michango

1 view
Skip to first unread message

asifiwe malila

unread,
Nov 14, 2012, 7:18:57 AM11/14/12
to Umoja farm, Grace Rwegoshora, mboka mwalyaje
Hi,
 
mchana huu nimepokea Tsh 625,000/ toka kwa Dan Ngemera na Betty. Hizi ni michango yao ya shamba letu. Ktk hizi 250,000/ zinamalizia malipo ya eka kumi za mwisho ktk zile 30 tulizo nazo. Tsh 60,000/ ni za mbuzi. Kwa hiyo tutakuwa na mbuzi nane sasa.
 
November hii tumekuwa na proposal ya kuchangia laki tano kwa kila mwenye nafasi ili tuongeze ukubwa wa shamba, upande wa juu wa shamba letu kuna fisadi kalipia eka 90, tumenusulika kidogo. Niwakumbushe wote kuwa kama tutachangia 250,000/ kwa pamoja, basi tutapata 2.5M na zaidi kidogo, hii itatuwezesha kulipia eka 10 zaidi.
 
Asante sana Ngemera/Betty.
 
    Malila
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages