Mbuzi wanauzwa

24 views
Skip to first unread message

asifiwe malila

unread,
Oct 6, 2012, 6:41:46 AM10/6/12
to Umoja farm, Grace Rwegoshora, mboka mwalyaje
Hi wote,
 
 Kuna mbuzi 22 wanauzwa pale Shungubweni. Mbuzi hawa wanamilikiwa na shule ya HOCET na wanauzwa Tsh 60,000/ kila mbuzi. Tungekuwa tumekamilisha michango yetu tungewachukua wote na kuwahamishia shambani kwetu pale.
 
   Malila
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages