Salaam. Ndugu zangu mbona kimya,Kama tumeshindwa kuendelea na project yetu basi tutoe taarifa ili tujue tuko wangapi. Awamu ya mwisho tumetoa watu watano tu na hati tunayo,Mimi nabanwa sana na wamiliki wa eneo,kumbuka hati tunayo ya eneo husika. |

Salaam. Ndugu zangu mbona kimya,Kama tumeshindwa kuendelea na project yetu basi tutoe taarifa ili tujue tuko wangapi. Awamu ya mwisho tumetoa watu watano tu na hati tunayo,Mimi nabanwa sana na wamiliki wa eneo,kumbuka hati tunayo ya eneo husika.
--
Poa nawatumia sasa hivi. |
Mnadaiwa 620 kwa pamoja. Yaani 250 plus 60 ya mbuzi mmoja. Hii inafanya 620 kwa wrote wawili. |