Hi wote,Kijana wetu Masumbuko anayetunza shamba letu pale Mduzi Shungubweni anatumia wastani wa Tsh 60,000/ kwa mwezi. Nimemwambia awahamishe mbuzi waliobaki toka kwa Shija, naamini wale waliotangulia watakuwa wameshazoea mazingira yale. Pia nimewaomba wenye shamba wavute subira ili tulipe desemba, kiasi kisichopungua 2.75M kwa ajili ya upanuzi wa shamba letu.Malila
| Pamoja Mkuu Malila --- On Thu, 8/11/12, asifiwe malila <sif...@yahoo.com> wrote: |