Kikao

6 views
Skip to first unread message

asifiwe malila

unread,
Nov 19, 2012, 2:01:43 PM11/19/12
to Umoja farm, Grace Rwegoshora, mboka mwalyaje
Dear all,
 
Kwa wale wanachama wenye hisa ktk Umoja farm, naomba desemba tukutane kwa kikao, pamoja na mambo mengine ni kusaini MoU yetu, kujadili mafanikio na changamoto, nini kifanyike 2013, naamini mtakao kuwepo Dar kuanzia 4desemba nipeni majina iwe rahisi kukumbushana.
 
Desemba imekaa vibaya, lakini hatuna jinsi, lazima tukutane.
 
   Malila

Grace Rwegoshora

unread,
Nov 20, 2012, 12:20:20 AM11/20/12
to umoja...@googlegroups.com, mboka mwalyaje
Good idea,
Ila Dec ni mwezi ambao watu wanakuwa busy na matayarisho ya sikukuu pamoja na safari.
kwanini tusifanye January?
Kwa upande wangu December sitaweza maana nipo kazini na nitapata  just one week off ambayo sitakuwepo Dar.
labda tusikie na wengine wanasemaje

cheers

2012/11/19 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to umoja-farm+...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.



--
Grace



Daniel Ngemera

unread,
Nov 20, 2012, 10:38:55 AM11/20/12
to umoja...@googlegroups.com, Grace Rwegoshora, mboka mwalyaje
Naomba kama inawezekana kati ya tarehe 2-6 January itakuwa ni muda mzuri zaidi. Mimi nitakuwa Dar kuanzia tarehe 31 Decemba hadi 20 January hivyo unaweza kuwa muda mzuri kwangu ila itategemea na wengine wanaonaje
 
Daniel

2012/11/19 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>

--
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages