Updates

8 views
Skip to first unread message

asifiwe malila

unread,
Nov 22, 2012, 1:52:18 PM11/22/12
to Umoja farm, mboka mwalyaje, Grace Rwegoshora
Hi members,
 
Hiyo ni michango yetu mpaka leo mchana. Hapo ktk x nyekundu ni kwamba mimi nilijazia hilo pengo ili tukamilishe programme ya ujenzi wa banda letu. Wadau naomba niondoe hizo x kwa wahusika na badala yake niingize ktk hisa zangu. Na wahusika wataendelea kuchangia kwa kadri wanavyoweza bila kuathiriwa na uwepo wa hizi x.
 
Pia nafikiri michango ijumlishwe yote na hisa zionyeshwe mpaka november hii.
 
   Maoni kutoka kwako ni muhimu sana.
 
      Malila
umoja 5.doc

Daniel Ngemera

unread,
Nov 23, 2012, 12:19:59 AM11/23/12
to umoja...@googlegroups.com, mboka mwalyaje, Grace Rwegoshora
Dear Malila
 
Kama inawezekana hizi hesabu uziweke kwenye execl template - ili tuwe tunaona ni kiasi gani kila mtu amechangia halafu na michango yote kwa jumla iliyochangwa hadi sasa ni kiasi gani. Kwa hesabu za haraka hadi sasa tumefikisha Tsh. 14,353,000. Yaani iwapo kila mtu atachangia na kumalizia awamu zote inatakiwa iwe imekusanywa Tsh. 24,640,000. 
 
Itabidi kufanya kazi ya ziada kukamilisha hii michago tu...lakini si kutoa michango tu bali na kuwajibika zaidi ili kuweze kutimiza malengo tu. Fedha bila kuwa na mipango na kujituma hatuwezi kufika kokote.
 
regards
 
Daniel
 
 
2012/11/22 asifiwe malila <sif...@yahoo.com>

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Umoja Farm" group.
To post to this group, send email to umoja...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to umoja-farm+...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/umoja-farm?hl=en.

asifiwe malila

unread,
Nov 23, 2012, 3:53:59 AM11/23/12
to mboka.m...@aogltd.com, Umoja farm, Grace Rwegoshora
Asante dada kwa kazi nzuri. Inafaa sasa ile jumla ya michango ya kila mmoja iwekwe ktk hisa, kumbuka hisa moja ni Tsh 330,000/.
 
  Malila

From: "mboka.m...@aogltd.com" <mboka.m...@aogltd.com>
To: Daniel Ngemera <dnge...@gmail.com>; asifiwe malila <sif...@yahoo.com>
Cc: Grace Rwegoshora <rweg...@gmail.com>; umoja...@googlegroups.com
Sent: Friday, November 23, 2012 9:55 AM
Subject: *: Re: Updates

Ebu angalieni hii hapa chini nafikiri ndo ushauru wa Daniel, kila mtu anajua anadaiwa shs ngapi mpaka sasa

Regards
Mboka Mwalyaje
Inventory Control Asistant



Oryx Oil Company Limited, Plot 2 Nelson Mandela Road, Kurasini | P O Box 9540 Dar es Salaam Tanzania |
 General: +255 22 2120190 / 175 Ext: 151 | Mobile: +255 754 502007|
Fax: +255 2120446 | E-mail: Mbokam...@aogltd.com | Website: www.addax-oryx.com
----------------------------------------- This message (and its attachments) is intended only for the person or entity to which it is addressed. It may contain confidential and/or privileged information. If you are not the intended recipient (or responsible for delivery to that person), you are kindly requested to destroy this message ( and attachments) and notify the sender . Any delivery or copy of this message (and its attachments) or any use or disclosure of its contents (including attachments) is strictly forbidden, for any purpose whatsoever.


asifiwe malila

unread,
Nov 26, 2012, 7:35:19 AM11/26/12
to mboka.m...@aogltd.com, Umoja farm, emm...@gmail.com
Shalom,
 
Nawatumia msimamo mpya wa michango, hao wenye nyekundu, itabidi wajitahidi kuongeza hisa zao. Hamna jinsi zaidi ya kuongeza au kujitoa. Kwa sababu sasa hatuwezi kuwaweka ktk budget.
 
   Malila

From: "mboka.m...@aogltd.com" <mboka.m...@aogltd.com>
To: Daniel Ngemera <dnge...@gmail.com>; asifiwe malila <sif...@yahoo.com>
Cc: Grace Rwegoshora <rweg...@gmail.com>; umoja...@googlegroups.com
Sent: Friday, November 23, 2012 9:55 AM
Subject: *: Re: Updates

Ebu angalieni hii hapa chini nafikiri ndo ushauru wa Daniel, kila mtu anajua anadaiwa shs ngapi mpaka sasa

Regards
Mboka Mwalyaje
Inventory Control Asistant



Oryx Oil Company Limited, Plot 2 Nelson Mandela Road, Kurasini | P O Box 9540 Dar es Salaam Tanzania |
 General: +255 22 2120190 / 175 Ext: 151 | Mobile: +255 754 502007|
Fax: +255 2120446 | E-mail: Mbokam...@aogltd.com | Website: www.addax-oryx.com



From:        Daniel Ngemera <dnge...@gmail.com>
To:        umoja...@googlegroups.com
Cc:        mboka mwalyaje <mboka.m...@aogltd.com>, Grace Rwegoshora <rweg...@gmail.com>
Date:        11/23/2012 08:20 AM
Subject:        Re: Updates



umoja november 26.xlsx
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages