Michango

7 views
Skip to first unread message

asifiwe malila

unread,
Sep 19, 2012, 2:03:46 PM9/19/12
to Umoja farm, mboka mwalyaje, Grace Rwegoshora
Dear members,
 
hati ya kijiji ya eka 30 ninayo mkononi tayari. Ilitakiwa Tsh 2,500,000/ wapewe cash, wakasema wao wanatukabidhi kumalizia jengo lao la ofisi ya mtaa wa Mduzi sawa na fedha ambayo tungetoa.
 
Nimepokea michango ya 250 kama ilivyo ktk jedwali, kwa sasa yaani leo mafundi wanaendelea na ujenzi kumalizia ofisi ya mtaa pale mduzi. Ofisi ya mtaa wa mduzi ni serikali, lakini hata sisi inatuhusu ( Mimi, Kasopa,Grace tuna mashamba pale mduzi).
 
Nawaomba ambao hamjachangia, mjitahidi kumalizia viporo ili tuingie hatua ya eka 40. Lengo tuwe na terminal ya eka 100. jamani MoU mmesaini kwa Dan?
 
   Malila
 
 
 
 
umoja 4.doc

Grace Rwegoshora

unread,
Sep 19, 2012, 2:26:13 PM9/19/12
to asifiwe malila, Umoja farm, mboka mwalyaje
Kaka Malila,

nitafika bongo  ijumaa yaani keshokutwa. Naomba contact za Dan kwa ajili ya kusign MOU , namba uliyonipa last time sikumpata. 

asante
G

2012/9/19 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>



--
Grace



asifiwe malila

unread,
Sep 19, 2012, 2:30:19 PM9/19/12
to Grace Rwegoshora, Umoja farm, mboka mwalyaje
Poa nakurushia,
 
October utakuwa nasi trip ya Ihanga njombe?
 
Dan 0715354565, ukimkosa hapa basi tena.
 
   Malila

--- On Wed, 9/19/12, Grace Rwegoshora <rweg...@gmail.com> wrote:

Grace Rwegoshora

unread,
Sep 19, 2012, 2:34:32 PM9/19/12
to asifiwe malila, Umoja farm, mboka mwalyaje
asante.
sijajua tarehe zangu zimekaaje, nitaconfirm October mwanzoni.
kwani tarehe mlisha deside?

2012/9/19 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>



--
Grace



asifiwe malila

unread,
Sep 19, 2012, 2:37:19 PM9/19/12
to Grace Rwegoshora, Umoja farm, mboka mwalyaje
Bado sijapanga tarehe ya kwenda huko hiyo october.
 
    malila

asifiwe malila

unread,
Nov 11, 2012, 1:34:07 AM11/11/12
to umoja...@googlegroups.com, Grace Rwegoshora, mboka mwalyaje
 Wakuu naomba tuwe huru kuweka mawazo yetu hapa jukwaani, kuna wenzetu wako nyuma sana kimichango, angalia jedwali. Naomba watupe ac zao za benki ili wanaomaanisha wawarudishie michango yao. Nashindwa kutengeneza makisio ya mbele kwa sababu sina hakika na idadi yetu, sipendi kurudia kosa la kuazima hela tena. Tuwarudishie hela zao akina Mike, Garimo kwa awamu ya kwanza na nafasi yao achukue Abel Mbaga.
 
   Malila

-- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.To unsubscribe from this group, send email to umoja-farm+...@googlegroups.com.For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.
umoja November.doc
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages