimu vinavyokosekana kwa sasa. Tunatumia ac ya mtu binafsi au M pesa. Ktk orodha ya Umoja farm jina hili Abel silioni, je una jina lingine unalotumia? Au wewe ni mwanachama mpya? Au ni wale wa mwanzo kabisa? Nisaidie ndugu yangu ili nikumbuke. Maana kwa sasa tuko na Tsh 1.1M kwa walioactive.Malila
Sent: Sunday, November 4, 2012 11:19 AM
Subject: Re: Shamba litamegwa
Mimi nipo tayari kutoa hizo hisa za 500,000/- ila kuna certificate yoyote naweza kupewa? Mnatumia bank account au kuna namba specific inayotumika kutuma pesa?
On Sat, Nov 3, 2012 at 9:26 PM, asifiwe malila <sif...@yahoo.com> wrote:
Salaam. Kuna uwezekano mkubwa shamba letu kumegwa na kuuzwa kwa mtu mwingine. Kwa kuwa tumeamua kutumia hisa, basi naomba tuchangie Kama laki tano kwa kila anayeweza ili tupate hela za kuwatuliza ili wasiuze kwa wengine.
-- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
| Wakuu naona bora tukachekecha hii namba kubwa isiokuwa na tija tuibwage huyujama apewe nafasi atoe hiyo 1.1 pamja na laki5 jumla iwe 1.6 na kama tulivyo jadili kwanza tununue shea za wenzetu ambao huwakujaaliwa kuendelea na ushirika wetu iangaliwe ni kiasi gani kila mmoja wetu anatakiwa kutoa ili zirudishwe pesa zao naomba mkuu malila ushughulikie swala la mahesabu ugawe kwa kila mtu anunue shea zilizo simama ili tuendelee na mengine yajayo. tumesubiri kwamuda tumetoa deadlines maranyingi sana mwisho tukaafiki kununua shea zao lakini hili zoezi mpaka leo halijafanyika. wakati umefika wa kutekeleza azimio --- On Wed, 7/11/12, asifiwe malila <sif...@yahoo.com> wrote: |
|
To: "Abel" <emm...@gmail.com> |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
From: Abel <http://mc/compose?to=emm...@gmail.com>To: "sifuni2@yahoo com" <http://mc/compose?to=sif...@yahoo.com>Sent: Sunday, November 4, 2012 11:19 AM
Subject: Re: Shamba litamegwa
Mimi nipo tayari kutoa hizo hisa za 500,000/- ila kuna certificate yoyote naweza kupewa? Mnatumia bank account au kuna namba specific inayotumika kutuma pesa?
On Sat, Nov 3, 2012 at 9:26 PM, asifiwe malila <http://mc/compose?to=sif...@yahoo.com> wrote:
Salaam. Kuna uwezekano mkubwa shamba letu kumegwa na kuuzwa kwa mtu mwingine. Kwa kuwa tumeamua kutumia hisa, basi naomba tuchangie Kama laki tano kwa kila anayeweza ili tupate hela za kuwatuliza ili wasiuze kwa wengine.
-- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group. To post to this group, send email to http://mc/compose?to=umoja...@googlegroups.com.To unsubscribe from this group, send email to http://mc/compose?to=umoja-farm%2Bunsu...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.
-- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mailto:umoja-farm%2Bunsu...@googlegroups.com.For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.